Home Shopping Centre: How do they do business?

Ukweli utaupata kwa watu wanao leta mizigo toka China.
Siku moja usishangae ukiambiwa wao ni wakala wa TRA china.
 
Kwa uhakika zaidi njo tra awalipi kodi ukiuliza wanakwambia mali ya mkubwa..

Mkuu ungekuwa TRA kweli ungekuwa na muda wa kuongelea upuuzi huu? au ndo wale wale mliokamatwa mkono kwenda kupata ajira huko? Hivi kweli akili ya kawaida tu unategemea Rais aseme fulani usilipe kodi? duh, ama kweli tumekosa la kuchangia humu Jf.
 
Mbona mnamsakama huyo mwarabu ilhali kuna wakwepa kodi wakubwa ambao wanakwepa kodi kwa kuingiza vitu vyenye thamani kubwa kutumia MGONGO WA KANISA! na TRA ndio maana ikithibitika kutaka kuwekwa mtu mwengine basi wanatafuta hila za kumchafua mtu huyo kama kipindi fulani , tulisikia TRA mkulu alitaka kumbadilisha huyo mkulu wa hapo na yule alietaka kuwekwa ALICHAFULIWA KILA KONA , nani asielijua hilo, nadhani Mgimwa kitu cha kwanza kufanya ni KUMUONDOA HUYO MCHAGA hapo TRA , na awekwe mwengine la sivyo hakuna kitu hapo! na tunamsubiri tuone!
 
Hao hawana uhusiano wowote na Ikulu, ila hao wanacheza dili na yule Mchagga aliyekuwa mkubwa wa TRA. Wameiweka TRA mfukoni.

Ama kweli hii , kali kuna jamaa anachangia humu JF anasema ukitaka uamini njoo TRa, anaonesha ni jinsi gani alivyo fisadi alyekubuhu yaani anaamua kujiweka wazi kuwa yeye ndo chanzo cha maovu yote. kwa jinsi hii kweli tutamfunga kengele mnyama aliye husika.
 
Tena hao inasemekana na wao walikuwa ni mawakala wa kukaguwa magari wa TBS, disaster lililomuangusha waziri wa biashara.

Jamani, mashuka na foronya na ukaguzi wa magari wapi na wapi.

Halafu inasemekana ni watu wa karibu sana na Omar Mapuri.

Juzi waliwaweka wamahara wenzao ndani kwa kuwa tu wana ushindani wa biashara.

Madudu walikwisha fanya ni mengi sana lakini wanakaliwa kimya kwa fedha zao za kuhonga.

Siku za nyuma washampiga mlinzi wao na kumvunja mkono, hakuna aliyechukuliwa hatua. Mdogo wao mmoja kishawekwa ndani kwa kutumia silaha kinyume cha sheria, akatolewa kinyemela. Majumba yao yote ni marefu na hayana lifti (sheria baada ya ghorofa nne yawe na lifti) lakini hakuna mkaguzi anaeweza kusema chochote.

Kwa siku wanatowa kontena zaidi ya 50 bandarini, tena faster.

Inasemekana mpaka kina Tibaigana walikuwa na mshahara wao kwao.

Hao jamaa ni mafia wa hali ya juu.

Inashangaza sana kuona Serikali inanunuliwa kwa thamani ndogo. Hizi njaa za wakubwa zinatupeleka pabaya sana.
 
Mbona mnamsakama huyo mwarabu ilhali kuna wakwepa kodi wakubwa ambao wanakwepa kodi kwa kuingiza vitu vyenye thamani kubwa kutumia MGONGO WA KANISA! na TRA ndio maana ikithibitika kutaka kuwekwa mtu mwengine basi wanatafuta hila za kumchafua mtu huyo kama kipindi fulani , tulisikia TRA mkulu alitaka kumbadilisha huyo mkulu wa hapo na yule alietaka kuwekwa ALICHAFULIWA KILA KONA , nani asielijua hilo, nadhani Mgimwa kitu cha kwanza kufanya ni KUMUONDOA HUYO MCHAGA hapo TRA , na awekwe mwengine la sivyo hakuna kitu hapo! na tunamsubiri tuone!

Labda wameshapata nyepesi kuwa mkuu anataka kufanya mabadiliko hapo TRA wameanza majungu ili akifanya hivyo, basi ionekane kuwa chuki binafsi. Tmuombee Mkuu kila la heri afanye mabadiliko pale TRA bila kuogopa hayo majungu. TRA hakika kumeoza wala siyo lingine na njia pekee ni mabadiliko tu pale.
 
hawa wezi tuu uarabuni wangeshanyongwa ndio mana wmekimbilia huku kuja kutuibia tuu
 
Nchi yenye Tanzanite na Gold..........
67499_135467826503694_100001214312304_195469_627945_n.jpg
Z

Lakini wanachi wake ndo hawa!......... wanakula ubuyu as Lunch and dinner.....Inauma sana

Copy-2-of-Mr.-Simango-holding-baobab-shell-600x402.jpg

Haya ndio maji wanayokunywa........watanzania wanaoongozwa na CCM....
58507_1453551411695_1020591426_31042329_6483137_n.jpg

Hapa ndipo wanapotibiwa......Wakina mama zetu, watanzania wenzetu!

2.jpg

Nyie Vichwa tikitimaji better SHUT TF UP!!
 
Tena hao inasemekana na wao walikuwa ni mawakala wa kukaguwa magari wa TBS, disaster lililomuangusha waziri wa biashara.

Jamani, mashuka na foronya na ukaguzi wa magari wapi na wapi.

Halafu inasemekana ni watu wa karibu sana na Omar Mapuri.

Juzi waliwaweka wamahara wenzao ndani kwa kuwa tu wana ushindani wa biashara.

Madudu walikwisha fanya ni mengi sana lakini wanakaliwa kimya kwa fedha zao za kuhonga.

Siku za nyuma washampiga mlinzi wao na kumvunja mkono, hakuna aliyechukuliwa hatua. Mdogo wao mmoja kishawekwa ndani kwa kutumia silaha kinyume cha sheria, akatolewa kinyemela. Majumba yao yote ni marefu na hayana lifti (sheria baada ya ghorofa nne yawe na lifti) lakini hakuna mkaguzi anaeweza kusema chochote.

Kwa siku wanatowa kontena zaidi ya 50 bandarini, tena faster.

Inasemekana mpaka kina Tibaigana walikuwa na mshahara wao kwao.

Hao jamaa ni mafia wa hali ya juu.

Inashangaza sana kuona Serikali inanunuliwa kwa thamani ndogo. Hizi njaa za wakubwa zinatupeleka pabaya sana.

Mbona naona kama hili zengwe ni la kutaka kumtetea bsi TRA? Madudu yote hayo yasingetokea kama angefanyakazi ipasavyo, inabidi naye awafuate akina Mkulo na Ngeleja.
 
Nchi yenye Tanzanite na Gold..........
67499_135467826503694_100001214312304_195469_627945_n.jpg
Z

Lakini wanachi wake ndo hawa!......... wanakula ubuyu as Lunch and dinner.....Inauma sana

Copy-2-of-Mr.-Simango-holding-baobab-shell-600x402.jpg

Haya ndio maji wanayokunywa........watanzania wanaoongozwa na CCM....
58507_1453551411695_1020591426_31042329_6483137_n.jpg

Hapa ndipo wanapotibiwa......Wakina mama zetu, watanzania wenzetu!

2.jpg

Nyie Vichwa tikitimaji better SHUT TF UP!!
Wewe unakunywa maji gani na kutibiwa hospitali gani? au wewe ni mtoto wa Maige nini?
 
Back
Top Bottom