Mwenye picha ya Kariakoo atupie tafadhali.Hatuwezi - kupima viwanja, kupangilia ujenzi wa majengo, usafi, kukarabati yaliyopo,kutunza mazingira, kupanda miti. Tunaweza nini? Wakati tuna mtiririko viongozi kibao na kujisifu tuna vyuo vukuu vinavyo zalisha wataalam.
Hatuwezi - kupima viwanja, kupangilia ujenzi wa majengo, usafi, kukarabati yaliyopo,kutunza mazingira, kupanda miti. Tunaweza nini? Wakati tuna mtiririko viongozi kibao na kujisifu tuna vyuo vukuu vinavyo zalisha wataalam.