Hofu ...!

Hofu ...!

Hiyo case unanionea

Ungepokea simu basi....

Un ajidai unajua sana wewe sikuhizieee ....

Nilikuambia kabisa kuwa simu yangu mbovu na nikakuambia mahali pa kunipata lakini hukufanya hivyo

Halafu siku hiyo Buswelu kulikuwa na mgao hata charminglady anajua

Nimekuambia leo hata ujitetee vipi uzito wa hii kesi ni kitu kimoja tu ndio kitaumaliza

Na narudia tena unakijua ....!!
 
Last edited by a moderator:
Yaan hata mm sielew kwanin

mf kuna siku nilimchapa mwanafunz wakat anaondoka alilia sana nikaanza kuingiwa na hofu had nikashindwa Fanya kaz nyengine

Kagua kuna kitu kitakuwa kinakufanya uwe na hofu

Umeolewa Mwl?
 
Leo tu nilikuwa na hofu nilifanya manuva kwa office ...boss aliponiita nilitetemeka kwa hofu haijawahi kutokea
 
nina hofu na hii siredi, maana wachangiaje wake ni wa upande 1 sana sana..........
 
Back
Top Bottom