Unataka tufanye kama chaguzi zilizopita?
SawaNataka kuwepo na demokrasia.
"HAPANA SIO KWELI KAMA CCM NDIO INASABABISHA UANARAKATI ILA NI NJAA TUU INAYOWASUMBUAANa huo uanaharakati unasababishwa na ccm kwa kufinya demokrasia na kuzika utawala bora kwa kutumia Nguvu nyingi za vyombo vya usalama
mkuu, first thing first - tume huru.Nchi jirani ya Rwanda inakaribia kufanya uchaguzi wake mkuu mwaka huu. Hadi sasa,ni dhahiri kuwa mpambano katika Urais utakuwa kati ya vyama viwili tu vya Rwanda Patriotic Front(RPF) na the Green.
RPF ni chama tawala na chama cha Rais Paul Kagame. The Green wamebaki wapinzani pekee wa RPF baada ya vyama vingine vya upinzani kumuunga mkono Rais Kagame na chama chake cha RPF. Kama si RPF,basi wananchi watawachagua the Green.
Nasi mwaka 2020,turahisishe mambo. Vyama viungane mkono na tuwe na pande mbili tu. Kuwa na vyama vingi,hasa katika uchaguzi wa Rais,ni kutawanya kura na kuwachanganya hata wapigakura. Wananchi wanapaswa kuchagua A au B tu wakati wa uchaguzi.
Kwahiyo?Vyama vilivyoko ndani ya bunge la Uingereza ni zaidi ya 12 achilia mbali ambavyo havikupata nafasi ya kuwa na mwakilishi bungeni.
Kwa sababu ya demokrasia!Kwahiyo?
Nasi mwaka 2020,turahisishe mambo. Vyama viungane mkono na tuwe na pande mbili tu. Kuwa na vyama vingi,hasa katika uchaguzi wa Rais,ni kutawanya kura na kuwachanganya hata wapigakura. Wananchi wanapaswa kuchagua A au B tu wakati wa uchaguzi.
HILO SWALI MUULIZE MAALIM SEIF AU MBOWE NDIO WANAJUA TUME NI HURU AU SIO HURU.Weka tume huru ya uchaguzi uone.
Mbowe na Maalimu wana uwezo, je wewe mwenzangu na mimi hali ikoje?HILO SWALI MUULIZE MAALIM SEIF AU MBOWE NDIO WANAJUA TUME NI HURU AU SIO HURU.
Ambao wameanza kugombea uraisi tangu 95
"HAPANA SIO KWELI KAMA CCM NDIO INASABABISHA UANARAKATI ILA NI NJAA TUU INAYOWASUMBUAA
dogo si nilishakuonya humu usiwe unachangia mada huku unajisaidia. Mbona wee mgumu kusikia??? Haya maliza kukata gogo uchangie mada vizuri.kwa hiyo ndio mbinu lowasa anazowapa huko ufipa hizo?
Kwa maana hio ni kwamba Rwanda kuna Demokrasia sana mkuu?Kwa mtazamo wangu, utitiri wa wagombea unakuwepo purposely... na nadhani ni njama ya chama tawala kuwaweka vibaraka wake ili kupunguza kura za wapinzani wao...
Hahah Yule mwenye mavuzi mengi hatari? anyoe mavuzi ndo agombee tena aisee.Hata hao GREEN wanaweza kuzidiwa kura na yule BI DADA (Mgombea binafsi).
MKUU KUNA KITU HUJANIELEWA ILA NINATAMANI UJE UKIELEWE NINAPOSEMA WAPINZANI WETU NJAA KALI SIO KAMA NATANIANjaa anayo yule katibu wenu mwenezi
AS if you are not a learned brother! UDSM! Rwanda is purely a dictatorial regime, of the highest degree in Africa, how come you encourage neighbors to adopt the same! Msomi wakili!!!!!!!!Nchi jirani ya Rwanda inakaribia kufanya uchaguzi wake mkuu mwaka huu. Hadi sasa,ni dhahiri kuwa mpambano katika Urais utakuwa kati ya vyama viwili tu vya Rwanda Patriotic Front(RPF) na the Green.