Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
kwa sisi watu wa intelejensia tunafahamu fika kuwa wewe mwana kijiji ni mpambe wa karibu wa membe, hapa jukwaani umekuja kupima upepo wa huyo rafiki kipenzi chako, kwa taarifa yako ni heri mara mia ya lowasa kuwa rais kuliko an hypocrite in born character benny membe. Naomba umwambie rafiki yako pengine mtaonana US leo au kesho kuwa mmekwama na mipango yenu tunaifahamu tunasubiri muda tu tuwalipue.
membe ni kama nyumbu anaweza kimbia hatari halafu akarudi tena kwa mwembwe kama vile hatari imekwisha.Na kaenda hadi kumnusa pua simba aliyeshiba baa ya kumla nyumbu mwenize muda mfupi.Membe hata diplomacy yake haina msaada wowote katk ku negoatite deal.Ndio maana EL kaweza mpiga bao sana katk kujenga mitandao na si mtandao.Hata kuhusu hela Membe bado hela haijamzoea,pamoja na kwamba kafanya ukuwadi kwa ghaddafi miaka yote na kupokea hela nyingi bado hajaweza zitumia vyema sana. na bado hawajeweza jifunza vizuri hatari ya wenzie kwake kisiasa km walivyo nyumbu.Pale arumeru hakuweza kumondoa chaguo la EL hata pale alipotumia wizara yake kumweka boss wa AICC,hata walipokamata watuwa EL bado mtu wa EL alipita CDM ndio walikwena smash kila kitu.
Kuanzia siasa za kimataifa hajaweza ona mahusiano ya kidini , na yakijamaa yaliyokuwa yakitutoa toka nchi zisizofunagman ana upande wowote hadi hadi nchi inayoburuzwa na nchi zozote zinzopinga magharibi.Kw aujumla alikuwa na narrow undestanding ya kutofungamana upande wowote.Hana tofauti na black anayelia kubaguliwa kwa kaisi cha yeye kuwa mbaguzi kuliko anavyobaguliwa.