Hongera Mahiga!

Hongera sana Balozi Dr. Mahiga, japo najua dhamira yako baada ya UN ilikuwa ni ku-head TISS, sasa Mungu amekujalia kitu kubwa zaidi ya TISS na ukimaliza baada ya miaka 4, itakuwa ni 2014, rudi nyumbani, ongoza moja kwa moja kijiji kwako, 2015 chukua fomu, si unajua tena kuwa ghorofani anapanda Membe, wewe lazima upewe au Foreign au Utawala bora hivyo kuwa boss wa TISS na kutimiza ndoto yako, na kukamata ulaji, hivyo kuuwa ndege wawili kwa jiwe moja.

Pasco ,acha alinacha zako; Membe hana ubavu wala personality ya kuwa Rais wa Bongo!!

Amekwisha onesha tamaa ya cheo hicho na kufanya hivyo ni kosa kubwa CCM; watamshughulikia vilivyo na hatajua kitu gani kimemsibu!!
 
Nafikiri kwa swala la publicity, somalia inaweza kumfanya ashine na pia inaweza kumdidimiza, its the approach tht wil matter
 
Kama mwafrika mwenye interests na siasa za "horn of Africa", Ushauri wangu kwa Mahiga ni huu: Be very careful, usichukue sides katika huu mgogoro. Naelewa kwamba "international community" wanaisupport serikali ya sasa iliyo madarakani. Lakini lazima ujue kwamba hii serikali haina mamlaka zaidi ya kilomita mbili nje ya Mogadishu (infact serikali yenyewe haina support miongoni mwa wananchi wa kawaida. Cha muhimu, jenga confidence kati ya pande zinazohasimiana. Na ujitahidi (sijui kama utaweza) Al Shabab wasikuone kwamba wewe unaegemea upande wa US. Na ujue kabisa tatizo la Somalia linakwenda beyond Somalia. Kuna Eritrea na Ethiopia. Anyway long story short. Unless Ethiopia na Eritrea wakubali kukaa meza moja. hapo Al shabab atakosa support ya silaha. Na as long as US anazidi ku-meddle kwenye maswala ya hizi nchi, Somalia amani itakuwa nightmare. Mahiga, as a Tanzanian, itakusaidia sana. Maana Ould Abdallah mtangulizi wako kutoka Mauritania alikosa confidence za wahusika ndo maana ameondoka with nothing to show for his three years in Nairobi. Probably you could do better. Cha muhimu jaribu kuwa independent, usiwe unapokea instructions kutoka State Department, something extremely hard in the real politik kati ya UN na US.

Masanja
 
Pasco ,acha alinacha zako; Membe hana ubavu wala personality ya kuwa Rais wa Bongo!!

Amekwisha onesha tamaa ya cheo hicho na kufanya hivyo ni kosa kubwa CCM; watamshughulikia vilivyo na hatajua kitu gani kimemsibu!!
Bulesi, kwani aliyeko ndiye mwenye personality ya urais?. Kumbe alikuwa na ubavu ndio maana ni yeye, lakini Membe hana ubavu?.
Mbona JK alitamani baada ya Mwinyi, na Mkapa aliposhinda, alimaka 'mchezo mchafu' na akaitumia vizuri miaka yake 10 kujipanga kuingia Ikulu kwa michezo yote misafi na michafu, leo yuko Ikulu, kama yeye aliweza, kwa nini Membe asiweze ilhali urais wa nchi hii ni hati miliki ya CCM?.
 
Back
Top Bottom