Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,069
Wow nice....nawe mungu atakufungulia kila neema kwa kumjali mama yako
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Unapokuwa na mzazi anayependa vitu alivyonavyo we jaribu kuboresha ili visimuongezee mzigo. Mzazi wangu alikuwa akienda shamba ni lazima arudi na kuni. Hata kama mkaa upo yeye furaha yake aone kuni nje. Kuna kipindi nilikuwa likizo tukaingia porini name wadogo, chanja kuni lori tatu zikamwaga home mpaka mwenyewe anaona aibu kuzibeba. Jasiri haachi asili lakini, kuna wakati huwa anabeba hata mmoja na kuuweka nyumbani kwake.