Chuo chenyewe ni chuo hicho!!!!! Hiyo ni sehemu ya watu kupotezea muda tu!!
Udom haikuwa concept ya Mkapa, kwa matamshi yake Mwenyewe Kikwete katika uzinduzi hapo jana, ilikuwa ni "kiherehere" chake binafsi na ahadi binafsi aliyoitowa wakati wa kampeni za 2005, anasema, aliogopa hata CCM wasije wakamuuliza hii sera ya kujenga chuo kipya ilitoka wapi? Na Bajeti yake iko wapi.
Kuhusu rekodi ya Dunia. Hilo ni wazo langu binafsi, kwani mpaka sasa sijasikia, wazo, ahadi, kujenga chuo kipya, mpaka kudahili within 2 years na kutowa wahitimu wa mwanzo within 5 years. Sijawahi kuona au kusikia zaidi ya UDOM. Jee wewe umewahi?
Aaaah, hayo utangoja wewe, mimi napongeza kwa dhati kabisa na namtakia kila kheri Kikwete, kwani bila elimu hatuna badiliko ya kweli na Kikwete anajitahidi katika kuwafunguwa macho wa Tanzania, kwa elimu na mengi mengine.
Vijana wetu wa mwanzo kuhitimu UDOM leo wanahitimu baada ya kujituma kwa miaka mitatu, wanafaa waandikwe kwenye historia kuwa wamejituma kwa mazingira magumu, huku chuo kinajengwa huku wao wanachimba, mpaka Mwenyeezi Mungu kawasaidia wamehitimu, hawa"kupoteza muda tu" kama unavyofikiria. Wamechakarika na wanastahili kila sifa na nawapa Hongera sana kwa kuwa wastahamilivu.
Labda ni mimi ndiyo nachanganya mambo lakini UDOM haikuwa conceptualized na kujengwa wakati wa Mkapa kisha ika malizika kipindi cha JK na yeye kuki zindua mwaka 2007?
Je hiyo rekodi ya dunia umeipimaje mkuu? I mean ume research ukaona ni rekodi ya dunia au ume fikiaje hiyo conclusion?
Otherwise hongereni wahitimu wa UDOM.
Usiwe unaongelea rekodi za dunia wakati ujafanya utafiti wa kina,swala zito kama hili halipaswi kuongelewa kwa hisia tu!hii inaweza kukuaibisha mbele ya watu makini!ona sasa ulivyojiaibisha!kuwa makini na maelezo yako!acha ushabiki wa mitaani!
Nahisi na wewe ni mhitimu wa chuo hicho!Nasikitika kukufahamisha kwamba ubora wa chuo hicho uko chini sana!swala la kumaliza nafikiri hilo ni la kawaida tu,kwa kuwa hata wale wanaosoma vyuo vikuu feki,pia humaliza!
Kizuri chajiuza..nini mpaka mmkampenie "sifa"..
Natoa pongezi na hongera zangu za dhati kabisa kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Toka wazo hadi udahili wa mwanzo mpaka leo tunashuhudia wahitimu wa mwanzo wa UDOM, yote haya katika kipindi kifupi. Hii ni rekodi ya Dunia.
Hongera wahitimu, hongera Tanzania.
Hayo ni mawazo yangu binafsi, wewe uko huru kuwa na mawazo yako binafsi, jee wewe ulifanya utafiti kuona hii siyo rekodi ya dunia? Mimi sijafanya utafiti, lakini, mpaka leo sijasikia rekodi iliyoipita hii. Wewe kama una utafiti wa kulipinga hilo, uweke hapa, kama hauna, funga bakuli.
Oh!kumbe mambo ya mtaani!basi sikuwezi!lakini hoja yangu ya msingi ilikuwa kwenye rekodi ya dunia!kwa kawaida mtoa hoja hanapaswa kuonyesha chanzo cha habari yake,pale anapoongelea habari ambayo ameinukuu,na kwa kuwa wewe ndiye mtoa mada ulipaswa kutoa chanzo cha habari ili kuchochea udadisi zaidi!mimi kama mlaji wa habari yako si wajibu wangu kutoa chanzo cha habari,na kwa kuwa nilikuwa sijafanya utafiti ndiyo maana sikutoa habari hii.Tukana uwezavyo lakini hapo umeteleza,truth shall prevail forever!!
Chanzo Cha habari ni mimi mwenyewe na unaweza kuninukuu.
UDOM ilikuwa ni concept ya Mbowe katika kampeni zake za 2005, kwamba wataigeuza Dodoma kuwa jiji la vyuo vikuuUdom haikuwa concept ya Mkapa, kwa matamshi yake Mwenyewe Kikwete katika uzinduzi hapo jana, ilikuwa ni "kiherehere" chake binafsi na ahadi binafsi aliyoitowa wakati wa kampeni za 2005, anasema, aliogopa hata CCM wasije wakamuuliza hii sera ya kujenga chuo kipya ilitoka wapi? Na Bajeti yake iko wapi.
Kuhusu rekodi ya Dunia. Hilo ni wazo langu binafsi, kwani mpaka sasa sijasikia, wazo, ahadi, kujenga chuo kipya, mpaka kudahili within 2 years na kutowa wahitimu wa mwanzo within 5 years. Sijawahi kuona au kusikia zaidi ya UDOM. Jee wewe umewahi?
Kweli ni recodi ya dunia, unaanzisha chuo bila walimu wa kutosha!? walimu wa kuungaunga tunategemea kupata product gani kwa wanafunzi wanaograduate leo? Scrap!!Natoa pongezi na hongera zangu za dhati kabisa kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Toka wazo hadi udahili wa mwanzo mpaka leo tunashuhudia wahitimu wa mwanzo wa UDOM, yote haya katika kipindi kifupi. Hii ni rekodi ya Dunia.
Hongera wahitimu, hongera Tanzania.
Safari za nje hakuna kitu alichopata, ametumia hela zetu za pension, halafu anajisifiaSasa aliyetowa hela kwa ajili ya ujenzi wa chuo ni nani? Iran? Mashirika ya Bima ya Tanzania au Bill Gates?
Isije kuwa safari zote hizo za nje zimeishia kupata chuo cha UDOM. Angelikaa na kudhibiti kodi, angelijenga UDOM na UDSM kuiboresha kwa kuleta walimu safi na wa maana.
.