Hoja ya Zitto sio ya CHADEMA

Nilikua naweka kumbukumbu sawa ili kuzuia upotoshaji wa makusudi uliotaka kufanywa na genge la watu wachache kwa maslahi yao na ya chama chao
 
Lakini zipo sahihi za wale mnaosemaga wameolewa na ccm pia msizisahau hizo,ndio maana nikasema hili sio la chama ni la wabunge bila kujali vyama
 
Tatizo litakua umeweka mbele ama unaendekeza siasa za vyama na kuchanganya kila kitu na siasa za vyama...!
 
Mbona zitto hiyo posho hachukui ina maana yeye hajui hiyo sheria au ameonyesha kwa vitendo kwamba anasimamia anachokisema?
 
Mngesusia posho za kukaa kitako bungeni kama zitto ndio maneno yako yangekua na maana
 
Lakini zipo sahihi za wale mnaosemaga wameolewa na ccm pia msizisahau hizo,ndio maana nikasema hili sio la chama ni la wabunge bila kujali vyama

Lengo lako ni kuwagawa wabunge wa upinzani kitu ambacho kitakuwa ndoto. Hoja hapa si nani kaanzisha nini, maana hilo kwa watanzania is useless ila ni kina nani wanatetea masilahi yao. Ukiangalia hapo ni kwamba waliosasini ndiyo hasa wana uchungu. Ila kikubwa zaidi kitaonekana kwenye kura za siri kama waziri mkuu atapona basi itakuwa ni dhahiri kuwa CCM wanapepeta maneno na kuogopa matendo maana wao ndiyo wanaweza kufanya 50+1 percent ikatimia.
 
sasa jamaa zako hilo hawalitambui wanaanza kutukana mamba(wabunge wa ccm) kabla hawavuka mto,wanadhani sahihi 70 ambayo ni 20% tu ya wabunge zinatosha kuiangusha serikali bungeni,hawajui wanahitaji asilimia 51 ya wabunge ambayo ni sawa na wabunge 178 kufanikisha hilo,wakati wao peke yao hawafikishi hata wabunge 50 bungeni,waache kujidai wanaweza kuleta mabadiliko peke yao wakati uwezo huo hawana na wala hawajawahi kuwa nao,tatizo wamejawa na kibri ndio mana wamekua hawafanikiwi
 
KIM KARDASH,
Mkuu wangu Zitto ni mbunge wa Chadema hilo huwezi kuliondoa hata kidogo na kama angesimama Hamis Kombo wa CUF ingejulikana hoja imetolewa na nani na mbunge wa chama gani. Na hata Makamba aliposimama na kuhoji zoezi hili alisimama kama mwana CCM japokuwa yupo ktk kamati za bunge upande wa Upinzani (madini). Swala la kuungwa mkono hoja linatokana na wabunge wenyewe kutazama maslahi ya wananchi wake sio ya Chadema. Na kama uliona sii ya Chadema mbona hukusimama wewe?
 
Kim na wenzako ambao mnataka kuifanya hii issue kuwa ya kichama mnashangaza, hakuna aiyesema hii issue ni ya chama fulani, bali ni ya wabunge wote na ni ya kitaifa zaidi.

Komeni kabisa kuharibu mikakati ambayo ni ya kitaifa zaidi... mnaboa sana....
 
Tatizo mimi huwa siku zote nasimamia kwenye kusema yale ambayo watu hawapendi kuyasikia lakini yapo,ndio mana nawatoa povu jingi,mi sijali povu la mtu kwa kuwa siko hapa ku win applause kama wengi wenu mlivyo,bali kuongea kile ambacho kipo lakini watu wamechagua kutopenda kukisikia
 
Huu sasa unaoleta hapa ni upuuzi.... unataka kuifanya hii issue ya kichama zaidi...au ndo tuite wivu wa kike?:A S angry:
 
This is a simple Cra p! Kwa kuanzia tu 20 % hawamtaki mzembe Pinda. Kumbuka hao wanawakilisha majimbo yao, ni busara tu atumie! Kura ni ya Siri sintoshangaa ikifika huku wabunge 200 wakamkataa

Bravo Zitto
 
Anakujibu huyu jamaa hapo chini mimi nimechoka naona labda tatizo ni mimi kutoa majibu...msome vizuri

Da kazi kweli kweli....mbona wapinzani watupu ...? CCM 2 tu ? haina haja kupeleka hoja hii, hapa inaonekana Zito kuna ajenda ya siri labda anataka kupanda chati agombee Urais kumpiku Slaa 2015, pia inawezekana kuna maslahai binafsi ya baadhi ya kamati hizi bunge..nimemsikia Nundu akieleza kwa nini haoni sababu ya kujiuzulu..kumbe kuna watu wana shinikiza KAMPUNUI MOJA TU YA CHINA CIVIL AND CONSTRUCTION LTD bila ya kufata taratibu za Zabuni,
yeye anataka zabuni iitwe na zishindane ili kampuni iliyo bora zaidi ifanye kazi..hizi ndio taratibu, sasa maslahi ya watu binafsi wanaenda wanatoa ripoti za kubuni kwa kina zito na wao bila ya tafiti au kwa maslahi watayopata wanamgeuzia kibao waziri Nundu.
ndio maana CCM 2 tu wamesaini motion hii, Namfahamu NUndu ni mtu msafi sana...kuliko zito..as inaoneka zito kupewa ukuu wa kamati hii ya bunge basi kuna maslahi anayaweka..rejea sakata la CHC NA MKULO ..hali ni hio hio....maslahi tu
wasijifanye wanatetea maslahi ya nchii hii.wote ni maslahi tu.
chunguzeni , someni itafute ripoti ya CAG UJUE UKWELI KUPOTOSHA KWA MASLAHI BINAFSI HAISAIDII KITU
 
Nafikiri mtoa maada anahitaji msamaha kwani anaingiza vyama kwenye hoja nzito za kitaifa. suala hapa ni pesa zetu kuliwa na wajanja kitu ambacho tunahitaji kusikitika na kupambana nacho
 
Sijawahi kuona katika maisha yangu watu wanafiki halafu wasahaulifu kama mashabiki wa chadema wakiongozwa na watu kama wewe,leo wewe unathubutu kusema kwamba hoja siku zote inaanzishwa na mtu mmoja!mbona kwenye ile hoja ya mazungumzo kati ya chadema na ikulu(rais)kuhusu mchakato wa katiba nilipoweka thread hapa na kusema kwamba ni zitto ndio alieianzisha mlinizomea kama mnavyonizomea leo huku mkidai haikua hoja iliyoanzishwa na zitto,mkadai hoja huanzishwa na chama siku zote?

Tuache unafiki.
 
Kuna shabiki mmoja wa Chadema anakaa maeneo ya Kimara anawambia jamaa zake kuwa Zitto katumwa na Slaa kupeleka hiyo hoja.

si ndio nimewakumbusha hata ile ya mazungumzo ya viongozi wa chadema na na jk tulipowaambia ilianzishwa na zitto na wale wazee kina warioba jamaa kwa kuwa zitto hatokei kaskazini mwa tanzania wakaipinga mbaya wakidai ni slaa!
 
WEE KARDASH muda mrefu nakuona unaishabikia ccm bila fact bt kuishabikia ccm shurti uwe na akili ya maiti,hoja yako haina mashiko.mbona ulisemaga kauli ya MTEI ni ya chadema? Sasa zitto nae c chadema.what u expert there
Lini niliwahi kuihusisha kauli ile ya kilevi na chadema,hebu ni quote mkuu,ni nyie kwa kuendekeza ukaskazini ndio mliiguza ile thread yangu kuwa ni mashambulizi yangu kwa chadema na wote mkaungana kunipinga kwa kuweka mbele ukaskazini,lakini mimi nilichosema mtei na jussa ni watu hatari sana na wanafaa kupuuzwa,usiniwekee maneno mdomoni please mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…