Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,707
- 4,577
basi kigoma ni ya ajabu sana labda ndiyo maana wachumi huichukulia kigoma kama moja ya mikoa iliyo nyuma kimaendeleo ukiilinganisha na mikoa mingine. kwa sababu sera hutengenezwa na chama hivyo usipo chagua chama hujielekezi kwenye sera yoyote.
kama sera ni chama na sio mtu basi washawishi waichague NLD ina sera nzuri tu! halafu baada ya uchaguzi urudi humu kutupa matokeo.