Mama KIKWETE! Hizo nywele umechemsha kweli. Sijui msusi alikuwa nani?
Hongereni. Umependeza mama ila kichwani rekebisha.
This post was uncalled for and the language was not necessary and i am sure you didnt mean what you said. He [JK] didnt come to post the photos and family matters are family matters, mlaumu aliyeleta hizo news
Respect is very important especially on personal matters
Hakuna mkamilifu duniani
Maye I am old fashion, but i thought Mama kapendeza na hiyo hair style!!!! Duh kweli midume na fashion za kike ni ngumu
ha ha ha Masanja hiyo nimeipenda lakini mbona wanaume wengine wana fail na wako peke yao.
Mwanamke mvumilivu sana huyu na ndo inatakiwa, anayeuliza hana pa kwenda una maana gani angekuwa wa kwenda angeenda those days ambazo alikuwa hatoki hata na mzee, sasa hivi maambo yameiva ndo aondoke yani asile hata matunda ya mti alioshiriki kuupanda, kuumwagilia na kuweka mbolea we vipi?
Kuwa peke yake inategemea ... anaweza akawa "peke yake" lakini kazungukwa na " wanawake" hadi akafikwa na maanguko! si unajua tena baadhi ya wanaume hata kama hawana kitu wakipata shurti watafute warembo wakutumia hicho kidogo walicho nacho...
Nimependa point yako ya pili...kweli kabisa ...hatoki mtu hapo!
Hongereni sana!!20yrs sio mchezo,Mungu awatangulie na awaongoze mfike kwenye golden jubilee!!!!Kiluminati una matatizo wewe!!!!!hivyo vimeo umempa wewe?
Cool Girl mbona unanimaindi, freedom of speech whether spoken or written inafanya kazi hapa, anyway inaelekea hujaona thread za kuhusu vimeo vya rais wako hapa jamvini na sitakumbushia. So nami naingia mkumbo na kumpongeza kwa kutimiza umri huo wa pingu za ndoa. Yeah right!!
Mkuu umenivunja mbavu!! But its good that umejiunga na thread yenyewe ya kumpongeza hayo mengine yana sehemu yake kubwa tu
Rais mchovu tu, hizi private matters zake kivyake, otherwise watanzania wanazidi tu kupigika.....ana tofauti ndogo sana na rafiki yake Mugabe!!!Who give a s..t hata kama anatimiza miaka 100 ya ndoa!!Na vimeo vyote alivyonavyo kweli huyo mrs. hana pa kwenda kwa kweli.
siyo kweli.but dont forget: Behind every failed man, there is more than one woman-lol
Tupo pamoja MAMA.ha ha ha Masanja hiyo nimeipenda lakini mbona wanaume wengine wana fail na wako peke yao.
Mwanamke mvumilivu sana huyu na ndo inatakiwa, anayeuliza hana pa kwenda una maana gani angekuwa wa kwenda angeenda those days ambazo alikuwa hatoki hata na mzee, sasa hivi maambo yameiva ndo aondoke yani asile hata matunda ya mti alioshiriki kuupanda, kuumwagilia na kuweka mbolea we vipi?
Mkuu kama sikosei Ridhiwan kagraduate UDSM already si rahisi kuwa under 20 kwa education structure ya Bongo. labda Mheshimiwa alianza kuzaa kabla ya kuofficiate marriage
..." Besides every successful Man, there is a Goodwoman of Noble Character!"
But dont forget: Behind every failed man, there is more than one woman-Lol
Niliwahi kusikia kwamba Salma si mama mzazi wa Ridhwan. Mama yake nasikia alishafariki kama ni kweli basi alifariki labda kabla kikwete hajawa maarufu katika anga za kisiasa au wakati anafariki hawakuwa pamoja katika ndoa.