Hoja ya "Muungano wa Mkataba" ni Muflisi!

Naona watanganyika vipovu vya mdomo vinawatokeni midomoni kisa waz'br kutaka muungano wa mkataba,jamani c kila mtu ana mawazo yake acheni kuwa na akili za samaki,kabla hamjakosoa mawazo ya wenzenu wekeni na nyie mawazo yenu ili yajulikane,kama mnaona bora uwe hivihivi muungano huu sasa kuna haja gani ya tume ya warioba kuharibu pesa za walala hoi kuchukua maoni?hivi hadi leo bado watanganyika mnaogopa kivuli cha nyerere?

Nurdin hivi kweli hujui Watangayika tunataka nini? Ili kuondoa hizi nonsense tunataka NCHI MOJA, SERIKALI MOJA. Zanzibar iwe mkoa kama vile Tabora. Dr. Shein awe RC wa Zanzibar sawa na Fatuma Mwasha RC wa Tabora.
 
Mzee Mwanakijiji sometimes huwa nakuhurumia sana unapotumia nguvu nyingi za kuandika kuwashauri hao watu, tena ushauri mzuri ambao ndio njia pekee ya wao kuachana nasi. Tatizo ni hao watu wenyewe. Kwanza wavivu kusoma hadi mwisho, ndio maana unaona hata michango yao kwenye uzi huu inavyojichanganya, wengi wao wanasoma heading tu na kuanza kupost pumba zao. Katiba yao iliyotengenezwa hivi karibuni inaruhusu kitu kinachoitwa "kura ya maoni" kwa jambo kubwa linalohusu maslahi yao. Sasa they have all the tools, but still making loud noise!
 
Nakubaliana na Mzee Mwanakijiji kuhusu suala hili, inaonekana baadhi ya wazanzibari wanataka kutoka ndani ya muungano lkn waendelee kunufaika na faida wanazozipata kwa sasa toka Tanzania Bara; kama wanataka uhuru wao kamili kama wanavyodai waanzishe mchakato wa kujitoa ktk muungano badala ya kuimba kila kuwa ni waumuni wa muungano wa mkataba (ambao watu wa bara hawana sababu nao). Na si sahihi kudhani kwamba wazanzibari wanaweza kubuni aina ya muungano wautakao wao (eti wa mkataba) na watu wa bara wakaufuata; bara wanaweza kuja na maoni tofauti ya kutoendelea na muungano wowote na wazanzibari tofauti na mahusiano ya kawaida kama ilivyo kwa nchi zingine! Kwa uhalisia, hakuna ambacho Tz Bara inategemea Zanzibar, ila Zanzibar ndo inategemea Tz Bara.
Nashauri, wazanzibar punguzeni kulalamika na chukuani hatua kujiondoa ktk muungano ambao hauna tija yoyote kwa Bara; mnachosha!
 
hakuna watu ambao siwapendi kama hawa wa znznbar.kama mnataka kujitenga si mujitenge jamani!!mi nimekaa s.sudan na wale jamaa wa splm hawakuwa na serkali kabla mwaka ule wa 2005 lakini walichukua hatua za waziwazi kwamba wanataka taifa lao na kweli wakapata serkali 2006,na 2010 wakapata uhuru wao sasa nyiny mna nchi kamili ni kiasi tu cha kuamua jamani balaza la wawakilishi limeamua tunajitoa kwenye muungano,mnashindwa nini??baadaa ya hapo serkali yenu iwaite raia wake wote wanaokaa bara warudi kwao kama vile serikali a s.sudan ilivyofanya ikaenda kuwachukua hadi kwa magari khartoum kuwarudisha juba,na nyie mfanye hivo hivyo,mana msipowarudisha sisi tutawrudisha kwa nguvu kama serikali ya north sudan ilivofanya kuwatimua wasuth sudan na sisi tutawarejesha visiwani waznznbri wote laki 4 kwao zenji kwa pesa zetu maana hatutaki kuwaona mkifaidika na ardhi na urithi wetu mana ninyi mna wenu zenji ambao sisi hatutanufaika nao.
 
Haya mawazo yako ya kijinga hayana mashiko yoyote kwa samaki, wewe huwezi kujua zanzibar inaisaidia vipi tanganyika ,mambo haya mtu wa kawaida kama wewe huwezi kujua ,samaki ukimuuliza atakuwambia.

Kuna mambo haya ambayo tanganyika hufaidika kwa muavuli wa muungano.

kwanza kimataifa, utambue jambo lolote ambalo la muungano au silo la muungano, akiindia rais wa united repulic of tanzania ujue linawakilishwa kimuungano, zanzibar huambulia patupu, kama kuna furushi la bilioni dola 200 zitatolewa huko UN basi munafaidika nyie zanzibar huambulia patupu.

zanzibar ikienda njee kuomba msaada wakifika tu huko, huwambiwa ah membe kafika hapa kashaondoka na furushi, kwani hamujapatiwa chenu huko zanzibar ? nyie si muna serikali ya muungano ? Ah hatujapata kitu, jibu mutajuana wenyewe.

Climate change

Imetoa furushi kwa maneo ambayo yamezungukwa na bahari kwa mfano mafia, zanzibar, comoros, na sehemu nyengine, ambazo huwathirika na tabia nchi, maji kupanda juu na mengine , mfuko huu hutolewa na jumuiya ya mataifa, tanzania hupata dongo nono sana ,bahati mbaya zanzibar huambulia patupu,tukienda kuomba msaada huo tunaambiwa tushapewa,tukiulizia huko tanganyika jamani tupeni chetu, ah hichi chetu tumepewa sie dai chenu, haya ndio matunda ya muungano ,wewe mwanakijiji unajidai hufaidikia basi muulize membe waziri wako atakuwambia.

Kuna mengi sana ambayo munafaidika na muungano,lakini hayo ni machachetu mpumavu kama wewe ambae hukusoma au sijui ukaidi tu huelewi ,hutaki ukweli, nafikiri ungelisoma masuala ya uchumi, ungelielewa zaidi na vipi munafaidika katika muungano huu. zanzibar imeanguka kiuchumi kutokana inashindwa kujiamulia mambo yake wenyewe hasa pale inapotaka kufanya ushirikiana na nchi nyengine katika nyanja za kiuchumi, haiwezi bila ya kuomba kibali kwa membe, na hilo ndio kikwazo.

zanzibar ilitaka kujiunga na OIC kwa vile zanzibar ina asilimia 99 waislamu, muungano umewazuiya hilo suala kwa nini ? Munajenga hoja za siasa chafu na kibaguzi eti waislamu sijui magaidi, sijui usultan tunataka kuleta , yaani upumbavu mtupu,,, kwa nini munatuingilia katika maamuzi yetu ?

Hatutaki tena, tunataka zanzibar yetu.

Na kumalizia jiulize kwa nini tunataka muungano wa mkataba ? wakati huo huo tunadai zanzibar huru? Suali zuri sana, na nitakujibu .

Ukweli ni kwamba sheria ambayo inatupa uhuru wa kujadili muungano, ni sheria ambayo inatupa kuuboresha tu na sio kuvunja, na hilo ndilo suala ambalo wazanzibari limetugusa katika katiba mpya, muungano tu na sio chengine katiba yetu tunayo.

kama ulitaka tutoe maoni ya kudai zanzibar huru tu, na tuukatae muungano kabisa tukutae eac basi mwambie rais wako kikwete aabadilishe kifungu chake katika hadidu rejea kuwa kila raia ana haki ya kuhoji muungno kuvunja au kubosha atamke hivyo kisheria basi sisi wazanzibari mutakuwa mushatufungulia mlango,lakini kwa sasa inabidi tuvunje ukuta ndio tupate mlango, ndio huo mkataba, na najua mkata muta ukataa wenyewe, sio ndio heri yetu, mutuachie zanzibar huru hatutaki muungano ,just ujirani mwema ka uk na marekani huko unako kusifu wewe.

The main core problem of Zanzibar are money,material positions and selfness of which all of this are due to social classes created during colonial error.
 
weweweee!!!! maneno mengii.... huna point, acha jaziba jibu hoja? kwani CUF wakichukua znz si wataunda serikali tatu? na hapo si ndo muungano utakufa? kwa nini msitumie njia hiyo kama hamwezi kupeleka mswaada kwnye bunge lenu?. JK hawezi badili kipengele chochote sababu yeye siye anayetaka znz huru ni nyinyi ndo mnataka. Makamu wa raisi Maalimu Seifu si ni sehemu ya serikali, na baadhi ya mawaziri toka CUF, kwanini hawezi kupeleka hili kwenye baraza la mawaziri na kulipeka hoja bungeni kama mswada?
mmm anasema kwnini tanzani bara isaidie znz kupumua?
 
hakuna watu ambao siwapendi kama hawa wa znznbar.kama mnataka kujitenga si mujitenge jamani!!mi nimekaa s.sudan na wale jamaa wa splm hawakuwa na serkali kabla mwaka ule wa 2005 lakini walichukua hatua za waziwazi kwamba wanataka taifa lao na kweli wakapata serkali 2006,na 2010 wakapata uhuru wao sasa nyiny mna nchi kamili ni kiasi tu cha kuamua jamani balaza la wawakilishi limeamua tunajitoa kwenye muungano,mnashindwa nini??baadaa ya hapo serkali yenu iwaite raia wake wote wanaokaa bara warudi kwao kama vile serikali a s.sudan ilivyofanya ikaenda kuwachukua hadi kwa magari khartoum kuwarudisha juba,na nyie mfanye hivo hivyo,mana msipowarudisha sisi tutawrudisha kwa nguvu kama serikali ya north sudan ilivofanya kuwatimua wasuth sudan na sisi tutawarejesha visiwani waznznbri wote laki 4 kwao zenji kwa pesa zetu maana hatutaki kuwaona mkifaidika na ardhi na urithi wetu mana ninyi mna wenu zenji ambao sisi hatutanufaika nao.

Kujidhihilisha kwamba wazenj wanaitegemea Tanganyika ni hapo wanapoogopa kuufanyia kazi ushauri wa mwanakiji... mwanakijiji anaonekana wazi ni mwiba mchungu kwa wazenj.....anawapa vidonge haswa na anazungumza kwa niba ya wengi weu hapa tulio na maoni kama yake.....

Umezungumzia BLW.. kumbuka kuwa kuna kitu au cheo kinaitwa baraza la mapinduzi na lina mwenyekiti wake ambaye ni Dr Shein...hili sijui lina watu wangapi may be kama sikosei wako sita.. baraza la mapinduzi ndo chombo kikubwa zaidi ya baraza la wawakilishi maana ndilo lina jukumu la kuyalinda mapinduzi....

hao akina Jusa wanajua au wanaomba msaada wa kiaina toka tanganyika ili wasifinguliwe mashtaka ya uhaini na chombo cha kuyalinda mapinduzi hayo ya mwaka 19 kweusi...

cha kufanya...kwa wazenj...

1. Akina Jusa/ SEIF waseme wazi kwamba mapinduzi yale na chombo hiki cha kuyalinda hawayatambui na wakifanikwa hilo ndio hilo baraza la wawakilishi litakuwa na nguvu kujadili kujitoa, au muungano uchwara wa mkataba...

2.. Seif aache unafiki na ajitoe kwenye GNU maana hiyo ndio ina jukumu la kuyalinda mapinduzi yalipopelekea muungano...

3. BLW lipige kura katika mswaada utakao letwa na wabunge wake either toka CUF au ccm kwamba wanataka kujitoa kwenye muungano na serikali ya GNU itajua cha kufanya kama ni kuwasiliana na serikali ya bara au la kuhusu haya maelekezo ya Baraza la wawakilishi...

4. Baada ya yote hapo juu bara nao wataulizwa kwa njia yeyote ile, iwe ni ya kura ya maoni, mswaaada bungeni, au baraza la mawaziri au kwa namna yoyote ile inayofaaa kama wanautaka muungano na uwe ni wa namna gani , mkataba au otherwise serikali mbili, tatu na na nyingine...

Hawa akina Jusa na Seif ni ma-opportunist na wanatupotezea nguvu tu ndo maana mapovu yanatutoka maana wazenj wanata msaada wa serikari ya bara kwa kulazimisha ili wasi-stakiwe kwa uhaini na chombo cha watu sita kinachoongwa na Dr Shein cha kuyalinda mapinduzi...
 
Haya mawazo yako ya kijinga hayana mashiko yoyote kwa samaki, wewe huwezi kujua zanzibar inaisaidia vipi tanganyika ,mambo haya mtu wa kawaida kama wewe huwezi kujua ,samaki ukimuuliza atakuwambia.

Kuna mambo haya ambayo tanganyika hufaidika kwa muavuli wa muungano.

kwanza kimataifa, utambue jambo lolote ambalo la muungano au silo la muungano, akiindia rais wa united repulic of tanzania ujue linawakilishwa kimuungano, zanzibar huambulia patupu, kama kuna furushi la bilioni dola 200 zitatolewa huko UN basi munafaidika nyie zanzibar huambulia patupu.

zanzibar ikienda njee kuomba msaada wakifika tu huko, huwambiwa ah membe kafika hapa kashaondoka na furushi, kwani hamujapatiwa chenu huko zanzibar ? nyie si muna serikali ya muungano ? Ah hatujapata kitu, jibu mutajuana wenyewe.

Climate change

Imetoa furushi kwa maneo ambayo yamezungukwa na bahari kwa mfano mafia, zanzibar, comoros, na sehemu nyengine, ambazo huwathirika na tabia nchi, maji kupanda juu na mengine , mfuko huu hutolewa na jumuiya ya mataifa, tanzania hupata dongo nono sana ,bahati mbaya zanzibar huambulia patupu,tukienda kuomba msaada huo tunaambiwa tushapewa,tukiulizia huko tanganyika jamani tupeni chetu, ah hichi chetu tumepewa sie dai chenu, haya ndio matunda ya muungano ,wewe mwanakijiji unajidai hufaidikia basi muulize membe waziri wako atakuwambia.

Kuna mengi sana ambayo munafaidika na muungano,lakini hayo ni machachetu mpumavu kama wewe ambae hukusoma au sijui ukaidi tu huelewi ,hutaki ukweli, nafikiri ungelisoma masuala ya uchumi, ungelielewa zaidi na vipi munafaidika katika muungano huu. zanzibar imeanguka kiuchumi kutokana inashindwa kujiamulia mambo yake wenyewe hasa pale inapotaka kufanya ushirikiana na nchi nyengine katika nyanja za kiuchumi, haiwezi bila ya kuomba kibali kwa membe, na hilo ndio kikwazo.

zanzibar ilitaka kujiunga na OIC kwa vile zanzibar ina asilimia 99 waislamu, muungano umewazuiya hilo suala kwa nini ? Munajenga hoja za siasa chafu na kibaguzi eti waislamu sijui magaidi, sijui usultan tunataka kuleta , yaani upumbavu mtupu,,, kwa nini munatuingilia katika maamuzi yetu ?

Hatutaki tena, tunataka zanzibar yetu.

Na kumalizia jiulize kwa nini tunataka muungano wa mkataba ? wakati huo huo tunadai zanzibar huru? Suali zuri sana, na nitakujibu .

Ukweli ni kwamba sheria ambayo inatupa uhuru wa kujadili muungano, ni sheria ambayo inatupa kuuboresha tu na sio kuvunja, na hilo ndilo suala ambalo wazanzibari limetugusa katika katiba mpya, muungano tu na sio chengine katiba yetu tunayo.

kama ulitaka tutoe maoni ya kudai zanzibar huru tu, na tuukatae muungano kabisa tukutae eac basi mwambie rais wako kikwete aabadilishe kifungu chake katika hadidu rejea kuwa kila raia ana haki ya kuhoji muungno kuvunja au kubosha atamke hivyo kisheria basi sisi wazanzibari mutakuwa mushatufungulia mlango,lakini kwa sasa inabidi tuvunje ukuta ndio tupate mlango, ndio huo mkataba, na najua mkata muta ukataa wenyewe, sio ndio heri yetu, mutuachie zanzibar huru hatutaki muungano ,just ujirani mwema ka uk na marekani huko unako kusifu wewe.

Kumbe suala kubwa ni KUOMBAOMBA na MISAADA......plastic brains!
 
Nadhani huyu Mzee Mwanakijiji ni miongoni mwa waliofanya manduzi kule Zanzibar. Ukifuatilia post zake nyingi hapa utagundua kuwa Yukotayari kufanya lolote lakini Zanzibar lazima ibakie chini ya Tanganyika.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Last edited by a moderator:
sasa ndiyo nini hiki umeandika? nani mwenye mawazo ya kijinga kati yako na mwanakijiji? nakushauri soma vizuri post ya mwanakijiji maana inaoneka umesoma kichwa cha habari tu.

Mkuu kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti usimlaumu !
 
Haya mawazo yako ya kijinga hayana mashiko yoyote kwa samaki, wewe huwezi kujua zanzibar inaisaidia vipi tanganyika ,mambo haya mtu wa kawaida kama wewe huwezi kujua ,samaki ukimuuliza atakuwambia.

Kuna mambo haya ambayo tanganyika hufaidika kwa muavuli wa muungano.

kwanza kimataifa, utambue jambo lolote ambalo la muungano au silo la muungano, akiindia rais wa united repulic of tanzania ujue linawakilishwa kimuungano, zanzibar huambulia patupu, kama kuna furushi la bilioni dola 200 zitatolewa huko UN basi munafaidika nyie zanzibar huambulia patupu.

zanzibar ikienda njee kuomba msaada wakifika tu huko, huwambiwa ah membe kafika hapa kashaondoka na furushi, kwani hamujapatiwa chenu huko zanzibar ? nyie si muna serikali ya muungano ? Ah hatujapata kitu, jibu mutajuana wenyewe.

Climate change

Imetoa furushi kwa maneo ambayo yamezungukwa na bahari kwa mfano mafia, zanzibar, comoros, na sehemu nyengine, ambazo huwathirika na tabia nchi, maji kupanda juu na mengine , mfuko huu hutolewa na jumuiya ya mataifa, tanzania hupata dongo nono sana ,bahati mbaya zanzibar huambulia patupu,tukienda kuomba msaada huo tunaambiwa tushapewa,tukiulizia huko tanganyika jamani tupeni chetu, ah hichi chetu tumepewa sie dai chenu, haya ndio matunda ya muungano ,wewe mwanakijiji unajidai hufaidikia basi muulize membe waziri wako atakuwambia.

Kuna mengi sana ambayo munafaidika na muungano,lakini hayo ni machachetu mpumavu kama wewe ambae hukusoma au sijui ukaidi tu huelewi ,hutaki ukweli, nafikiri ungelisoma masuala ya uchumi, ungelielewa zaidi na vipi munafaidika katika muungano huu. zanzibar imeanguka kiuchumi kutokana inashindwa kujiamulia mambo yake wenyewe hasa pale inapotaka kufanya ushirikiana na nchi nyengine katika nyanja za kiuchumi, haiwezi bila ya kuomba kibali kwa membe, na hilo ndio kikwazo.

zanzibar ilitaka kujiunga na OIC kwa vile zanzibar ina asilimia 99 waislamu, muungano umewazuiya hilo suala kwa nini ? Munajenga hoja za siasa chafu na kibaguzi eti waislamu sijui magaidi, sijui usultan tunataka kuleta , yaani upumbavu mtupu,,, kwa nini munatuingilia katika maamuzi yetu ?

Hatutaki tena, tunataka zanzibar yetu.

Na kumalizia jiulize kwa nini tunataka muungano wa mkataba ? wakati huo huo tunadai zanzibar huru? Suali zuri sana, na nitakujibu .

Ukweli ni kwamba sheria ambayo inatupa uhuru wa kujadili muungano, ni sheria ambayo inatupa kuuboresha tu na sio kuvunja, na hilo ndilo suala ambalo wazanzibari limetugusa katika katiba mpya, muungano tu na sio chengine katiba yetu tunayo.

kama ulitaka tutoe maoni ya kudai zanzibar huru tu, na tuukatae muungano kabisa tukutae eac basi mwambie rais wako kikwete aabadilishe kifungu chake katika hadidu rejea kuwa kila raia ana haki ya kuhoji muungno kuvunja au kubosha atamke hivyo kisheria basi sisi wazanzibari mutakuwa mushatufungulia mlango,lakini kwa sasa inabidi tuvunje ukuta ndio tupate mlango, ndio huo mkataba, na najua mkata muta ukataa wenyewe, sio ndio heri yetu, mutuachie zanzibar huru hatutaki muungano ,just ujirani mwema ka uk na marekani huko unako kusifu wewe.
Mkuu umenena vema ila nadhani hujampata vizuri mwanakijiji kwenye hoja yake ya nini anapendekeza Wazanzibari mkifanye ansema hivi. Pelekeni mswaada kwenye baraza la wawakilishi sio Dodoma. Yanayoongelewa kwenye baraza la wawakirishi Kikwete Mkwele wa huku bara hana mamlaka nayo. Na hata leo hii Kikwete hawezi kulikataza baraza la wawakili kuanza kujadili hoja hii ya kujitenga na muungano au kubaki. Mwanakijiji kaenda mbali zaidi na kuelezea kuwa jambo kama hili halitakiwi kuishia kwenye baraza la wawakilishi tu bali kuwe na kura ya maoni ya wazanzibar wote (Na hapa sina uhakika Mwanakijiji kama hata sisi wazanzibara almaarufu wapemba wa ujiji, Kyela, Lalago, Tandare, Tanga, Tarime tutaruhusiwa kupiga hii kura maana tutaambiwa tumetumwa na ndiyo hasa ikitokea mabadiliko tunawezajikuta tunatwisha jukumu la kukataliwa huku na kule). Hivyo mkuu mambo yenu hayahitaji kibali toka Magogoni wala Dodoma. Sitaki kurudia hoja ya Mwanakijiji kuwa neno muungano wa Mkataba lililoasisiwa na CUF wakiwa ndani ya SUK halina mantiki hivyo watafute neno au hoja nyingine kwani nakubaliana nae kwa asilimia 100. Nisisitize tu kuwa kama Wazanzibar msikubali viongozi wenu kujificha Magogoni na Dodoma kwa kushindwa kufanya maamuzi na kutetea maslahi yao binafsi na kisha kuwaambia nyine mambo yapo juu ya uwezo wao. Wabaneni viongozi wenu.
 
Haya mawazo yako ya kijinga hayana mashiko yoyote kwa samaki, wewe huwezi kujua zanzibar inaisaidia vipi tanganyika ,mambo haya mtu wa kawaida kama wewe huwezi kujua ,samaki ukimuuliza atakuwambia.

Kuna mambo haya ambayo tanganyika hufaidika kwa muavuli wa muungano.

kwanza kimataifa, utambue jambo lolote ambalo la muungano au silo la muungano, akiindia rais wa united repulic of tanzania ujue linawakilishwa kimuungano, zanzibar huambulia patupu, kama kuna furushi la bilioni dola 200 zitatolewa huko UN basi munafaidika nyie zanzibar huambulia patupu.

zanzibar ikienda njee kuomba msaada wakifika tu huko, huwambiwa ah membe kafika hapa kashaondoka na furushi, kwani hamujapatiwa chenu huko zanzibar ? nyie si muna serikali ya muungano ? Ah hatujapata kitu, jibu mutajuana wenyewe.

Climate change

Imetoa furushi kwa maneo ambayo yamezungukwa na bahari kwa mfano mafia, zanzibar, comoros, na sehemu nyengine, ambazo huwathirika na tabia nchi, maji kupanda juu na mengine , mfuko huu hutolewa na jumuiya ya mataifa, tanzania hupata dongo nono sana ,bahati mbaya zanzibar huambulia patupu,tukienda kuomba msaada huo tunaambiwa tushapewa,tukiulizia huko tanganyika jamani tupeni chetu, ah hichi chetu tumepewa sie dai chenu, haya ndio matunda ya muungano ,wewe mwanakijiji unajidai hufaidikia basi muulize membe waziri wako atakuwambia.

Kuna mengi sana ambayo munafaidika na muungano,lakini hayo ni machachetu mpumavu kama wewe ambae hukusoma au sijui ukaidi tu huelewi ,hutaki ukweli, nafikiri ungelisoma masuala ya uchumi, ungelielewa zaidi na vipi munafaidika katika muungano huu. zanzibar imeanguka kiuchumi kutokana inashindwa kujiamulia mambo yake wenyewe hasa pale inapotaka kufanya ushirikiana na nchi nyengine katika nyanja za kiuchumi, haiwezi bila ya kuomba kibali kwa membe, na hilo ndio kikwazo.

zanzibar ilitaka kujiunga na OIC kwa vile zanzibar ina asilimia 99 waislamu, muungano umewazuiya hilo suala kwa nini ? Munajenga hoja za siasa chafu na kibaguzi eti waislamu sijui magaidi, sijui usultan tunataka kuleta , yaani upumbavu mtupu,,, kwa nini munatuingilia katika maamuzi yetu ?

Hatutaki tena, tunataka zanzibar yetu.

Na kumalizia jiulize kwa nini tunataka muungano wa mkataba ? wakati huo huo tunadai zanzibar huru? Suali zuri sana, na nitakujibu .

Ukweli ni kwamba sheria ambayo inatupa uhuru wa kujadili muungano, ni sheria ambayo inatupa kuuboresha tu na sio kuvunja, na hilo ndilo suala ambalo wazanzibari limetugusa katika katiba mpya, muungano tu na sio chengine katiba yetu tunayo.

kama ulitaka tutoe maoni ya kudai zanzibar huru tu, na tuukatae muungano kabisa tukutae eac basi mwambie rais wako kikwete aabadilishe kifungu chake katika hadidu rejea kuwa kila raia ana haki ya kuhoji muungno kuvunja au kubosha atamke hivyo kisheria basi sisi wazanzibari mutakuwa mushatufungulia mlango,lakini kwa sasa inabidi tuvunje ukuta ndio tupate mlango, ndio huo mkataba, na najua mkata muta ukataa wenyewe, sio ndio heri yetu, mutuachie zanzibar huru hatutaki muungano ,just ujirani mwema ka uk na marekani huko unako kusifu wewe.
Jamani, ndugu, Mwanakijiji anaungana na wewe kama unavyosema hutaki muungano, hivyo hivyo mwanakijiji nae anakusasupport. Mwanakijiji anataka pia uwe na zanzibar yako huru unayotaka, ukitaka kujiunga na jumuia yeyote kama ulivyotolea mfano OIC, ujiunge, sasa matusi yote hayo unayomtukana Mwanakijiji ni ya nini?, amekukataza wewe kutoka kwenye muungano?, Mwanakijiji ameenda mbele zaidi hadi kupendekeza namuna nzuri itakayosaidia nyie wazanzibari kutoka kwenye Muungano, Kumbe zawadi aliyostahili ni matusi.

Nawashauri ksma kweli mna nia ya dhati ya kutoka kwenye huu muungano unaowanyonya fuateni utaratibu safi alioelekeza mzee Mwanakijiji, Tofauti na hapo nitaamini hamna nia ya kutoka ila mnatupigisha tu makelele.

AS FOR YOU Mzee Mwanakijiji, MUNGU AKUBARIKI SANA BABA.
 
Unajua tulivyoanza 2012 nilidhani Wazanzibari wangekiunguza mwaka huu hivi juzi (tarehe 10) nilidhani ndio Zanzibar ingekuwa huru. Lakini hakuna mswada wowote wa kura ya maoni ambao kina Jussa wamejaribu kuuleta kwenye baraza la wawakilishi. Inabidi tuendelee kuwahamiza wafanye hivi haraka ili tujue mchakato wa Katiba Mpya ambao unaendelea unahitaji kuangalia Zanzibar au Tanganyika tu. Maana Zanzibar tayari wana katiba yao 'mpya'.
Mzee Mwanakijiji, Watanganyika inabidi tuwe macho, kuna kitu nimekiwaza ni kwamba wazanzibari hawana nia ya dhati yakujitoa kwenye muungano, Ila wanachojaribu kufanya ni kupressurise kwa kutishia kujitoa ili wapewe upendeleo mkubwa zaidi. Tuwasaidieni Wazanzibari wajitoe kabisa hatutaki cha mkataba wala nini na wakishindwa nashauri tufanye vuguvugu huku bara mpaka zanzibar ijitoe. Maoni yangu wakuu.
 
Back
Top Bottom