Hold your comments (angalia usitoe maoni)

Swali langu hiyo picha ilipigwa lini? Maana tangu nimeanza kutumia google earth picha ni hiyo hiyo, kuna thread nilishawahi kuipost. Zile picha za Bush alivyokuwa Ikulu naona nyasi zilikuwa za kijani vizuri tu, mwenye nazo atupostie.
 
Linganisha mazingira hayo na ya Jumba Jeupe la DC.. well najua Wamarekani wao ni Taifa tajiri zaidi.. but then i thought about that BMW ambalo JK aliingia nalo Taifa juzi..

Sidhani kwamba kupanda ukoka na kuutunza kunahitaji taifa kuwa tajiri, au mwenye nyumba kuwa tajiri especially in Bongo. It is just the matter of taste kwa mwenye nyumba.

Sasa JK pale kwake bagamoyo hata unyasi mmoja hamna hata pale migombani st. sidhani kama ana garden yoyote, sasa unafikiri anaona tofauti hapo kwanza anaweza kuwa anashangaa kwa nini hivyo vichaka havikatwi.
 
Inabidi mkazi wa hiyo kasri asifiwe kwa kutochezea ovyo mali ghafi ya maji ambayo sehemu kubwa ya watanzania wanaihangaikia! Hii ni dalili ya uzalendo wa hali ya juu!

Amandla........
 
Swali langu hiyo picha ilipigwa lini? Maana tangu nimeanza kutumia google earth picha ni hiyo hiyo, kuna thread nilishawahi kuipost. Zile picha za Bush alivyokuwa Ikulu naona nyasi zilikuwa za kijani vizuri tu, mwenye nazo atupostie.

Hii inaelekea ilipigwa wakati ule wa ukarabati mkubwa
 
Unless of course, if you have to!!

i138_StateTz.jpg

Hizo picha zilipigwa saa ngapi. Mbona pamoja na utitiri wa magari ya ofisi hizo haionekani kama kuna gari nje?
 
Hizo picha zilipigwa saa ngapi. Mbona pamoja na utitiri wa magari ya ofisi hizo haionekani kama kuna gari nje?

Magari yanaishia wizara ya elimu na hazina. Ukitaka kuyaona yakitembea, nenda Google Earth!

Halafu leo polisi wanawashika watu kwa kupiga picha polisi posti!
 
Magari yanaishia wizara ya elimu na hazina. Ukitaka kuyaona yakitembea, nenda Google Earth!

Halafu leo polisi wanawashika watu kwa kupiga picha polisi posti![
Ukipiga picha kituo cha polisi nani atajuwa kama unataka kuiba EXIHIBIT au mishahara ya askari itakapoletwa.Lakini google ni kwa ajili ya wenye makombora ya mbali kuangamiza sehemu wanayoitaka-upo ndugu yangu?
 
Mishahara ya polisi inalipiwa polisi posti? Exhibit gani ya maana inawekwa polisi posti? Hebu niambie, kuna siri gani kuhusu polisi posti ambazo mara nyingi zimejengwa kwa nguvu ya wananchi? Mwenye Makombora ya mbali hatumii Google Earth. Yeye akitaka, hata namba za gari anaziona!
 
Google Earth pictures kwa upande wa Tanzania ni za zamani sana. Labda kwenye 2006 au kabla ya hapo. Mimi nimewahi kutafuta nyumba yangu nikakuta kiwanja kiko empty. Ukitaka proof, jaribu kutafuta maeneo kama Mlimani City au barabara ya Sam Nujoma utaona bado iko under construction.
 
he he he mflame hajavaa nguo. Lakini mbona wale ndege wanaoitwa tausi waliokuwepo zamani kweli lile banda hawapo, eh au wamepeperuka wote!! inasikitisha sana kuona banda letu liko kama shule ndeefu
 
Back
Top Bottom