mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,475
- 21,046
ha ha ha pamekaa poa sana nimepakubali pa kuvunjia milupo
huhitaji kukaribishwa always hapa ni nyumbani kwako
Thank youuuu.
Haya ndio maisha huwezi umiza kichwa sio maisha ya kuishi mijini yaani babylon tu, kila kitu pesa wakati hapo ukienda mita chache unachuma mboga au unakimbiza kuku, maisha yanaendelea