Hongera CCM

Hongera CCM

Binti Juliana, bado uko mdogo na mrembo kiasi fulani! Nakushauri ujipe likizo kidogo kwenye siasa ukafanye shughuli nyingine mpaka akili yao ipoe kwanza! Kama una nia kweli ya kufanya "siasa" kuwa "wito wako wa maisha", basi kina Nnape, Mwigulu & Co sio Model wazuri/sahihi kwako! Tafakari!

Nimemsikiliza huyu binti akiwa ktk majukwaa ya kisiasa, nimesoma post zake mbalimbali hapa JF, nimesoma majibu yake kwa post mbalimbali hapa JF naona huyu binti hana uwezo wa kujenga hoja za maana, uwezo wake wa kufikiri na kupambanua masuala ya msingi ni mdogo sana, licha ya kutokuwa na hoja majukwaani pia hana uwezo wa kuweka hoja zake in writings (post zake JF ni pumba tupu).

Siasa zinazomfaa Shonza ni za kubebwa tu ambazo si endelevu! She can not stand on her own feet. Mimi ninachoshangaa ktk nchi ni kwamba watu wenye uwezo mdogo kiakili ndiyo wanakimbilia kuwa policy and decision makers. Hii ndiyo sababu nchi imebaki kupiga marktime miaka nenda rudi. Akili ndogo kughilibu akili kubwa ni hatari kwa taifa.
 
"Hakuna sababu yakukata tamaa kwa matokeo haya ya Arusha kwakuzingatia kwamba hata mbuyu ulianza kama mchicha, tujikumbushe kwamba kata hizo zilikuwa zinamilikiwa na chadema tangu awali na isitoshe kura tulizopata ni nyingi kuliko zile tulipata 2010 hii ni ishara ya wazi sasa kwamba wapo watu wengi walioichagua chadema 2010 lakini sasa wamegeuka na kuichagua CCM ishara ya kwamba sasa wanakiunga mkono chama cha mapinduzi." CCM ilishinda kwa kishindo kwa kata

"ccm16 chadema kata 4 tu,iweje muwe wepesi wakusahau mapema hivyo?ukizingatia kwamba pamoja na ninyi kushinda kata 4 za Arusha na kuwafanya muwe na kata 8 bado CCM ni iyena iyena nambari wani"

Ni aibu sana kwa ccm kuwa na kijana kama Juliana Shonza ambaye kiswahili tuu hajui sasa sijui ataweza lugha gani? anadhani kila neno linatumika kila sehemu, hivi ni kweli ccm imekuwa mchicha siku hizi? hivi hii umendika mwenyewe au umeandikiwa?

Hivi hata hesabu za kujumlisha na kutoa unashindwa?
Kumbe ccm hakuna umoja.
Alaf ni wazi mlivyo kwenda wewe na Mwampamba huko ccm+ mwigulu CCM imekuwa ikishindwa sana na soon wata wafukuza kabisa na mtakimbila chama cha kitunguu swaumu.
 
"Nadhani kuna swali la kujiuliza hapa sisi kama watanzania kwamba kuna nini kati ya chadema na Arusha?ukizingatia kuwa kuna mikoa mingine chadema ilifanya chaguzi na kushinda lakini matumizi ya helicopter yalifanyika Arusha tu. Niwakumbushe kwamba kunapotokea na chaguzi kinachoangaliwa ni matokeo ya jumla ya maeneo yote yaliyofanya uchaguzi na sio matokeo ya mkoa mmoja".

Juliana Shonza naona hile campaign yenu ya kuwagawa watanzania pamoja na kuleta maafa bado mnaiendeleza na viongozi wako wakuu wanakuacha uendelee uzuri matokeo yake kila siku tuna yaona. cc Nape Nnauye, Mwigulu Nchemba
 
Last edited by a moderator:
ccm ina ukomavu wa siasa au mlishindwa kuchakachua? Na bado 2015 tutalinda kura zetu msije fanya kama shinyanga mjini mliiba wazwaz! RIP ccm

hivi hapo ndipo waliposhinda kwa tofauti ya kura moja?
 
Chama cha mapinduzi kingekuwa kinauwezo wa kusema baadhi ya wanachama wangeumbuka,maana CHAMA kingewakataa katika majukwaa,ukisoma katiba ya chama cha mapinduzi wachache sana wana sifa ya kuwa wanachama wa chama hiki
*Katiba ya chama mapinduzi nitanukuu
(Toleo la februari 1997) Fungu la kwanza
""Mtu atakayekubaliwa kuingia katika CCM au Kuendelea kuwa Mwanachama,ni yule anayetimiza masharti yafuatayo-
Mosi,kuwa mtu anayeheshimu watu
Pili,kuwa mtu anayefanya juhudi ya kuielewa,kuieleza,kuitetea na kuitekeleza ITIKADI na siasa ya CCM
Tatu,kuwa mtu mwenye kuamini kuwa kazi ni kipimo cha utu,na kuitekeleza imani hiyo kwa vitendo
Nne,kuwa mtu anaependa kushirikiana na wenzake
Tano,Kuwa mtu ambaye siku zote yuko mstari wa mbele katika utekelezaji wa mambo yote ya umma,kulingana na miongozo ya CCM
Sita,kuwa wakati wote ni mfano wa tabia nzuri kwa vitendo vyake na kauli yake,kuwa mwaminifu,na kutokuwa mlevi au mzururaji
Saba,kuwa ama mkulima,mfanyakazi au mwenye shughuli nyingine yoyote halali ya kujitegemea
"VV"

Unanikumbusha mgomo wa wafanyakzi na kauli ya MHE RAIS "KWANZA WATU WENYEWE NI LAKI TATU HATA MSIPONIPIA KURA WALA SIZIHITAJI, NA MBAYUWAYU"" Kwa mujibu wa katiba hii ya ccm hiki chama hakina mwenyekiti muda mrefuu sanaa...
 
Ndugu wanajamvi hili nimekuwa kimya kwa mda kidogo baada ya uchaguzi wa Arusha niliona niwaache wanachadema mtambe mtambike mara baada ya ushindi huo mlioupata.

Nina kila sababu yakuwapongeza wananchi wa Arusha kwakufanya uchaguzi kwa amani kwani amani ndiyo tunu na kitambulisho pekee ya Taifa letu,bila kuvisahau vyombo vya usalama kwakuhakikisha zoezi linafanyika kwa amani.

Mosi kwakuzingatia dhana ya utawala bora na uongozi bora inayotakay chama chochote cha kisiasa kukubali matokeo hata kama yamekuwa kinyume na matarajio waliyokuwa wameyatarajia,ni wazi kwamba CCM ni chama pekee chenye ukomavu wa kisiasa wa hali ya juu ukilinganisha na vyama vingine vya kisiasa ambavyo hulazimisha matokeo ya chaguzi yawe kama vile wao watakavyo hata kufikia kufanya fujo na vurugu zinazohatarisha amani ya nchi yetu.

Pili napenda kutoa himizo kwa wanaccm na viongozi wote walioshiriki uchaguzi wa Arusha kuwa kuvunjika kwa mpini sio mwisho wa uhunzi,tumejaribu,tumeweza na sasa tusonge mbele katika kuwatumikia watanzania kwani ilani iliyoko madarakani ni ya CCM.

Hakuna sababu yakukata tamaa kwa matokeo haya ya Arusha kwakuzingatia kwamba hata mbuyu ulianza kama mchicha, tujikumbushe kwamba kata hizo zilikuwa zinamilikiwa na chadema tangu awali na isitoshe kura tulizopata ni nyingi kuliko zile tulipata 2010 hii ni ishara ya wazi sasa kwamba wapo watu wengi walioichagua chadema 2010 lakini sasa wamegeuka na kuichagua CCM ishara ya kwamba sasa wanakiunga mkono chama cha mapinduzi.

Jukumu tulilonalo ni kujisahihisha pale tulipokosea na kuzitumia kura hizo kama mtaji wetu katika kipindi hiki kifupi kabla yakufikia uchaguzi mkuu ujao.kwakufanya hivyo tutakuwa tumejiweka katika nafasi nzuri zaidi ya kushinda.

Tatu napenda kuwapa hongera na pole chadema kwakujisahaulisha kuwa uchaguzi huu umefanyika katika mikoa mingi na sio Arusha pekeyake na matokeo ya awali CCM ilishinda kwa kishindo kwa kata 16 chadema kata 4 tu,iweje muwe wepesi wakusahau mapema hivyo?ukizingatia kwamba pamoja na ninyi kushinda kata 4 za Arusha na kuwafanya muwe na kata 8 bado CCM ni iyena iyena nambari wani.

Nadhani kuna swali la kujiuliza hapa sisi kama watanzania kwamba kuna nini kati ya chadema na Arusha?ukizingatia kuwa kuna mikoa mingine chadema ilifanya chaguzi na kushinda lakini matumizi ya helicopter yalifanyika Arusha tu. Niwakumbushe kwamba kunapotokea na chaguzi kinachoangaliwa ni matokeo ya jumla ya maeneo yote yaliyofanya uchaguzi na sio matokeo ya mkoa mmoja.

Chadema ingeonyesha kwamba ni chama makini endapo ingefurahia ushindi wa Arusha huku wakijitathimini sababu zilizopelekea CCM kupata kura nyingi kipindi hiki kuliko 2010 badala ya wao kuanza kubeza wanaccm,kubeza viongozi wa ccm walioshiriki uchaguzi huo pamoja na kubeza CCM bila kuzingatia kwamba mpaka sasa CCM wameibuka kidedea katika uchaguzi huu mdogo.

Waswahili walisema 'akipendacho chongo huita kengeza' ushindi wa chadema Arusha ni sawa na chongo ila wao wanang'ang'ania kuuita ni kengeza kutokana na CCM kushinda kata 16 chadema 8 halafu mnajiita mashujaa huku nikulazimisha chongo kuwa kengeza.
Kwani hata kipofu akiona mawingu hudhani kuwa kaona mbingu,kumbe ni mawingu tu na yatapita.

Ni vema mkatambua kuwa wa awali ni wa awali tu.

Naomba kuwasilisha,wenye hoja karibuni wanaotumia matusi kama kinga yao pia karibuni.

CCM umoja ni ushindi.

Viva CCM

Mkilewaga pombe huwa hamnaga hoja; nyinyi mmetumia polinyinyiemu kupiga mabomu na kutisha wananchi hadi hawajajitokeza kupiga kura, na tunajua wapiga kura wote wa nyinyiemu ndio waliopiga kura wa cdm ni wachache sana,raha yetu 4 bila basi. pia uje nikuazime kumbukumbu,uchaguzi mdogo uliopita na wa sasa pia chadema wana kura nyingi za macdiwani kuliko ninyi nyinyiemu na pia ukumbuke kuwa tumewanyang'anya kata zaidi ya 5 na hakuna yetu hata moja mliyotunyang'anya. karibu nikuazime akili kiduchu
 
Katika mantiki ya kutafakari baada ya uchaguzi ana haki ya kuandika alichoandika. Ni jukumu letu sisi tumjibu ipasavyo.

Tatizo la CCM ni kulazimisha ushindi kwa lazima! Acheni wananchi wachague viongozi wanaridhika nao.

Mkuu huyu mdada siyo kwamba anatafakari baada ya kushindwa.
Anachokifanya hivi sasa yeye na wengine ni kujiliwaza kwa aibu waliyoipata

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
VERIFIED MTUKANAJI anajulikana hapa JF anajulikana vizuri hata na moderators.

Muda huu anatumikia kifungo cha mwezi mmoja kwa kuwa verified mtukanaji. Huyo ndiye alikuwa campaign manager wa CCM kule Arusha, na ni kiongozi mkubwa ndani ya CCM, na ni mjumbe wa NEC ya CCM.

Timu hiyo hiyo ya campaign ya CCM imedhihirisha kuwa ina memba mwingine ambaye ni VERIFIED LIAR. Huyu anatumikia kifungo cha mwezi mmoja hapa JF kwa kusema UONGO uliokuwa verified kuwa ni UONGO na moderators wetu. Huyu ni Mtela Mwampamba (verified liar).

Sina hakika kama hili limetokea kwa bahati mbaya au ndio sifa zilizowafanya hawa wana CCM wakaaminiwa kuwakilisha chama kwenye kampeni zake.
Napenda kuona upinzani ukikuwa Tz ila hiki chama chenye mashabiki wanaoacha kujibu hoja na badala yake kumtukana mtoa hoja kina rudisha nyuma jitihada za kuukuza upinzani.

Ajabu humu ndani kuna viongozi wakitaifa wa CDM na wenye heshima zao lakini wameshindwa kujaribu kuwaambia wanachama wao wajibu hoja badala ya matusi. Zitto, Slaa, Mbowe, na miamba mingine ya CDM mpo wapi na kwanini hamjaona haja ya kuzuia wanachama wenu wasitukane.

Upinzani ni utofauti wa sera kwa njia ya ushawishi. Lakini kilichopo JF ni hoja zinazojibiwa kwa kejeli au matusi. Inasikitisha.
 
Juliana Shonza,
Demokrasia ni nzuri sana na ndio wengi wanaoipigania. Na wewe pia unatumia hiyo hiyo demokrasia kuandika utumbo usiokuwa na back up kwenye forum ya GT. Weka takwimu za uchaguzi 2010 katika hizo kata kisha ulinganishe na uchaguzi wa juzi ili uhakikishie watu kuwa mmejaribu mmeweza.

By the way, vipi MUZEE ana cope vipi baada ya kula ban?

Vilevile ningekushauri kuweka takwimu za kura ambazo CCM alipata kulinganisha na CDM katika uchaguzi wa jumla (CCM ilipoteza kata kwa CDM). Ukishalinganisha hizo kura ndipo unaweza kufanya conclusion kuwa CCM wameshinda. Kama kupoteza kata inamaanisha kushinda uchaguzi basi hata mimi itabidi nikatafute hako ka-digrii kako.
 
Ndugu wanajamvi hili nimekuwa kimya kwa mda kidogo baada ya uchaguzi wa Arusha niliona niwaache wanachadema mtambe mtambike mara baada ya ushindi huo mlioupata.

Nina kila sababu yakuwapongeza wananchi wa Arusha kwakufanya uchaguzi kwa amani kwani amani ndiyo tunu na kitambulisho pekee ya Taifa letu,bila kuvisahau vyombo vya usalama kwakuhakikisha zoezi linafanyika kwa amani.

Mosi kwakuzingatia dhana ya utawala bora na uongozi bora inayotakay chama chochote cha kisiasa kukubali matokeo hata kama yamekuwa kinyume na matarajio waliyokuwa wameyatarajia,ni wazi kwamba CCM ni chama pekee chenye ukomavu wa kisiasa wa hali ya juu ukilinganisha na vyama vingine vya kisiasa ambavyo hulazimisha matokeo ya chaguzi yawe kama vile wao watakavyo hata kufikia kufanya fujo na vurugu zinazohatarisha amani ya nchi yetu.

Pili napenda kutoa himizo kwa wanaccm na viongozi wote walioshiriki uchaguzi wa Arusha kuwa kuvunjika kwa mpini sio mwisho wa uhunzi,tumejaribu,tumeweza na sasa tusonge mbele katika kuwatumikia watanzania kwani ilani iliyoko madarakani ni ya CCM.

Hakuna sababu yakukata tamaa kwa matokeo haya ya Arusha kwakuzingatia kwamba hata mbuyu ulianza kama mchicha, tujikumbushe kwamba kata hizo zilikuwa zinamilikiwa na chadema tangu awali na isitoshe kura tulizopata ni nyingi kuliko zile tulipata 2010 hii ni ishara ya wazi sasa kwamba wapo watu wengi walioichagua chadema 2010 lakini sasa wamegeuka na kuichagua CCM ishara ya kwamba sasa wanakiunga mkono chama cha mapinduzi.

Jukumu tulilonalo ni kujisahihisha pale tulipokosea na kuzitumia kura hizo kama mtaji wetu katika kipindi hiki kifupi kabla yakufikia uchaguzi mkuu ujao.kwakufanya hivyo tutakuwa tumejiweka katika nafasi nzuri zaidi ya kushinda.

Tatu napenda kuwapa hongera na pole chadema kwakujisahaulisha kuwa uchaguzi huu umefanyika katika mikoa mingi na sio Arusha pekeyake na matokeo ya awali CCM ilishinda kwa kishindo kwa kata 16 chadema kata 4 tu,iweje muwe wepesi wakusahau mapema hivyo?ukizingatia kwamba pamoja na ninyi kushinda kata 4 za Arusha na kuwafanya muwe na kata 8 bado CCM ni iyena iyena nambari wani.

Nadhani kuna swali la kujiuliza hapa sisi kama watanzania kwamba kuna nini kati ya chadema na Arusha?ukizingatia kuwa kuna mikoa mingine chadema ilifanya chaguzi na kushinda lakini matumizi ya helicopter yalifanyika Arusha tu. Niwakumbushe kwamba kunapotokea na chaguzi kinachoangaliwa ni matokeo ya jumla ya maeneo yote yaliyofanya uchaguzi na sio matokeo ya mkoa mmoja.

Chadema ingeonyesha kwamba ni chama makini endapo ingefurahia ushindi wa Arusha huku wakijitathimini sababu zilizopelekea CCM kupata kura nyingi kipindi hiki kuliko 2010 badala ya wao kuanza kubeza wanaccm,kubeza viongozi wa ccm walioshiriki uchaguzi huo pamoja na kubeza CCM bila kuzingatia kwamba mpaka sasa CCM wameibuka kidedea katika uchaguzi huu mdogo.

Waswahili walisema 'akipendacho chongo huita kengeza' ushindi wa chadema Arusha ni sawa na chongo ila wao wanang'ang'ania kuuita ni kengeza kutokana na CCM kushinda kata 16 chadema 8 halafu mnajiita mashujaa huku nikulazimisha chongo kuwa kengeza.
Kwani hata kipofu akiona mawingu hudhani kuwa kaona mbingu,kumbe ni mawingu tu na yatapita.

Ni vema mkatambua kuwa wa awali ni wa awali tu.

Naomba kuwasilisha,wenye hoja karibuni wanaotumia matusi kama kinga yao pia karibuni.

CCM umoja ni ushindi.

Viva CCM
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/488642-juliana-shonza;anaota-ndoto-huku-amesimama.html
 
Yafuatayo ni matokeo ya kata zote 26 katika chaguzi zilizofanyika 16/06/2013 na 14/07/2013
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]WILAYA
[/TD]
[TD]KATA
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]CHDM
[/TD]
[TD]CUF
[/TD]
[TD]NCCR
[/TD]
[TD]DP
[/TD]
[TD]APPT
[/TD]
[TD]ADC
[/TD]
[TD]NRA
[/TD]
[TD]TOTAL
[/TD]
[TD]WINNER
[/TD]
[TD]former
[/TD]
[TD]Loser
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Nachingwea
[/TD]
[TD]Stesheni
[/TD]
[TD]806
[/TD]
[TD]327
[/TD]
[TD]480
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]1613
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sengerema
[/TD]
[TD]Nyampulukano
[/TD]
[TD]1073
[/TD]
[TD]1476
[/TD]
[TD]38
[/TD]
[TD]45
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]2632
[/TD]
[TD]CHDM
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]CCM lost
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sengerema
[/TD]
[TD]Lugata
[/TD]
[TD]2214
[/TD]
[TD]1044
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]3258
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Muheza
[/TD]
[TD]Genge
[/TD]
[TD]347
[/TD]
[TD]326
[/TD]
[TD]6
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]679
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Muheza
[/TD]
[TD]Tingeni
[/TD]
[TD]362
[/TD]
[TD]244
[/TD]
[TD]4
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]610
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bahi
[/TD]
[TD]Ibungule
[/TD]
[TD]863
[/TD]
[TD]248
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]9
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]1120
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chemba
[/TD]
[TD]Dalai
[/TD]
[TD]1361
[/TD]
[TD]1027
[/TD]
[TD]377
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]2765
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbinga
[/TD]
[TD]Langiro
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-NO
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-C
[/TD]
[TD]-O
[/TD]
[TD]-N
[/TD]
[TD]-T
[/TD]
[TD]-E
[/TD]
[TD]-ST
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Serengeti
[/TD]
[TD]Manchilla
[/TD]
[TD]676
[/TD]
[TD]625
[/TD]
[TD]16
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]1317
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya
[/TD]
[TD]Iyela
[/TD]
[TD]1163
[/TD]
[TD]1918
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]12
[/TD]
[TD]20
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]3113
[/TD]
[TD]CHDM
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]CCM lost
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mufindi
[/TD]
[TD]Mbalamaziwa
[/TD]
[TD]1420
[/TD]
[TD]184
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]1604
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilolo
[/TD]
[TD]Ng'ang'awe
[/TD]
[TD]686
[/TD]
[TD]217
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]903
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bukombe
[/TD]
[TD]Runzewe west
[/TD]
[TD]612
[/TD]
[TD]529
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]153
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]1294
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Temeke
[/TD]
[TD]Mianzini
[/TD]
[TD]1283
[/TD]
[TD]315
[/TD]
[TD]494
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]25
[/TD]
[TD]9
[/TD]
[TD]2126
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ulanga
[/TD]
[TD]Minepa
[/TD]
[TD]1196
[/TD]
[TD]1029
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]2225
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]TLP
[/TD]
[TD]TLP lost
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilombero
[/TD]
[TD]Ifakara
[/TD]
[TD]3746
[/TD]
[TD]4106
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]7852
[/TD]
[TD]CHDM
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]CCM lost
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilosa
[/TD]
[TD]Masanze
[/TD]
[TD]948
[/TD]
[TD]638
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]1586
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Monduli
[/TD]
[TD]Makuyuni
[/TD]
[TD]1547
[/TD]
[TD]360
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]1907
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Arusha
[/TD]
[TD]Themi
[/TD]
[TD]326
[/TD]
[TD]678
[/TD]
[TD]313
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]1317
[/TD]
[TD]CHDM
[/TD]
[TD]CHDM
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Arusha
[/TD]
[TD]Kimandolu
[/TD]
[TD]1169
[/TD]
[TD]2665
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]3834
[/TD]
[TD]CHDM
[/TD]
[TD]CHDM
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Arusha
[/TD]
[TD]Kaloleni
[/TD]
[TD]389
[/TD]
[TD]1019
[/TD]
[TD]169
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]1577
[/TD]
[TD]CHDM
[/TD]
[TD]CHDM
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Arusha
[/TD]
[TD]Elerai
[/TD]
[TD]1239
[/TD]
[TD]1715
[/TD]
[TD]213
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]3167
[/TD]
[TD]CHDM
[/TD]
[TD]CHDM
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Babati
[/TD]
[TD]Bashnet
[/TD]
[TD]1130
[/TD]
[TD]2008
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]3138
[/TD]
[TD]CHDM
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]CCM lost
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbulu
[/TD]
[TD]Dangobesh
[/TD]
[TD]968
[/TD]
[TD]1558
[/TD]
[TD]5
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]2531
[/TD]
[TD]CHDM
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]CCM lost
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Singida
[/TD]
[TD]Iseke
[/TD]
[TD]791
[/TD]
[TD]831
[/TD]
[TD]96
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]1718
[/TD]
[TD]CHDM
[/TD]
[TD]CHDM
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mtwara
[/TD]
[TD]Mnima
[/TD]
[TD]918
[/TD]
[TD]206
[/TD]
[TD]626
[/TD]
[TD]414
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[TD]2164
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]CUF
[/TD]
[TD]CUF Lost
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Kura kata zote
[/TD]
[TD]27233
[/TD]
[TD]25293
[/TD]
[TD]2837
[/TD]
[TD]471
[/TD]
[TD]20
[/TD]
[TD]9
[/TD]
[TD]178
[/TD]
[TD]9
[/TD]
[TD]56050
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Asilimia
[/TD]
[TD]49%
[/TD]
[TD]45%
[/TD]
[TD]5%
[/TD]
[TD]1%
[/TD]
[TD]0%
[/TD]
[TD]0%
[/TD]
[TD]0%
[/TD]
[TD]0%
[/TD]
[TD]100%
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Positions of the Parties before and After.
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[TD]CUF
[/TD]
[TD]TLP
[/TD]
[TD]TOTAL
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Wards Before
[/TD]
[TD]19
[/TD]
[TD]5
[/TD]
[TD]1
[/TD]
[TD]1
[/TD]
[TD]26
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Wards After
[/TD]
[TD]16
[/TD]
[TD]10
[/TD]
[TD]0
[/TD]
[TD]0
[/TD]
[TD]26
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Gainers and Losers
[TABLE="width: 600"]
[TR]
[TD]Losers (Former Seats lost)
[/TD]
[TD]Gainers (New seats gained)
[/TD]
[TD]Net Final position
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TLP – Lost 1 to CCM
[/TD]
[TD]CHADEMA – Gained 5 from CCM
[/TD]
[TD]CHADEMA GAINED 5
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CUF – Lost 1 to CCM
[/TD]
[TD]CCM - Gained 2 (From TLP and CUF)
[/TD]
[TD]CCM LOST 3
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM – Lost 5 to CHADEMA
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]TLP – LOST 1
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CHADEMA - none
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]CUF – LOST 1
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Umeandika vizuri isipokuwa hapo kwenye ''hata mbuyu utilization kama mchicha.'' CCM ni chama kikongwe kuliko vyama vyote hapa nchini. Hiyo nahau sidhani kama inaendana na ukongwe wake. Ni dalili ya kuanza kukata tamaa kuilinganisha CCM na mchicha ambao baadaye utakuwa hadi kuwa kama mbuyu. Mlipaswa tayari kuwa mmekuwa hadi mmefikia ukubwa wa ubuyu. Hiyo kauli ilitakiwa kutolewa na vyama vinavyoanza kukua.
ni kweli mkuu anamaanisha sasa mbuyu unarudi kuwa mchicha
 
kp17072013.jpg
 
Back
Top Bottom