Hongera Chadema Bungeni, hongera Kitila Mkumbo...

Willie,nani atawafundisha watanzania bro....hao wataalamu na walimu wanabanana BUNGENI....wengine ndio mnaijenga AMERIKA.....mkumbo amenifundisha mimi mtoto wa mkulima....wacha atoe elim kwa maskini bwanaaaa

- Unajua kwenye maisha inakuja a point where Taifa linakuhitaji zaidi kuliko mahali ulipo sasa, Chadema inamuhitaji sana Kitila na Mwanakijiji sasa kuliko wakati wowote ule toka izaliwe,

- katika kujitayarisha na uchaguzi ujao, Chadema ni lazima iiingize sura mpya kwenye uongozi wake wa juu sasa na mapema na wawe viongozi wasiotokea Kaskazini, wanahitaji kufanya that now ni maoni yangu tu kwa Chadema!

- Na huu ni ujumbe wangu straight kwa Mzee Mtei, whom I have a lot of Respect na kazi zake kwa taifa hili!!

Willie @ NYC, USA.
 
Willy na wewe tunakuhitaji urudi maana vijana ndo tunaotegemewa kuleta mabadiliko
 
Slaa nadhani ingekuwa muda mzuri kuendeleza ule moto wa katiba, your voice together with your MPs' voice-kule bungeni italeta kitu fulani kizuri..uko kimya kunani??

Hii nzuri sana kuulizia; ila kama umekuwa ukifuatilia habari mbalimbali shemeji yetu anatarajia kujifungua wakati wowote ule (sijui kama keshajifungua few days ago nilipozungumza nao alikuwa bado) na hivyo kabla hajaibuka na kuendelea kupigania kuzaliwa kwa Katiba Mpya yampasa kwanza kuweka msisitizo wa kuangaliwa kuzaliwa kwa mwanae na hali ya mama na mtoto. Nawaombea heri wote wawe salama. Fikiria tu kuwa yule mama alipopigwa na serikali ya CCM alikuwa mja mzito!
 
- Unajua kwenye maisha inakuja a point where Taifa linakuhitaji zaidi kuliko mahali ulipo sasa, Chadema inamuhitaji sana Kitila na Mwanakijiji sasa kuliko wakati wowote ule toka izaliwe,

- katika kujitayarisha na uchaguzi ujao, Chadema ni lazima iiingize sura mpya kwenye uongozi wake wa juu sasa na mapema na wawe viongozi wasiotokea Kaskazini, wanahitaji kufanya that now ni maoni yangu tu kwa Chadema!

- Na huu ni ujumbe wangu straight kwa Mzee Mtei, whom I have a lot of Respect na kazi zake kwa taifa hili!!

Willie @ NYC, USA.
Mkuu unaposema viongozi wake wsiwe wanaotokea Kaskazini huoni kama hiyo ni profiling!
Ebu nambie haswa kwa nini viongozi wa Chadema wasitoke kaskazini ikiwa wao ndio wanachama maanake najua kesho mtasema viongozi wa Chadema wasiwe Wakristu!
 
- Sawa sawa, nimesema mara nyingi sana kwamba Dr. Kitila na Mwanakijiji, wanatakiwa kuwa sura ya the future of Chadema, Viongozi wa sasa wa Chadema wanatakiwa kuanza kuwatayarisha hawa kushika usukani huko!

Willie @ NYC, USA.

mzee utawafanya watu wengine waanze kutokwa na jasho sehemu zisizoweza kuandikika hapa; wengine tayari tunaonekana ni watu wa TISS kwa muda mrefu.
 
Mkuu unaposema viongozi wake wsiwe wanaotokea Kaskazini huoni kama hiyo ni profiling!
Ebu nambie haswa kwa nini viongozi wa Chadema wasitoke kaskazini ikiwa wao ndio wanachama maanake najua kesho mtasema viongozi wa Chadema wasiwe Wakristu!

Mkuu Mkandara nafikiri hapo ni kuteleza kwa ulimi maana sidhani kama nia ya Wille ilikuwa ni ya kibaguzi kama ya yule kijana yule.
Maana hiyo ni kauli ya kibaguzi ambayo haitakiwi itolewe na mtu kama Willy
 
Willy na wewe tunakuhitaji urudi maana vijana ndo tunaotegemewa kuleta mabadiliko

- Mkuu ninaomba sana kulisema hili kwa uwazi kidogo, ni kwamba huku niliko sasa nilikuja kwa juhudi zangu mwenyewe, Mzee alikuwa ndio kwanza amechaguliwa kwenda kuwa RC Iringa, the same week nikaamua kuacha ubaharia bada ya miaka 5 baharini nikiwa Singapore, nikarudi nyumbani baada ya kama a week nikajinunulia tiketi nikaondoka kuelekea Belgium, Canada ndio nikaja hapa New York City, na ni baada ya kama miezi sita kupitia ndio nikawafahamisha familia yangu kwamba wasinitafute nipo huku!

- Since then I have done a lot to my life, sasa this here in US are my works kwa kusaidiwa na Mungu tu, sasa siwezi kukurupuka na kuanza kurudi nyumbani bila mpangilio, sawa ninapewa offer nyingi na wanasiasa na wanasiasa hasa wanaotaka urais 2015, lakini ninazitafakari sana na nina-debate within myself kama nikubali kurudi kwa mikono ya wengine au nisubiri my timetable na kurudi on my own kwa wakati niliojipangia!

Otherwise, thaanks kwa ushauri wako!

Willy
Ushauri wangu sio ukurupuke uje upambane tuu hapa bila kuw ana dira naamini umejitengenezea vision yako na ni nini unakitaka maishani mwako. Sio kurubuniwa wala kukimbilia kurudi ila rudi ukiwa na malengo na moja ya lengo kubwa ni kushirikiana na vijana wenzako katika kuhakikisha kuwa maisha na mustakabali wa vijana wengi ambao hawajui ya kesho unanyanyuka kwa kusaidiana na vijana wenzako hata kw aushauri tuu.
Sikushauri ukurupuke tuu kutoka huko kuja huku ila jipange na ujue unakuja kwa malengo gani. Hao wanaokuita leo ukija hapa ukidondoka hakuna hata mmoja atakukumbuka ila watakutumia wapate kile wanachotaka ila jua kuwa siku wakishaona kile walichokupata kimepatikana hawatakuona tena wa thamani
 
Mkuu unaposema viongozi wake wsiwe wanaotokea Kaskazini huoni kama hiyo ni profiling!
Ebu nambie haswa kwa nini viongozi wa Chadema wasitoke kaskazini ikiwa wao ndio wanachama maanake najua kesho mtasema viongozi wa Chadema wasiwe Wakristu!

- Mkuu wangu Bob, huku mtaani nina jina moja maarufu sana ninaitwa bad news, kama unataka kusikia ukweli ambao huwezi kuambiwa na mtu yoyote duniani about anything nitafute mimi maana sijui kuchanganya maneno, ni straight to the point, sasa uamuzi ni wako kusuka au kunyoa!

- Sijui ubaguzi wala profiling, ninasema what I see to be Good kwa Chadema na uchaguzi ujao: Bob ninapoandika anything hapa kiangalie kwa makini sana kwa sababu nina access ya kuongea na watawala wa pande zote mbili, sometimes ninaweza kuwa ninasema fear nilizo-pick up katika maongezi na hao watawala, kwa mfano kuna siku mtawala mmoja mzito sana on CCM's side wa taifa aliniambia point blank kwamba kama Slaa angeingia mapema kwenye uchaguzi uliopita, angetupa shida sana walifanya makosa sana kumuingiza late, sasa this coming from the horse's mouth ni lazima utafakari na kujipanga mapema next time!

- Bob Much Respect!

Wilie @ NYC, USA.
 
- Unajua kwenye maisha inakuja a point where Taifa linakuhitaji zaidi kuliko mahali ulipo sasa, Chadema inamuhitaji sana Kitila na Mwanakijiji sasa kuliko wakati wowote ule toka izaliwe,

- katika kujitayarisha na uchaguzi ujao, Chadema ni lazima iiingize sura mpya kwenye uongozi wake wa juu sasa na mapema na
wawe viongozi wasiotokea Kaskazini, wanahitaji kufanya that now ni maoni yangu tu kwa Chadema!

- Na huu ni ujumbe wangu straight kwa Mzee Mtei, whom I have a lot of Respect na kazi zake kwa taifa hili!!

Willie @ NYC, USA.
Maneno kwenye red najua ni ulimi tu uliteleza na unaweza kuyakana kiungwana kama huwezi kuyakana nitajua yalikuwa planned niruhusu niwe naya 'quote' kukumbusha pindi unapoyasahau.
 
mimi na nyumba yangu kamwe hatutaki hata kuisikia CCM na mambo yake yooote.

Mkuu Bukuku nimekunukuu ktk sentensi niliyoanzia post yangu,Hongera Brother Kitila Mkumbo
Nafikiri wadau tunasubiria sehemu ya pili baada ya marekebisho ya rasimu ya mwanzo,baada ya hapo tutaona ni kiasi gani imebadilika kuifaa tanzania yetu

Mapambano bado yanaendelea
 
Maneno kwenye red najua ni ulimi tu uliteleza na unaweza kuyakana kiungwana kama huwezi kuyakana nitajua yalikuwa planned niruhusu niwe naya 'quote' kukumbusha pindi unapoyasahau.

- Mkuu I said it, wala usiwe na wasi wasi yatumie anytime ukitaka lakini naomba nikwambie straight bila kuzunguka kwamba nimesema hivyo!, Viongozi wa kutoka Kaskazini!

Willie @ NYC, USA.
 
Back
Top Bottom