Holiday Greetings, Tuma salaam

salaam zangu za dhati kwanza zimfikie mume wangu mpendwa ..Nakupenda sana

baba paroko Kaizer na mpendwa katika bwana @C6

wifi zangu miss chagga Khantwe na ladyfurahia na wengine nisowajua

wadogo zangu miss neddy Heaven Sent Honey Faith..

kaka zangu muuza ubuyu Ntuzu spade4spade na wengineo

mashemeji zangu wote wakiongozwa na utafiti

my dear Rich Woman wherever you are..jua you are missed

na wale ma member tunaopishana nao kwenye usafiri wa umma nawaona wana log in na kucheka peke yao..iko siku nitaona username hata moja...

kwa members wote

i wish you a merry christmas and very happy new year
 
Last edited by a moderator:
nashukuru kupokea baraka hizo ingawaje mwanzoni nilishangaa tu kutokumbukwa
Usishangae mpendwa wangu. Muda bado upo. Nikutakie kila lililo jema kwako pamoja na wale woote uwapendao.
Cheers Cheers!
!!
 

Jamani thx mumy@mamaafacebook,
 
Last edited by a moderator:

 
Salamu zangu natuma kwa wafuatao@mamaafacebook,miss neddy@miss chagga@hevean sent@honey faith The Boss junior.cux@mentor Kikulchochako@Asprin Khantwe watu8 Tyta team picha MO11 Heaven on Earth@tized mshana jr my kaka@kaizer@mtambuzi utafiti nawengine wrote na watakia kheri ya Christmas na mwaka mpya,kheri na baraka tele nawapenda @mleta thread pia salamu zikufikie pamoja na Viol,Mr rock,na Shy land
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…