Hongera kwa Kafulila kuanzisha kituo cha Redio

Muda8

Member
Nov 27, 2013
64
25
Mbunge machachari David Kafulila yupo mbioni kuanzisha kituo kipya cha redio na muda si mrefu itakuwa hewani
HONGERA KWA HATUA HIYO KAFULILA
 
Kituo anakianzisha na mke aliyempora kutoka kwa Zitto,

Vijana wanqvurugana hawa mpaka mademu wanapeana pafu,

Hongera Kafulila
 
ndiyo ile snayoshirikiana na mke wao na zitto hiyo station ni ya Zitto huyo jafulika mshika pembe tu..
 
Kwa za chini ya kapeti Redio hiyo watashirikiana na Bi Scholastica Mazula mtangazaji wa Times FM
 
Kwahiyo Zitto anaanzisha radio ya kutukana viongozi wa Chadema, au Radio ya Chama chao cha Chaumma!
 
Hapo sasa inakuwaje?! yaani Kafu akitaka kumuita huyo shemeji kama MM yupo na ndio anashughulikia hiyo leseni?!!
 
ndiyo ile snayoshirikiana na mke wao na zitto hiyo station ni ya Zitto huyo jafulika mshika pembe tu..

akiojiwa na gazeti moja rizikikwete alisema kila jengo linaloonekana mjin anambiwa la kwake kila ktu kipya aaambiwa cha kwake mwisho watakuja kusema wake zao ni wakwangu.ISIJE NDO WEWE MMJA WAPO
HUYO ZITO anahusika na lipi hapo wewe ushaambiwa ya kafulila oongeeni vitu kwa ushahidi EBBBO........
 
Kwa za chini ya kapeti Redio hiyo watashirikiana na Bi Scholastica Mazula mtangazaji wa Times FM

sasa huyu scholastica kazaa na zitto halafu anaishi na kafulila halafu radio station wanafungua na zitto na kafulila..huu urafiki noma...
 
Mbunge machachari David Kafulila yupo mbioni kuanzisha kituo kipya cha redio na muda si mrefu itakuwa hewani
HONGERA KWA HATUA HIYO KAFULILA
mavii..! Kafulila anaubavu wa kuanzisha radio,huyo anatumiwa na fisadi mkubwa"MM"we sema zitto anaanzisha radio.
 
akiojiwa na gazeti moja rizikikwete alisema kila jengo linaloonekana mjin anambiwa la kwake kila ktu kipya aaambiwa cha kwake mwisho watakuja kusema wake zao ni wakwangu.ISIJE NDO WEWE MMJA WAPO
HUYO ZITO anahusika na lipi hapo wewe ushaambiwa ya kafulila oongeeni vitu kwa ushahidi EBBBO........

ni poyoyo tu ndiyo ataamini kuwa ni ya kafulila...
 
Kafulila jina la biashara lakini mali ni ya zitto na nduguze wakina zoka. Hivi yule jamaa wa shivacom anaitwa nani tena..
 
ni poyoyo tu ndiyo ataamini kuwa ni ya kafulila...

Kiukweli hii ishu nyuma yake yupo Zitto lakini cha kushangaza zaidi inakuwaje hawa maswahaba wakubwa kuona ni kitu cha kawaida kuchangia mwanamke hadi kufikia hatua ya moja kuzaana naye.......ni noumer
 
Mbunge machachari David Kafulila yupo mbioni kuanzisha kituo kipya cha redio na muda si mrefu itakuwa hewani
HONGERA KWA HATUA HIYO KAFULILA

Mkuu funguka kinaanzishwa wapi na ana ubia na nani?
 
Kiukweli hii ishu nyuma yake yupo Zitto lakini cha kushangaza zaidi inakuwaje hawa maswahaba wakubwa kuona ni kitu cha kawaida kuchangia mwanamke hadi kufikia hatua ya moja kuzaana naye.......ni noumer

Mkuu jaribu kufunguka zaidi naona umeongea nusu nusu
 
Back
Top Bottom