Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,517
Fata yako! Watu bhana umejuaje kuwa z.z.k ndo alikuwa Mhamasishaji? na km alikuwa mwuaji wa Chama je?,Usifikiri ndani ya kisanduku tu!,jitahindi Ufikiri hata nje ya Kisanduku pia,uone na ulinganishe mambo.Mtanzania amka usilale,hata km mimi sina Chama lkn siwezi kukiponda Chama chochote Cha Upinzani au Tawala Kwasababu SIASA ni mzunguko,Leo watauza hawa kesho wengine.