Hofu ya Mbowe na CHADEMA juu ya Zitto

Hofu ya Mbowe na CHADEMA juu ya Zitto

Pamoja na ruzuku kubwa wanayopewa wameshindwa kujenga ofisi zao????
Wapewe nchi wakiwa kwenye jengo la kukodi????
Hivi nani ni mmiliki wa lile jengo ambalo CHADEMA wamelikodi??? Isijekuwa ni hao hao wakuu wa chama wanajipigia hela ya mzunguko na ndio maana hawana habari ya kujenga ofisi!!!!!!
 
kutafuta msafi kwa magamba Ni kama kutafuta mwanamke bikra kwenye wodi ya wazazi,anguko li karibu
 
Mbowe anawaburuza ruzuku ni yy.
Viti maalumu ni madada wa kichaga na uongozi wote safu za juu ni wachaga wamejaa na uenyekiti hawezi kuuchia.

Hata slaa alivyoenda marekani kaenda na wachaga tu hakuna kabila nyingine.

Yani mpaka mdada viti maalumu mtwara mbeya ni mchaga mana hakuna wamkonde waliosoma.
Mbowe alikata jina la chacha okong ndo alishinda kura za maoni kamuweka wenje kisa haendani naye alikuwa mlengo wa wangwe.
Hoji ruzuku 300m kila mwezi zinafanya nn kama wachaga hawajengi kwao na bado mnachangishwa eti kamanda toa jero raia wanajenga kwao afu wanajidai kuwa hakuna mchaga ---- wote wanajua kuwatumia watanzania kujipatia hela.

Yani madada kati ya 7 viti maalumu 5 wanatoka kilimanjaro ww haujiulizi tu.
Viongozi safu za juu za chama yani ni zote ni wachaga.mtaburuzwaje jamani na wimbo wa kamanda bila kuhoji.

Yani hoji ruzuku na uenyekiti unaitwa msaliti ndo walichomuulia Wangwe mana alitaka kugombea uenyekiti Taifa wa Chadema sema umeshikwa akili au masikio hatonielewa na endelea kushikwa ndugu yangu ili uwachangie wachaga kwenye Saccoss yao wazidi kuneemeka bana afu ww ukilala njaa.
Njoo ACT kuna uwazi na hakuna ukabila hata ww una haki ya kuwa mwenyekiti bana pia kama nafasi viti maalumu sio lazima wadadaa wa kigoma tu wapewe hata mara arusha mtwara wana nafasi ya kupata na sio alichoamua Mbowe.

Huku ni kura na uwazi na sio kuwa hauna sifa mara hawajasoma kumbe sifa ni kuwa mchaga.
 
Kwani zitto ndo nani? Maana mtoa mada hueleweki! Zitto na chadema wapi na wapi? Kama hata miezi mitatu tu ameingia ACT imeshagawanyika kuna wazalendo na Tanzania!
 
Hivi wewe una mume kweli? na kama unaye basi ana shida,maana wewe si sampuli ya mwanamke wa kuolewa,wewe ni junk woman.

Hapo umepatia 100%, kwetu hatuolewi, kabisa tena. Kuolewa hukohuko kwenu tu.

Kwetu tunaoana.
 
Jengo la Baba yao Mtei,aliwapa masharti yakutohama pale ufipa ili ajichumie pesa za pro chadema
Pamoja na ruzuku kubwa wanayopewa wameshindwa kujenga ofisi zao????
Wapewe nchi wakiwa kwenye jengo la kukodi????
Hivi nani ni mmiliki wa lile jengo ambalo CHADEMA wamelikodi??? Isijekuwa ni hao hao wakuu wa chama wanajipigia hela ya mzunguko na ndio maana hawana habari ya kujenga ofisi!!!!!!
 
Mbowe anawaburuza ruzuku ni yy.
Viti maalumu ni madada wa kichaga na uongozi wote safu za juu ni wachaga wamejaa na uenyekiti hawezi kuuchia.

Hata slaa alivyoenda marekani kaenda na wachaga tu hakuna kabila nyingine.

Yani mpaka mdada viti maalumu mtwara mbeya ni mchaga mana hakuna wamkonde waliosoma.
Mbowe alikata jina la chacha okong ndo alishinda kura za maoni kamuweka wenje kisa haendani naye alikuwa mlengo wa wangwe.
Hoji ruzuku 300m kila mwezi zinafanya nn kama wachaga hawajengi kwao na bado mnachangishwa eti kamanda toa jero raia wanajenga kwao afu wanajidai kuwa hakuna mchaga ---- wote wanajua kuwatumia watanzania kujipatia hela.

Yani madada kati ya 7 viti maalumu 5 wanatoka kilimanjaro ww haujiulizi tu.
Viongozi safu za juu za chama yani ni zote ni wachaga.mtaburuzwaje jamani na wimbo wa kamanda bila kuhoji.

Yani hoji ruzuku na uenyekiti unaitwa msaliti ndo walichomuulia Wangwe mana alitaka kugombea uenyekiti Taifa wa Chadema sema umeshikwa akili au masikio hatonielewa na endelea kushikwa ndugu yangu ili uwachangie wachaga kwenye Saccoss yao wazidi kuneemeka bana afu ww ukilala njaa.
Njoo ACT kuna uwazi na hakuna ukabila hata ww una haki ya kuwa mwenyekiti bana pia kama nafasi viti maalumu sio lazima wadadaa wa kigoma tu wapewe hata mara arusha mtwara wana nafasi ya kupata na sio alichoamua Mbowe.

Huku ni kura na uwazi na sio kuwa hauna sifa mara hawajasoma kumbe sifa ni kuwa mchaga.

Utapigwa mimba tu mwaka huu na huyo Yuda wenu
 
uzi wa kipuuzi kama huu huwa hauhitaji attention, wapuuzieni hawa! wanataka kudrift attentions n yenu UKAWA! Kuweni macho na makuwadi wa kisiasa!!
 
ng'ombe hatikiswi na mkia " 4rm zzk zzk ni mkia ata aruke vipi lazma akae
 
Asalaam aleikhum wanajukwaa

Kwa takribani kipndi kama cha mwezi mzima uliopita kumeibuka msuguano mkubwa sana hasa kwenye mitandao ya kijamii kati ya wafuasi wa CHADEMA dhidi ya wafuasi wa chama cha ACT.

Msuguano huo hasa unahusisha wale wafuasi wa CHADEMA kurusha tuhuma nzito dhidi ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA ndugu Zitto kwa kumuita -------, Anatumiwa na CCM kuuwa upinzani, Anaandaliwa mikutano yake na CCM na shutuma nyinginezo nyingi nyingi tu sina haja ya kuzirudia hapa.

Lakini kwa upande wa huyo aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA yeye alishapigia mstari kule alikokuwepo na ameanza safari yake mpya katika chama kipya na ambacho amakiasisi yeye mwenyewe wakati akiwa bado na kesi dhidi ya CHADEMA na hatukuwai kumsikia ama haijathibitishwa ya kwamba huko ACT alipohamia amekuwa akiwatuhumu ama kuwashambulia viongozi wa chama chake cha zamani lakini pia chama chake cha zamani.

Sasa nirudi katika hoja ya kwanini Mbowe, Slaa na baadhi ya wanachama wa chadema walio watiifu kwa Mbowe na wale wafuata mkumbo wanahofu dhidi ya ZITTO?

Ni ukweli usiopingika Mbowe na Zitto ndio waliotumia muda mwingi kukijenga chama hicho na kuwaaminisha Watanzania kwamba muarubaini wa matatizo yao umepatikana na katika pilika za kukujenga chama hicho ndugu Zitto aliwavutia vijana wengi sana kuipenda siasa hasa ikizingatiwa kipindi kile hakukuwa na vijana waliokuwa wanavutiwa na siasa.

Kwa mantiki hiyo ndani ya CHADEMA kuna viongozi wengi ambao wamekuwa wakinungunika muda mrefu sana kutokana na aina ya uongozi wa mabavu ambao mwenyekiti na katibu wake pamoja na wale vipenzi vyao wanaoutumia.

Na wamekuwa hawana sehemu ya kusema kwa kuwa wako ndani ya chama lakini wametengwa na ni wanamageuzi wa ukweli kabisa nikiwa na maana hawawezi kuhamia chama tawala kwa hiyo wamekuwa kwa muda mrefu wakivumilia vurugu zote na mabavu ya Mwenyekiti na genge lake.

Sasa hofu inakuja zaidi kwa Mwenyekiti na genge lake kwa kuwa wale Makamanda sasa wanamahali pakuelekea na hasa baada ya kuona mwanzo wa ziara za ACT na hali yakuwa Makamanda hao wanaushawishi mkubwa sana katika jamii inayowazunguka.

Wasalaam
Zitto ni mwendawazimu kama wendawazimu wengine
 
Kwani zitto ndo nani? Maana mtoa mada hueleweki! Zitto na chadema wapi na wapi? Kama hata miezi mitatu tu ameingia ACT imeshagawanyika kuna wazalendo na Tanzania

Mgogoro ulishaisha bro na nyakalungu na mzee limbu wote washaungana na kina zitto kazi inaendelea
 
Nina swali. Kama Zitto alikuwa na ufuasi mkubwa kama mnavyosema, ilikuwaje 2010 majimbo mengi Kigoma yalichukuliwa na NCCR-Mageuzi?? Huo ufuasi uko wapi ni kwa maneno au matendo?

Umesahau kuwa kipindi cha kampeni chote alikuwa mikoani na ndiye chanzo cha akina Mbassa (Biharamulo), Lissu (Ikungi), Mnyika (Ubungo) n.k? Au kuelewa huelewi hata hotuba zake huzioni?

Mchukie umuchukiavyo lkn ZZK ni noma!
 
ZZK ni bingwa wa busara, hoja na ubunifu hivyo asiweza kukaa na MISUKULE!

Chacha wangwe! Kaburu! n.k hao wote ni wahanga wa vita ya umimi iliyojengwa ndani ya cdm
 
Back
Top Bottom