Ni kweli naongea Kiswahili, na ni kweli hapo nimeandika Kiingereza, sijui nikusaidie nini dogo!!...Mbona unaandika kiingereza kama unaongea kiswahili?
Wengine wana PHD na ni walimu wa chuo kikuu lakini tumewashuhudia juzi tu pale Bungeni wakishindwa kujieleza kwa Kiingereza Fasaha, lakini wakiwa kwenye keyboard humu mbwembwe kibao!! nyambafu zao kabisa.ULITAKA AONGEE KINGEREZA KAMA ANAANDIKA KISWAHILI..Wabongo kwa kujifanya wanajua kingereza hamjambo...
Mbona unaandika kiingereza kama unaongea kiswahili?
Kama hukijui usijilazimishe kuandika..Ni kweli naongea Kiswahili, na ni kweli hapo nimeandika Kiingereza, sijui nikusaidie nini dogo!!...
Mshauri na Mkuu wetu pale Magogoni kwamba Manufacture Teachers si Kiingereza fasaha na pia umshauri spika abadilishe kanuni za kuwapata Wabunge wa East Afrika maana kuna watu wana PHD lakini walishindwa kueleweka walikuwa wanaongea Kiingereza cha wapi!!Kama hukijui usijilazimishe kuandika..
Tumia tu kiswahili, huoni sasa hivi kwenye hii post yako hujatumia kiinngereza na umeandika kwa ufasaha?
Kwa hili sitokubaliana nawe na wala tusichanganye mambo kwenye hoja hii ya kutokuwa na imani na PM. Hoja ya Zitto ni hoja ya Watanzania wengi ingawa yeye ndiye aliyeianzisha, ingawa Chadema ndio waliyoianzisha. Siku zote lazima awepo mtu wa kwanza wa kurusha jiwe, yule asiye na dhambi. CCM hawakufanya hivyo kwa sababu wakubwa wao wamejaaa madhambi, na wale wasiokuwa na dhambi walikuwa waoga hadi pale Zitto aliporusha jiwe.Utasemaje hoja ya Zitto sio ya CHADEMA wakati Zitto mwenyewe ni CHADEMA. Kwenye hili hata Lusinde anakuzidi
Duh! Ngoja nikuache, hueleweki, nishakuona kilaza tu. Hatupo kwenye level moja.
I mis some point here.......what you was trying to say boy!!
Labda tu nikusaidie kidogo. Ukiifuta CHADEMA sasa hivi basi ujue na ubunge wa Zitto utakoma hapo hapo. Hayo yote Zitto anayoyafanya sasa hivi ni kwa sababu chama chake (CHADEMA) kiliona anafaa kukiwakilisha kupitia jimbo la Kigoma Kaskazini. Zitto ni part ya System na System ni CHADEMA. Huwezi kuwa na part ya system ambayo haina similarities na system yenyewe. Kama bado hujaelewa basi potezea. Utaelewa vitu vingine, sio lazima uelewe kila kitu. Kufaulu sio lazima kupata 100 hata aliepata 81 kafaulu pia
Hivi tukiondoa System. Part ya system itakuwa wapi?
Duh! Ngoja nikuache, hueleweki, nishakuona kilaza tu. Hatupo kwenye level moja.