sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,478
Kwani dhambii??
Ofis gan zilizo wazi j'2..?
Kwani dhambii??
Ofis gan zilizo wazi j'2..?
Ofis gan zilizo wazi j'2..?
Usilolijua sawa na usiku wa giza
Mie mbona nakijua hicho kizee toka siku nyingi???
Huna lolote stress za kuachwa hizo
Kwani pesa zinatafutwa kwenye maofisi tu?
Sijawahi hata kufikiria kutembea na hicho kizee.Kwanza naanzia wapi mie?Si nitachekwa na kushangaliwa?
Exactly Eshy m.s.. mahaba yamenibamba katu siwezi kusaza.. ntaendelea kusubiri kwani muda si mrefu utaubaini ukweli hata kama ni mchungu kama shubiri..
Babe ake mimi ODM.... kam zis wei darling. kuna kasapraiz nataka nikuzimishe nako....
Tafazali njoo without....
Hii ni sawa na panya kufanya gwaride kwenye ghala lisilokuwa na nafaka....
Paka yuko machinjioniiii......
Heheheheheheheeee hata fisi huwa anasubiria kiganja cha mpita njia kianguke chenyewe....
Anabakia kula mizoga tu.
Am waitin hun..🙂
Hahahaaaaaa lionee
Hii ni sawa na panya kufanya gwaride kwenye ghala lisilokuwa na nafaka....
Paka yuko machinjioniiii......