Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 14,985
- 35,107
Ni kweli kabisaHongera kwa kuanzisha thread, ungemtag kabisa ili aje asome hapa. Hukutukusudia members wa jf nadhani
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisaHongera kwa kuanzisha thread, ungemtag kabisa ili aje asome hapa. Hukutukusudia members wa jf nadhani
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Huenda nin hiki alichosema
kaongea nini?Hongera Sana mama yangu Anna Mghwira!
Kweli umeonyesha ukomavu wa kiroho, umeongea kwa hekima sana kwenye tukio la kuaga wapendwa wetu huko Moshi. Hivi ndivyo kiongozi anatakiwa kuwa, umeonyesha hekima ya hali ya juu sana. Viongozi wengine wanapaswa kujifunza kwako, hususani sisi vijana. Ubarikiwe sana Mama.
Sent using Jamii Forums mobile app
MNFUMAKOLE,
Sikutegemea angeongea hivi yaani ameongea kwa hekima sana sasa wale waliokimbilia kulaumu bila kufikiria kwanza wameumbuka. Kweli kila jaribu lina mlango wa kutokea.
wezi haoMbona hamsemi aliyoongea DC sabaya,au sababu kawasema mnavyotumia shida za watu kuwaibia?,alichokisema kinawaacha uchi na dhambi ya wizi na uuaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera Sana mama yangu Anna Mghwira!
Kweli umeonyesha ukomavu wa kiroho, umeongea kwa hekima sana kwenye tukio la kuaga wapendwa wetu huko Moshi. Hivi ndivyo kiongozi anatakiwa kuwa, umeonyesha hekima ya hali ya juu sana. Viongozi wengine wanapaswa kujifunza kwako, hususani sisi vijana. Ubarikiwe sana Mama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu jamaa kasema kweli, ulichoandika ni sawa na usiku wa manane asee, kama unashindwa kueleza alichoongea ni sawa a udaku hapa jf.Kwani nimekulazimisha kusoma? Onyesha ustarabu basi, ficha ujinga wako!
Team worship & praise naona umetia mguu hapa jukwaani.Binafsi nimemkubali sana mama Anna leo, ujumbe wake ulikuwa mzito uliobeba matumaini!
Hongera ya nini sasa?