Hoja ya "Muungano wa Mkataba" ni Muflisi!

Hivi hujui kuwa BUdget ya Tanzania asilimia 10 anatoa USA ? Sasa mbona hilo husemi ? Wakati zanzibar ilipo sign mikataba ya meli za mafuta huko dubai na kubainika kuwa kuna meli za iran ina pepea bendera ya muungano, muna membe alikuja juu, kwa vile mbunge wa marekani alituma barua kuwa ataka misaada yote kwa tz kama itaendelea kuvunja mkata walio kubaliana.

Nchi yoyote haiwezi kupiga hatua kiuchumi kama haiwezi kushirikiana na nchi jirani katika masuala ya kibiashara na uchumi, na hilo ndio lengo kuu kwa zanzibar ili kuweza kujinasua kuchumi, katika uchumi kuna mambo mawili, internal economy na external economy, internal economy inategemeana na external economy na akikosekana external internal nae hushindwa ku move on kutokana hizi zote zinategemeana.

Lakini asikuwambie mtu uhuru ndio msingi mkuu, wewe hapo ndani ya nyumba yako mfano aje mtu akufunge kamba ya mguu, akuambie ukitaka kutoka nje niombe ruhusa, ukitaka kwenda dukani niombe ruhusa vipi utajisiakiaje ? Wakati nyumba ni yako na wewe ndio ulio ijenga kwa gahamazako atoke mtu from no where aje kutawala ndani ya nyumba yako ?

Hilo ndio tulilo nalo wazanzibari.

what do u think?
 
la msingi hapa ni kwamba ni jukumu la Wazanzibar wenyewe ambao wanona wananyonwa, kujitoo yao na kujiamulia mambo yao. BASI. Hata kama mtu ana akili ya samaki, la muhimu Wazanzibari amueni, acheni kulalamika.
 
MwanaKijiji,
Umeandika sana kuhusu Zanzibar. Bahati mbaya kabisa WaZanzibari wengi sio wasomaji. Hao wachache wanaobahatika kukusoma, walichosoma sicho wanachokwenda kuwaeleza wenzao. Akili na fikra za WaZanzibari wengi zinamilikiwa na watu wachache sana. Hawa wachache wanachokisema ndicho kinachofuatwa. Maalim Seif pamoja na ujinga mwingi anaoufanya ikiwemo hii SUK bado anamiliki akili za WaZanzibar wengi sana.

WaZanzibar wachache sana wanajua kuwa CUF imeshakufa na aliyepo ni Maalim Seif pekee.
 
MzeeMwanakijiji hoja yako ni very clear kama kawaida yako.Labda kwa madhumuni ya objectivity au kujifunza,ni kwa vipi huu mfano ni invalid na wa kwako wa Uingereza na Marekani ukawa valid?

kwa nini unamwaga sifa ovyo. Suala la zanzibar. Muulize huyo mtu wako anaielewa vipi znz?
 
Last edited by a moderator:
MzeeMwanakijiji hoja yako ni very clear kama kawaida yako.Labda kwa madhumuni ya objectivity au kujifunza,ni kwa vipi huu mfano ni invalid na wa kwako wa Uingereza na Marekani ukawa valid?

tatizo lenu hamtaki kumfahamu mmwanakijiji. We need the muungano, lakini kuna matatizo ktk muungano huu. Solution siyo kuvunja. Waznz akili ya samaki kweli. Jipangeni mueleze, mnataka nini. Tuyafanye vipi mpaka mjihisi hamuonewi?
 
Last edited by a moderator:
Zanzibar bwana, mimi kusema ukweli sioni kama huku Tanganyika tunapata faida yoyote na muungano. Hako kakisiwa kanakopigiwa kelele ni kadogo kama eneo la mfugaji mmoja huku Tanganyika. CCM achieni hawa watu waende baadaye wavunjike wapate nchi ya PEMBA na UNGUJA
Unasema waacheni waende halafu unawatisha kwamba baadae wataishia kutengana wenyewe, wewe ndio unawahitaji Wazanzibar. Ndio maana unawatisha wasiondoke!
 
MwanaKijiji,
Umeandika sana kuhusu Zanzibar. Bahati mbaya kabisa WaZanzibari wengi sio wasomaji. Hao wachache wanaobahatika kukusoma, walichosoma sicho wanachokwenda kuwaeleza wenzao. Akili na fikra za WaZanzibari wengi zinamilikiwa na watu wachache sana. Hawa wachache wanachokisema ndicho kinachofuatwa. Maalim Seif pamoja na ujinga mwingi anaoufanya ikiwemo hii SUK bado anamiliki akili za WaZanzibar wengi sana.

WaZanzibar wachache sana wanajua kuwa CUF imeshakufa na aliyepo ni Maalim Seif pekee.

we need CUF, We need SUK, We need to declare now we must have jMT.
 
tatizo lenu hamtaki kumfahamu mmwanakijiji. We need the muungano, lakini kuna matatizo ktk muungano huu. Solution siyo kuvunja. Waznz akili ya samaki kweli. Jipangeni mueleze, mnataka nini. Tuyafanye vipi mpaka mjihisi hamuonewi?
Wewe uko dunia gani ? Hivi huwaoni wazanzibari wanao toa maoni ya muungano wa mkataba ? Sasa ulitaka tufanye nini mpaka utuelewe ?

Kwa maoni ya katiba mpya mpaka hivi sasa inaonyesha kuwa asilimia 75 pemba wanataka mkataba, asilimia 49 unguja wanataka mkataba, bado ukusanyaji wa maoni unaendelea, lakini mpaka sasa hivi inaonyesha kuwa mkataba uko juu zaidi na umekubalika kwa wazanzibari.

Muungano wa mktaba kwa kiengereza wanaita union of treaty. Huu ndio utaka maliza mgogoro wote wa muuungano,matatizo yatakuwapo ya hapa na pale lakini suluhisho lake linakuwa ni la urahisi zaidi kwani maamuzi kila upande yanakuwa ni huru, ukitaka kuendelea au kutoendelea na makubaliano hayo yanakuwa ni uhuru kabisa bila ya vikwazo.

Kila upande unao haki ya kukata jambo ambalo linaona halina maslahi kwa upande wake, tofauti muungano wa sasa hivi wa kikatiba, umekuwa ni vgumu kutoa maamuzi,kwa mfano suala la mfuta na gas kutolewa katika muungano, mambo ya nje kutolewa katika muungano, kodi, police, na mengine ambayo yalipendekezwa kutolewa na serikali ya mapinduzi ya zanzibar.
 
MzeeMwanakijiji hoja yako ni very clear kama kawaida yako.Labda kwa madhumuni ya objectivity au kujifunza,ni kwa vipi huu mfano ni invalid na wa kwako wa Uingereza na Marekani ukawa valid?

tatizo lenu hamtaki kumfahamu mmwanakijiji. We need the muungano, lakini kuna matatizo ktk muungano huu. Solution siyo kuvunja. Waznz akili ya samaki kweli. Jipangeni mueleze, mnataka nini. Tuyafanye vipi mpaka mjihisi hamuonewi?
 
Last edited by a moderator:
tunataka serikali moja, nataka nikafungue mabucha ya NOAH kule zenji, nasikia inalipa sana.
 
Kama Baraza la Wakilishi (BLW) liliweza kupitisha yale mabadiliko ambayo KATIBA ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshindwa kuyapitisha sioni ugumu wa BLW kuanzisha mchakato mahsusi wa kuiondoa Zanzibar kwenye Muungano. Wamebakiza nini kwani. Mipaka ya NCHI yao wameianisha vizuri tu kwenye Katiba yao. Rais wanaye. Bendera wanayo. Wimbo wa Taifa wanao.

Fanyeni kama MwanaKijiji alivyowashauri kwenye thread hii na nyingine nyingi. Jussa utakuwa umemaliza msiba. Ingia kazini.
 
1) "Mtu mwenye akili akikushauri jambo la kipumbavu akijua nawewe una akili ukalikubali atakudharau".

Katika hili kama maji machafu ya maporomoko wengi wamekumbwa. Wamekumbwa vijana, wamekumbwa wazee na wamekumbwa wasomi na wasio wasomi. Wengi wanaimba wimbo wa "Muungano wa mkataba" ambao kibwagizo chake hakipo zaidi ya 'Zanzibar kwanza'. Wazanzibari walete mswada kwenye Bunge lao (Baraza la Wawakilishi) wa kusimamia kura ya maoni na waulizwe tu swali moja jepesi "JE UNATAKA ZANZIBAR IJITOE KWENYE MUUNGANO NA TANGANYIKA IFIKAPO JANUARI 1, 2014?"

2) Watanganyika hawatakiwi kuamua hatima ya Zanzibar
Watanganyika (Watanzania Bara) hawajali kabisa kama Zanzibar itatoka kwenye Muungano kwani hawajali upande mwingine kama Zanzibar ipo.

3) HOJA YA PILI - UFUATIE MUUNGANO WA MKATABA

Hakuna Muungano wa Mkataba

Hakuna nchi yenye muungano wa mkataba duniani. Kuna nchi zenye Muungano wa kikatiba (ambao ni Mkataba Mkubwa zaidi kama ulivyo sasa) na kuna makubaliano ya mahusiano ya kimataifa (treaties on international cooperation).
Tayari Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tayari wamekuwa na mikataba mingi baina yao.

Kumbe basi Muungano wa Mkataba upo tayari. Ni muungano huu wa mkataba umewezesha ushirikiano wa sehemu hizi mbili.

Mawazo yangu:

Kwanza pongezi sana M/jiji kwa ufafanuzi na maoni yako ya kina ila naomba nichangie kama ifuatavyo kwa mujibu wa hoja zako:

1) Hiyo point ya kwanza inawezekana ikakurudia wewe. Kwamba unataka tukuamini unachokiseam ni cha kweli ilhali unafumbia macho ukweli kwa upande mwingine. Kwa hiyo you want to make us look foo as well.

2) Watanganyika kwa kiasi kikubwa ndio kikwazo kwa wazanzibar kufanya kura ya maoni kuhusu muungano. Utakumbuka kwamba hata katika haya maoni ya katiba swala la kuujadili muungano lilipingwa na Rais Mwenyewe. Sio huyu tu hata enzi za Mwl Julias Nyerere tuliona G55 ilivyosambaratishwa. Unajua kwa nini Nyerere alipinga G55 wasiendelee na hoja yao, ikiwa kujitoa au kubaki ni suala la ZNZ peke yake?

Au wakati ule radio waves zilikuwa hazikufikii kijijini? Umetoa mifano ya mbali na ya zamani sana ambapo hata pengine ulikuwa hujazaliwa na unaacha mifano iliyokukuta ukiwa kijana?
Kwa hiyo si kweili kuwa Tanganyika iko radhi Zanzibar kujitenga. Hili liko labda kwa vidagaa lakini mapapa hapana.

3) Hiyo pint ya 3 nimebold pale unaposema hakuna muungano wa mkataba and at the same time unasema huu uliopo ni wa mkataba tayari. Which is which? Au umekumbwa na maporomoko ya maji machafu? Aaa Mwanakijiji!!!
 
MwanaKijiji,
Umeandika sana kuhusu Zanzibar. Bahati mbaya kabisa WaZanzibari wengi sio wasomaji. Hao wachache wanaobahatika kukusoma, walichosoma sicho wanachokwenda kuwaeleza wenzao. Akili na fikra za WaZanzibari wengi zinamilikiwa na watu wachache sana. Hawa wachache wanachokisema ndicho kinachofuatwa. Maalim Seif pamoja na ujinga mwingi anaoufanya ikiwemo hii SUK bado anamiliki akili za WaZanzibar wengi sana.

WaZanzibar wachache sana wanajua kuwa CUF imeshakufa na aliyepo ni Maalim Seif pekee.

Kama ambavyo watanganyika wengi akili zao zilivyomilikiwa na CCM, wakati CCM ilishakufa umebaki mzimu wa Nyerere. Itakuwa wote ni wajinga wale wale tu, what do you think?
 
Kama ambavyo watanganyika wengi akili zao zilivyomilikiwa na CCM, wakati CCM ilishakufa umebaki mzimu wa Nyerere. Itakuwa wote ni wajinga wale wale tu, what do you think?
Huku bara tunaangushwa na mambo mengi. CCM ilianguka mwaka 2010. Dola ikaingilia kati. Kule Zanzibar Maalim Seif na CUF wamekuwa wakishinda kila mara tangu mwaka 1995. Hii kuingia SUK ulikuwa ni ujinga wa mtu mmoja tu.
 
thread ni ndefu ila nmesoma yote, niliwahi kusoma sehemu mbali mbali mbali nikitafuta ni zipi hasa faida za muungano ambazo watanganyika au wabara wote twaweza kujivuna sijaona, hata wachangiaji wengi hawataji faida zaidi wengi wanatoa matusi.
100%
Go zenji Goo...
 
Huku bara tunaangushwa na mambo mengi. CCM ilianguka mwaka 2010. Dola ikaingilia kati. Kule Zanzibar Maalim Seif na CUF wamekuwa wakishinda kila mara tangu mwaka 1995. Hii kuingia SUK ulikuwa ni ujinga wa mtu mmoja tu.

Kama ulivyokuwa ujinga wa watanganyika wengi kukubali kuangushwa. What do you think? Si ujinga ule ule tu?
 
Back
Top Bottom