Hoja binafsi: Mwaka 2020,uchaguzi wetu uwe kama wa majirani zetu Rwanda

Petro E. Mselewa

Verified Member
Dec 27, 2012
9,571
2,000
Nchi jirani ya Rwanda inakaribia kufanya uchaguzi wake mkuu mwaka huu. Hadi sasa,ni dhahiri kuwa mpambano katika Urais utakuwa kati ya vyama viwili tu vya Rwanda Patriotic Front(RPF) na the Green.

RPF ni chama tawala na chama cha Rais Paul Kagame. The Green wamebaki wapinzani pekee wa RPF baada ya vyama vingine vya upinzani kumuunga mkono Rais Kagame na chama chake cha RPF. Kama si RPF,basi wananchi watawachagua the Green.

Nasi mwaka 2020,turahisishe mambo. Vyama viungane mkono na tuwe na pande mbili tu. Kuwa na vyama vingi,hasa katika uchaguzi wa Rais,ni kutawanya kura na kuwachanganya hata wapigakura. Wananchi wanapaswa kuchagua A au B tu wakati wa uchaguzi.
 
Al-Watan

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
11,920

Those who would give up essential Liberty, to purchase a little temporary Safety, deserve neither Liberty nor Safety."

- Benjamin Franklin.

If this was up to Benjamin Franklin, you would be banned from voting altogether.
 
mwanawao

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
2,347
2,000
Mtake Le profeseri radhi... unachezea kuwa kibaraka weee....

All in all, hamna maana ya uchaguzi kama hamna katiba mpya. Hela tunazopoteza kila baada ya miaka mitano ni afadhali zikajenga hospital, barabara, kusaidia angalau elimu watu wasome hadi chuo bure.

Sitegemei uchaguzi wa maana Tanzania kwa Katiba iliyopo. Ni kujipotezea hela na muda bure.

Wapinzani na wapenda mabadiliko kweli wadai katiba kwanza hayo mengine yatakuja tu katiba ikishanyooka.
 
WAIKORU

JF-Expert Member
Dec 9, 2015
1,324
2,000
Jibu swali kwanza. Tatizo umejaa uchama mwili mzima. Unadhani kila mtu humu ana chama. Ndiyo nyinyi mnaowapa watu uanachama hata wasio nao.Unasikitisha sana.
Tatizo la masisiem, hudhani kila mwenye hoja kinzani na wao basi huyo ni Chadema...

badala ya kujibu hoja..anabaki kutoa kejeli tu...

hata hivo Id yake inasanifu mawazo yake...mhurumie tu
 
WAIKORU

JF-Expert Member
Dec 9, 2015
1,324
2,000
"TANZANIA HAKUNA WAPINZANI WA KISIASA BALI TUNA WANAHARAKATI TUU
Huenda ukawa sahihi mkuu...lakini nikukumbushe tu kuwa uchaguzi huu uliopita..kama si nguvu ya vyombo vya dola ...wakishirikiana kwa ukaribu mkubwa na tume ya uchaguzi, huku wakipewa back up na kina Makamba jr....ccm hakiuwa na chake...

wewe unajua na dunia inajua....huo ndio ukweli na utabaki hivo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom