Hoja binafsi: Mwaka 2020,uchaguzi wetu uwe kama wa majirani zetu Rwanda

Vyama vilivyoko ndani ya bunge la Uingereza ni zaidi ya 12 achilia mbali ambavyo havikupata nafasi ya kuwa na mwakilishi bungeni.
 
Na huo uanaharakati unasababishwa na ccm kwa kufinya demokrasia na kuzika utawala bora kwa kutumia Nguvu nyingi za vyombo vya usalama
"HAPANA SIO KWELI KAMA CCM NDIO INASABABISHA UANARAKATI ILA NI NJAA TUU INAYOWASUMBUAA
 
Nchi jirani ya Rwanda inakaribia kufanya uchaguzi wake mkuu mwaka huu. Hadi sasa,ni dhahiri kuwa mpambano katika Urais utakuwa kati ya vyama viwili tu vya Rwanda Patriotic Front(RPF) na the Green.

RPF ni chama tawala na chama cha Rais Paul Kagame. The Green wamebaki wapinzani pekee wa RPF baada ya vyama vingine vya upinzani kumuunga mkono Rais Kagame na chama chake cha RPF. Kama si RPF,basi wananchi watawachagua the Green.

Nasi mwaka 2020,turahisishe mambo. Vyama viungane mkono na tuwe na pande mbili tu. Kuwa na vyama vingi,hasa katika uchaguzi wa Rais,ni kutawanya kura na kuwachanganya hata wapigakura. Wananchi wanapaswa kuchagua A au B tu wakati wa uchaguzi.
mkuu, first thing first - tume huru.

vinginevyo ni muendelezo ule ule wa kuziweka rehani roho zetu dhidi ya yule ziraili!!
 
Nasi mwaka 2020,turahisishe mambo. Vyama viungane mkono na tuwe na pande mbili tu. Kuwa na vyama vingi,hasa katika uchaguzi wa Rais,ni kutawanya kura na kuwachanganya hata wapigakura. Wananchi wanapaswa kuchagua A au B tu wakati wa uchaguzi.

Una maana kama ilivyokuwa 2015 - UKAWA vs. CCM kwa sababu vile vyama vingine havikujaa kibaba.
 
Fatilia victoire ingabire ni nani huyo ndo mpinzani wa kagame ambae amefungwa na kuifanya Rwanda ijitoe katika mahakama ya haki ya africa
 
kwa hiyo ndio mbinu lowasa anazowapa huko ufipa hizo?
dogo si nilishakuonya humu usiwe unachangia mada huku unajisaidia. Mbona wee mgumu kusikia??? Haya maliza kukata gogo uchangie mada vizuri.

Wee vp!
 
Yaani itakuwa poa sana ingawa CUF haitakuwa pamoja nasi kwani ishajifia tayari
 
Kwa mtazamo wangu, utitiri wa wagombea unakuwepo purposely... na nadhani ni njama ya chama tawala kuwaweka vibaraka wake ili kupunguza kura za wapinzani wao...
Kwa maana hio ni kwamba Rwanda kuna Demokrasia sana mkuu?
 
Njaa anayo yule katibu wenu mwenezi
MKUU KUNA KITU HUJANIELEWA ILA NINATAMANI UJE UKIELEWE NINAPOSEMA WAPINZANI WETU NJAA KALI SIO KAMA NATANIA

NA UKITAKA KUJUA KAMA WAPINZANI WETU NJAA KALI SUBILI KIPINDI CHA UCHAGUZI KIKIFIKA NA BAADA YA UCHAGUZI

HAPO NDIO KAMA TUNA WAPINZANI WA KWELI AU SIO KWELII "YAANI" NIKIKUMBUKA UCHAGUZI 2015 KILICHOTOKEA KWA LIPUMBA, SLAA NA WENGINE WENGI NILIUMIA SANA

YAANI MPAKA LEO NINASEMA TUNA WANAHARAKATI SIO WAPINZANI
 
Nchi jirani ya Rwanda inakaribia kufanya uchaguzi wake mkuu mwaka huu. Hadi sasa,ni dhahiri kuwa mpambano katika Urais utakuwa kati ya vyama viwili tu vya Rwanda Patriotic Front(RPF) na the Green.

RPF ni chama tawala na chama cha Rais Paul Kagame. The Green wamebaki wapinzani pekee wa RPF baada ya vyama vingine vya upinzani kumuunga mkono Rais Kagame na chama chake cha RPF. Kama si RPF,basi wananchi watawachagua the Green.

Nasi mwaka 2020,turahisishe mambo. Vyama viungane mkono na tuwe na pande mbili tu. Kuwa na vyama vingi,hasa katika uchaguzi wa Rais,ni kutawanya kura na kuwachanganya hata wapigakura. Wananchi wanapaswa kuchagua A au B tu wakati wa uchaguzi.
AS if you are not a learned brother! UDSM! Rwanda is purely a dictatorial regime, of the highest degree in Africa, how come you encourage neighbors to adopt the same! Msomi wakili!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom