Hongera Ben...

Ni heri umegundua kuwa bila kujibaraguza huna pa kutokea.

Ben ameoa tunampongeza!
Mkewe Ben tunamuheshimu kwa umri wake, mwonekano wake na ulimbwende wake kwa kipambanuzi cha wanawake wenzake!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Use..nge mulitaka nimuoe Hamissa Mobeto au Wema Sepetu?wacheni mambo yenu bana.Napenda maisha ya amani na furaha,sasa kama hayo nayapata kwa huyu munaemuona bibi kwanini nisitulie kwake?Nimewaachia nyinyi na akina Diamond hao munaowaona warembo na vijana,narudia tena niacheni na bibi yangu.Shwaiiinii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni heri umegundua kuwa bila kujibaraguza huna pa kutokea.

Ben ameoa tunampongeza!
Mkewe Ben tunamuheshimu kwa umri wake, mwonekano wake na ulimbwende wake kwa kipambanuzi cha wanawake wenzake!
Hujui hata unachokiongea,umebaki kuruka ruka tu kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa,kaa chini chukua muda ujihurumie na siku nyingine usipende kukurupuka kuniquote kwa jambo ambalo hujalielewa.
 
Kwan Ben jogoo anapanda mtungi kweli?
hilo nalo neno kama hapandi kafuata chaka la kujifichia naye alikuwa kwenye list ya mzee wa konki konki konki master.....!!!!!!!!!!!
 
Wanazeekaje pamoja huku mwingine tayari ashafanya booking

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…