Holiday Greetings, Tuma salaam


asante kwa salam.....nami nakutakia kila la kheri katika sikukuu ya xmass na mwaka mpya....
 
Last edited by a moderator:
Wakuu wote mlionisalimia nawashukuru sn! Nami nawatakieni kheri na fanaka ktk kipindi hiki cha mwisho Wa mwaka na mwaka mpya!
 
Asante bebiiii ladyfurahia! Kwa upendo huu jamani ntazidisha mapenzi yangu ya kisukuma kwako!
 
Last edited by a moderator:
Don't cry my babe! She won't take me!


Una uhakika na wewe maana usinifanye niingie kazin na ninauhakika ukingia hapa kwa huyo kichuna wako hutakaa ukapakumbuka mie ndo mamaafb toto la kitang ntacheza na kila mizungu ntakupata tu labda nisiamue

Mmmmhhh swty... mamaafacebook mbona kasema anakuchukua...nalia mimi
Nyooo muangalie lia tu kwan machozi n kisima kua ukilia sana kitakauka
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…