Honda Fit inatoa mlio wa gu gu guuuu kwenye vishimo hata kwenye mwendo mdogo,

Lipugwaju

Member
Aug 18, 2019
60
73
Habari Wadau,

Gari yangu ni Honda fit inatoa mlio wa gu gu guuuu ( non metal clucking) mguu wa mbele kulia hata kwenye speed ndogo kwenye barabara yenye vishimo shimo.

Nimebadisha Shocks zote na Stabilizer links zote na kufanya ukaguzi wa kina stabilizer bushes na ball joints zote zikaonekana ziko safi isipokuwa hivyo vilivyobadilishwa. mlio bado uko pale pale. naomba ushauri wenu wadau.

Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Nilifanya alinement na Shocks zilifunguliwa wakakagua lakini hawakuona tatizo na kisha wakafungwa tena kwa uangalifu
 
Sijui kama nimeeleweka yaani uchezeshe usukani kwa directions za kutaka kona. Just small plays.

Itafaa pia mtu akae huko kwenye tairi la kulia asikilize.
 
Back
Top Bottom