Hofu ...!

Hofu ...!

inakuwa na sababu au kunakuwa na dalili fulan

Ila mimi naizungumzia isiyokuwa na sababu

Yaani kwasababu tu jamaa yako ni hendisamu baasi kila siku hofu nyiingi wakati yeye mhusika hajakupa sababu ya kuwa na hiyo hofu

Hofu kama hii ni ya nini?
 
what i know kuna watu wa aina mbili wanaojijengea hofu wenyewe bila kuwa na sababu au viashiria vyovyote....na wale wa kujijengea hofu kutokana na mazingira/dalili fulan au jambo fulani.

siwezi kujijengea hofu kisa jamaa ni HB lazima nifanye utafiti fulan juu ya tabia yake.
wale wenye hofu bila sababu ni kutokujiamin(anakuwa anajiuliza ntakuwa mm napendwa na yye tu) na pia suala ya wivu.
na kama mhusika akajua huyu ana hofu bhaaasi amjengee mazingira ya upendo ili hofu iishe
 
Out of topic.
Baba paroko ndo padri naomba kujuzwa please.
Ni mtu ambaye kikanisa anaheshimika sana.

Afu Eiyer nlikuwa hapo from thursday nakupigia hupokei simu.

Afu wewe nikikukamata utantambua.... Ndio nini kuniweka JB mpaka asubuhi kisa nakusubiri???? Ujue nimeamsha popo nakusuru utoke kule J ni J???
 
Leo tu nilikuwa na hofu nilifanya manuva kwa office ...boss aliponiita nilitetemeka kwa hofu haijawahi kutokea

OFF TOPIC: Hivi umemfanya nini mwenzio jamani, hebu rudiisha moyo jamani!!!!!!!
 
Afu wewe nikikukamata utantambua.... Ndio nini kuniweka JB mpaka asubuhi kisa nakusubiri???? Ujue nimeamsha popo nakusuru utoke kule J ni J???
My dia acha tu nsamehe.
Nitakuwa tena hii kwa ajili yako mambo mengi sana watu kibao afu mda mdogo.
Tupange nataka dec niende kampala.
 
Afu wewe nikikukamata utantambua.... Ndio nini kuniweka JB mpaka asubuhi kisa nakusubiri???? Ujue nimeamsha popo nakusuru utoke kule J ni J???

Kumbe hata wewe alikuweka eee!!!1

Njoo tuandamane pamoja!
 
what i know kuna watu wa aina mbili wanaojijengea hofu wenyewe bila kuwa na sababu au viashiria vyovyote....na wale wa kujijengea hofu kutokana na mazingira/dalili fulan au jambo fulani.

siwezi kujijengea hofu kisa jamaa ni HB lazima nifanye utafiti fulan juu ya tabia yake.
wale wenye hofu bila sababu ni kutokujiamin(anakuwa anajiuliza ntakuwa mm napendwa na yye tu) na pia suala ya wivu.
na kama mhusika akajua huyu ana hofu bhaaasi amjengee mazingira ya upendo ili hofu iishe

Nakubaliana na wewe kwa 98%

Hizo 2% mbili ni kwenye hilo la kumfanyia uchunguzi "mtu" wako
Kwanini unafanya hilo kama hajakupa sababu ya kufanya hilo?
 
Mkuu sio binadamu wote wanaweza kukupa dalili za wewe kumfanyia uchunguzi
anaweza kuwa anakutimizia kila hitaji na awepo wake upo as u long as u need him to be there.

Kuna watu wapo smart kutunza siri hasa akijua ni jambo ambalo litamwaribia kwenye uhusiano
Mara moja moja lazima tucheki afya hat kama hatuumwi.
Tupeleke gar garage hat kama sio bofu.
Check up ya kumchunguza mpenz Mara moja moja sio mbaya cos unaweza kigundua jambo jipya na kulirekebisha kabla ya kuchelewa
 
Back
Top Bottom