Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,487
- Thread starter
-
- #161
Nadhani kwa kuwa alikuwa huko USA mtakuwa mmeonana na amekusainisha rasmi. Kwa sasa umeanza kazi kwa kuja kupima upepo hapa jamvini ili ujue wapi uanzie kibarua chako.
kweli unafikiri ana ubavu huo?
Why not? Kama umefikia hatua ya kumpa hadhi ya Presidency material bila kutupa sifa zinazotuthibitishia pasi na shaka kwamba anaweza kukalia kiti hicho na kwamba hana kashifa ya ufisadi kwa nini tusiamini kuwepo wa kikao baina yako na yeye huko USA? Ni suala la muda tu.
Dah mkuu wangu mimi natoa tahadhari tu sio navyoamini miye. Unajua ktk mijadala siku zote unatakiwa mtu ujitoe pembeni halafu utazame ile picha ukutani na kuizungumzia. Hivyo nachosema mimi ni jinsi wanawake wanavyoweza kutumia kauli mbiu ya - Tukiwezeshwa, Tunaweza. Walifanya hivyo bungeni na wakapewa viti maalum. Je, walifanikiwa kupata viti japokuwa watu hawakubaliani na nadharia hiyo? Jibu litakuwa NDIO walifanikiwa yanayofuata ni baada ya ushindi.. Hivyo tazama kwanza uwezekano wa ushindi kwa kupitia kumsimamisha mwanamke wa kwanza, kauli mbiu, nafasi ya Umoja wa wanawake ktk jamii na si uwezo wa AshaRose..Mkuu Mkandara: Tafadhali angalia hapo nilipoweka red!! Kwa kutumia hiyo kauli mbiu inaashiria ufanisi bora? Hili la kusema kuwa wanawake wakiwezeshwa wanaweza bado ni kitendawili kwa hapa Tanzania. Wanawake watendaji wamewezeshwa kielimu na kwa semina elekezi lakini mazingira ya kazi si rafiki kwao. Je wanawake walio madarakani wamewezaje kuwakomboa wananchi kutokana na mateso ya umaskini, ujinga na maradhi. Tuchukulie mfano wa wabunge, viongozi wanawake kwenye mawizara, wakuu wa mikoa na wilaya na wakurugenzi wa wilaya hivi wameonyesha utendaji uliotukuka tofauti na wanaume wenye nafasi kama hizo? Swali moja tu je, ubadhirifu wa mali ya umma haupo kwenye sehemu ambazo wanawake wanaongoza? Bila kubadilisha mfumo uliopo hata wanawake wakipewa nafasi zote za uongozi bado ni tabu na shida tu.
basi simama wewe mkuu!maana naona hujui maana ya taifa wala hujui maana ya familia!!!wa wapi wewe mkuu,duh,pole tanzania.si ccm si chadema c kafu hakuna mtu wa kuwa rais pale,its beta tukawa bila rais kama sasa hivi na maisha yakaenda,,,,,membe atauweza uraisi wakat kajimbo kake kanamshinda?????
Mkuu Bajabiri, hii inaitwa "negation"!, kukanusha kitu ambacho ni facts!.
Huwezu kukanusha hard facts ili tuu ku ji please nafsi yako!.
- CCM ni chama cha siasa chenye usajili wa kudumu, na ndicho chama klilichopata certficate of registration as Nambari One Tanzamnia political Party!. This is a fact, you can't deny it!, unless ni kujifurahisha!.
- CCM ndicho chama tawala Tanzania kwa sasa, uwe ulikichagua or not, CCM ndicho kinachotawala and this is a fact!, you can't deny it unless unajifurahisha!.
Mkuu Bajabiri na wengine, tujenge utamaduni wa kuwa wakweli toka kwenye nafsi zetiu kwa kuzikubali hard facts
kuwa CCM ni chama, kipo, ndicho chama tawala!, sasa suala la kuendelea kuwepo baada ya 2015, au kuendelea
kutawala baada ya 2015, hivyo ndio debatable subject subject based on political probabilities!.
P.
Mkuu kwa style Hii tutaambiwa hata Ndugai anafaa kuwa Presidential materialmwambei huyo,,,,,ishu si kashfa ishu ni uwezo,,,,,,,kwa hiyo kama hana kashfa awe rais,,,,duh.
Basi hata KOMBA hana kashfa ya rushwa
Mkuu MM, vp NdugaiUkiangalia sana kati ya viongozi wengi wa CCM na walioko serrikalini Membe ndiye anayeonekana kuja kuweza kumudu kuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama hicho. Ukimlinganisha na wagombea wengine (hasa Lowassa aliyejiuzulu kwa kashfa) ni Membe tu ambaye anaonekana kulindwa na mlolongo mkubwa wa kashfa mbalimbali na japo - kama nilivyosema wiki kadhaa nyuma - hajajiandaa kuwa Rais ni wazi miaka hii miwili iliyobakia inaweza kumsaidia kujitengenezea na kuwa a true "presidential candidate"
CCM ikimsimamisha Membe kama mgombea wake inaweza kuwa na nafasi ya kushinda tena kiti cha Urais; wakimsimamisha mtu mwingine yeyote itakuwa ni mwisho wa utawala wa CCM.
Ni kweli?
mnawaendekeza sana; ni wapi nimesema kuwa ni "presidential material"? usije kuwa unafikiria kuwa mgombea wa CCM ni presidential material.
Mkuu Nyabhingi, I hate opposition vibaya sana!. I love CCM from the bottom of my heart na hizi hapa chini, ni baadhi ya thread zangu nilizo zianzisha ili kuifagilia CCM!.pasco is opposition hater from the start..hivi huyu ni mwandishi wa gazeti gani anyway,i hear stories that he is a journalist
Mkuu Mwanakijiji,Subiri kashfa ya pesa za Libya ndio utawajua vizuri wanasiasa wetu wana sura gani ni mapema mno kumjadili huyu nyoka wa mdimu.Ni bora mchawi Lowasa tumkabidhi mwana.
Ukiangalia sana kati ya viongozi wengi wa CCM na walioko serrikalini Membe ndiye anayeonekana kuja kuweza kumudu kuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama hicho. Ukimlinganisha na wagombea wengine (hasa Lowassa aliyejiuzulu kwa kashfa) ni Membe tu ambaye anaonekana kulindwa na mlolongo mkubwa wa kashfa mbalimbali na japo - kama nilivyosema wiki kadhaa nyuma - hajajiandaa kuwa Rais ni wazi miaka hii miwili iliyobakia inaweza kumsaidia kujitengenezea na kuwa a true "presidential candidate"
CCM ikimsimamisha Membe kama mgombea wake inaweza kuwa na nafasi ya kushinda tena kiti cha Urais; wakimsimamisha mtu mwingine yeyote itakuwa ni mwisho wa utawala wa CCM.
Ni kweli?
Nawashauri, wale wote, wenye mapenzi mema na taifa hili, lets rally behind EL, or Membe for CCM candidate, 2015, ili taifa letu lipate, ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania!.
EL for 2015!, if not then Membe!.
mwambei huyo,,,,,ishu si kashfa ishu ni uwezo,,,,,,,kwa hiyo kama hana kashfa awe rais,,,,duh.
Basi hata KOMBA hana kashfa ya rushwa
Kwa kweli mkuu umepoteza heshima yangu Kwako.Ukiangalia sana kati ya viongozi wengi wa CCM na walioko serrikalini Membe ndiye anayeonekana kuja kuweza kumudu kuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama hicho. Ukimlinganisha na wagombea wengine (hasa Lowassa aliyejiuzulu kwa kashfa) ni Membe tu ambaye anaonekana kulindwa na mlolongo mkubwa wa kashfa mbalimbali na japo - kama nilivyosema wiki kadhaa nyuma - hajajiandaa kuwa Rais ni wazi miaka hii miwili iliyobakia inaweza kumsaidia kujitengenezea na kuwa a true "presidential candidate"
CCM ikimsimamisha Membe kama mgombea wake inaweza kuwa na nafasi ya kushinda tena kiti cha Urais; wakimsimamisha mtu mwingine yeyote itakuwa ni mwisho wa utawala wa CCM.
Ni kweli?