willzkichaa
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 422
- 191
Hahahahahaha sawa bana.
Una mahusiano ambayo yanaelekea kwenye ndoa?
Unamuamini huyo ambae mnatarajia kuoana?
Kulikoni?
Unaona sawa kufanya jambo bila sababu?
Mmh kwanzia leo sina hofu na wewe tena...lol
Mda mwengine mtu anaweza uliza kwa masihala ila huwa wananikela
Mbona masihala hukuiona?
Au ni sawa kwako?
Nimekusoma mkuu ...!!