Naibili
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 1,730
- 519
wanasiasa ni watu wa ajabu sana, hao wanaoshawishi wenzao kutotaka muungano walikuwemo dodoma ccm ilipokutana, na baadhi yao ata uongozi wamegombea, hii sitaki nataka ndiyo ya ajabu, nataka muungano wa mkataba, kwanza jitoeni tujuwe, kisha muombe huo muungano wa mkataba, mtusikilize nasi kama tunautaka.
mkuu kwani hujui kuwa muungano ni kati ya ccm na bara na ccm visiwani, kuna makala moja kama sikosei ni ya jabiri idrisa wa mwanahalisi aliwahi kuelezea vizuri saana huu muungano wa ccm