ka-inzi labda kanapata resistant fulani, unajua hakawezi kutua kwenye moto? kanasubiri moto uzime kachukue info katuletee!
Mkjj Kenye hiyo ishu usitumie ka-inzi kadogo, tumie LILE kubwa huwa yanapatikana.. sehemu fulani. kwa hiyo siyo kainzi tena ila ni LI-JIINZI.
lenyewe huwa haliogopi harufu kali wala giza!