mkuu naona we hii mida haupogo kabisa bana,...!
good morning!
Mama ni mama Excel ..lets cherish the love to our mama.....love u so much my mama.
Nyumba kama hizi kule kwetu imebaki historia.
hahahaaaa!!! mkuu si nimekwambia huku ni baridi ya kufa mtu!!
yani hapa nna boonge la mkoti natembea pembeni ya road! hahahaaaa!!
Mama ni mama Excel ..lets cherish the love to our mama.....love u so much my mama.
kweli kabisa nanasi... hata kama umemzidi elimu.. bado atakuwa mama yako tu!
hata kama umemzidi pesa atakuwa mama yako bado tu..
hata kama unazungumza kingereza na kuishi saaaana marekani, bado mama atabaki kuwa mama yako..!!
jambo la msingi ni kwamba, tumkumbuke mama na kumrudishia fadhila...!
Ya ya ya ya yaaaaaa Excel hapo pa marekani hapo..whats so special kuishi amerika? Afu lile swali langu hujajibu mkuu wangu, uko amerika kweli au dar?
Jaman nani tena kapiga picha ghetto langu... Anyway mmenitambulisha Duniani.
Utasubiri sana
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Umekumbuka enzi mnasafiri siku nzima kwenda kutafuta kuni eti eeeh.! Na mabazazi yalikuwa yakiwavizia huko huko porini,mnagegedana na mambo yanaishia huko huko. Lakini wanawake wengi was vijijini wamebakwa sana wakati wakitafuta kuni porini. Acha tu maendeleo yawapunguzie matatizo!!!
Cc: wadada na wamama wote waliozaliwa vijijini.