salaam zangu za dhati kwanza zimfikie mume wangu mpendwa ..Nakupenda sana
baba paroko
Kaizer na mpendwa katika bwana @C6
wifi zangu
miss chagga Khantwe na
ladyfurahia na wengine nisowajua
wadogo zangu
miss neddy Heaven Sent Honey Faith..
kaka zangu
muuza ubuyu Ntuzu spade4spade na wengineo
mashemeji zangu wote wakiongozwa na
utafiti
my dear
Rich Woman wherever you are..jua you are missed
na wale ma member tunaopishana nao kwenye usafiri wa umma nawaona wana log in na kucheka peke yao..iko siku nitaona username hata moja...
kwa members wote
i wish you a merry christmas and very happy new year