hahahahahahahahaha du jamani umenichekeshaInabidi mkazi wa hiyo kasri asifiwe kwa kutochezea ovyo mali ghafi ya maji ambayo sehemu kubwa ya watanzania wanaihangaikia! Hii ni dalili ya uzalendo wa hali ya juu!
Amandla........
hahahahahahahahaha du jamani umenichekeshaInabidi mkazi wa hiyo kasri asifiwe kwa kutochezea ovyo mali ghafi ya maji ambayo sehemu kubwa ya watanzania wanaihangaikia! Hii ni dalili ya uzalendo wa hali ya juu!
Amandla........
mwkjj
usiende mbali huko kote we tupe ya US embassy tu hapa tz ili tukompeee
US Embassy in Tanzania
wote wamekimbilia oysterbay na ada estate.siku moja tausi alitua kwenye nyumba ya rafiki yangu kasheshe ilizuka kati ya tausi na kuku.kuku walikuwa wanamkimbia tausi ili hali tausi alikuwa anawafuata kuku kazi ilikuwepo.he he he mflame hajavaa nguo. Lakini mbona wale ndege wanaoitwa tausi waliokuwepo zamani kweli lile banda hawapo, eh au wamepeperuka wote!! inasikitisha sana kuona banda letu liko kama shule ndeefu
This is imposibo;.. mbona uko kama Marekani labda kwa sababu wana hela nyingi na wao ni taifa kubwa maana tofauti ya majani ndani ya huo Ubalozi na nje ya kuta zake ni kama mchana na usiku vile! Hivi tukihamisha Ikulu na kuiweka humo na Ubalozi kwenda Magogoni.. yawezekana tukaacha hizo nyasi zikauke tena..?
Hizi picha za zamani kidogo ila kwa haraka haraka naona lawn ilikuwa ya kijani vizuri tu.
...aaah ,
...kipindi hicho si majani tu, hata hospitali ya amana iling'ara, wagonjwa walivishwa pajama, na kupewa milo mitatu incl chai nzito na mayai.
...unakumbuka Clinton alipopita "transit" KIA mwaka ule lami ilipigwa deki kwa Omo?
Unless of course, if you have to!!