Na lifuatalo ni ombi kwenu wote, huku kulikuwa na kambi mbalimbali za campaign ila sasa tuzivunje na tuendelee kuwa kitu kimoja kama kabla ya mchuano huu kuanza/kuwepo. Nampa pole sana Wakati ndio huu na nampongeza sana charminglady kwa kushika #2
hongera sana Madame B kwa kutwaa taji. nakuhaidi kuwa bega kwa bega na wewe kwa muda wote mpaka hapo utakapomkabidhi mwingine. me sasa ni kama kaimu wako panapo tatizo usisite kumasiliana nami.
Hakika hakuna jukwaa lenye burudani kama hili, kutoka moyoni najivunia kuwa sehemu ya jukwaa hili! Baada ya dibaji hiyo sasa ladies & gentlemen bila kutaja jina wala ubaguzi wa majukwaa PIA MODS njooni tumpongeze MISS CHITCHAT OCT 2012, MADAME B!!
Asante sana Miss mwenzangu kwa kunisapoti.
Ni kweli sisi tayari ni Washindi kwa maana tulishatoka ktk kundi la wale 8,
Nakuahidi kuwa nawe bega kwa bega ktk kipindi hiki cha Hekaheka.
charminglady Hata nawe nakupongeza kwa kuwa Mshindi.
Tushirikiane ktk kutoa Huduma kwenye Jamii.
Panapo tatizo nitakujulisha Best.
Miss yaaaaa...!!!!
habari yako bishostito je lundenga wa jf alikupa zawadi yako ya 5K kweli...