Hongera Kwiro boyz

Hongera Kwiro boyz

Marapai

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
315
Reaction score
378
Nachukua nafasi hii kwa kuupongeza uongozi mpya wa Kwiro high school kwa kuweza kuwaondolea kero wanafunzi walizokuwa wanakabiliana nazo km kuboreshwa kwa miundombinu ya maji,mashine ya kupasua kuni ,Mifumo ya maji taka,kuanzishwa kwa duka la shule canteen,huduma za kifedha km Mpesa na lab technician hivyo kuepusha migomo isiyo na lazima.Ni muda sasa wa wanafunzi kukaa na kusoma kwa bidii ili kuirudisha shule ktk hadhi yake ya awali.Kazeni madogo ili kusafiri mpaka Mahenge Morogoro isiwe ni bure tambueni kilichowaleta hapo.
 
Back
Top Bottom