ndiyo ile snayoshirikiana na mke wao na zitto hiyo station ni ya Zitto huyo jafulika mshika pembe tu..
Kituo anakianzisha na mke aliyempora kutoka kwa Zitto,
Vijana wanqvurugana hawa mpaka mademu wanapeana pafu,
Hongera Kafulila
ndiyo ile snayoshirikiana na mke wao na zitto hiyo station ni ya Zitto huyo jafulika mshika pembe tu..
Kwa za chini ya kapeti Redio hiyo watashirikiana na Bi Scholastica Mazula mtangazaji wa Times FM
Sharing is caring huyo mke labda aliona Kafulila ni muweza ,radio inaanzishwa Dar au wapi
mavii..! Kafulila anaubavu wa kuanzisha radio,huyo anatumiwa na fisadi mkubwa"MM"we sema zitto anaanzisha radio.Mbunge machachari David Kafulila yupo mbioni kuanzisha kituo kipya cha redio na muda si mrefu itakuwa hewani
HONGERA KWA HATUA HIYO KAFULILA
akiojiwa na gazeti moja rizikikwete alisema kila jengo linaloonekana mjin anambiwa la kwake kila ktu kipya aaambiwa cha kwake mwisho watakuja kusema wake zao ni wakwangu.ISIJE NDO WEWE MMJA WAPO
HUYO ZITO anahusika na lipi hapo wewe ushaambiwa ya kafulila oongeeni vitu kwa ushahidi EBBBO........
ni poyoyo tu ndiyo ataamini kuwa ni ya kafulila...
Mbunge machachari David Kafulila yupo mbioni kuanzisha kituo kipya cha redio na muda si mrefu itakuwa hewani
HONGERA KWA HATUA HIYO KAFULILA
Kiukweli hii ishu nyuma yake yupo Zitto lakini cha kushangaza zaidi inakuwaje hawa maswahaba wakubwa kuona ni kitu cha kawaida kuchangia mwanamke hadi kufikia hatua ya moja kuzaana naye.......ni noumer