Holiday Greetings, Tuma salaam

Salam zimfikie woote watakaopitia uzi huu

Nawatakia kheri na fanaka katika msimu huu

Amen! Salamu ziwafikie wana JF wote popote pale walipo. Nawatakia kila la heri ktk sikukuu hii ya Noel na heri ya mwaka mpya 2015. Mungu awape kila lililo jema kwa mwaka ujao wa 2015
 
Ahsante kwa salamu rafiki mpendwa kiwatengu na familia yako, Mungu awajalie afya njema na mwanzo mzuri wa mwaka ujao.
 
Last edited by a moderator:
Amen! Salamu ziwafikie wana JF wote popote pale walipo. Nawatakia kila la heri ktk sikukuu hii ya Noel na heri ya mwaka mpya 2015. Mungu awape kila lililo jema kwa mwaka ujao wa 2015

Amen na kwako pia ram
 
Last edited by a moderator:
Reactions: ram
Amen! Salamu ziwafikie wana JF wote popote pale walipo. Nawatakia kila la heri ktk sikukuu hii ya Noel na heri ya mwaka mpya 2015. Mungu awape kila lililo jema kwa mwaka ujao wa 2015

Asante na kwako pia.Weekend lazima nije kukutembelea kwa hao waarabu wako ram
 
Asante ram..
Ngoja nije PM kidogo..
 
Asante na kwako pia.Weekend lazima nije kukutembelea kwa hao waarabu wako ram

Karibu mum, Nasikia huko mjini ni balaa, barabara hazipitiki, mabatini ni sheeeeda zaidi
 
Last edited by a moderator:

Nashukuru kwa kunikumbuka la mujer de mi vida.

Sikukuu utailia wapi?
 
Ahsante sana kiwatengu...

Salamu nyingi kutoka kwa babu, bibi na timu ya wajukuu zao!

Kila la heri na Mungu awajalie siku kuu njema!
 
Last edited by a moderator:
mkuu siku hizi upo kimya,heri xmass na mwaka mpya njoo tufanye mchakato wa kusaka mbuzi wa xmass

Niko mkuu, nilikuwa na ka trip ka hapo Kagera..nimekamilisha sasa..
Mbuzi wanapatikana kwa wapi? Sio kama tumechelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…