Hofu ya Mbowe na CHADEMA juu ya Zitto

Hofu ya Mbowe na CHADEMA juu ya Zitto

Asalaam aleikhum wanajukwaa

Kwa takribani kipndi kama cha mwezi mzima uliopita kumeibuka msuguano mkubwa sana hasa kwenye mitandao ya kijamii kati ya wafuasi wa CHADEMA dhidi ya wafuasi wa chama cha ACT.

Msuguano huo hasa unahusisha wale wafuasi wa CHADEMA kurusha tuhuma nzito dhidi ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA ndugu Zitto kwa kumuita -------, Anatumiwa na CCM kuuwa upinzani, Anaandaliwa mikutano yake na CCM na shutuma nyinginezo nyingi nyingi tu sina haja ya kuzirudia hapa.

Lakini kwa upande wa huyo aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA yeye alishapigia mstari kule alikokuwepo na ameanza safari yake mpya katika chama kipya na ambacho amakiasisi yeye mwenyewe wakati akiwa bado na kesi dhidi ya CHADEMA na hatukuwai kumsikia ama haijathibitishwa ya kwamba huko ACT alipohamia amekuwa akiwatuhumu ama kuwashambulia viongozi wa chama chake cha zamani lakini pia chama chake cha zamani.

Sasa nirudi katika hoja ya kwanini Mbowe, Slaa na baadhi ya wanachama wa chadema walio watiifu kwa Mbowe na wale wafuata mkumbo wanahofu dhidi ya ZITTO?

Ni ukweli usiopingika Mbowe na Zitto ndio waliotumia muda mwingi kukijenga chama hicho na kuwaaminisha Watanzania kwamba muarubaini wa matatizo yao umepatikana na katika pilika za kukujenga chama hicho ndugu Zitto aliwavutia vijana wengi sana kuipenda siasa hasa ikizingatiwa kipindi kile hakukuwa na vijana waliokuwa wanavutiwa na siasa.

Kwa mantiki hiyo ndani ya CHADEMA kuna viongozi wengi ambao wamekuwa wakinungunika muda mrefu sana kutokana na aina ya uongozi wa mabavu ambao mwenyekiti na katibu wake pamoja na wale vipenzi vyao wanaoutumia.

Na wamekuwa hawana sehemu ya kusema kwa kuwa wako ndani ya chama lakini wametengwa na ni wanamageuzi wa ukweli kabisa nikiwa na maana hawawezi kuhamia chama tawala kwa hiyo wamekuwa kwa muda mrefu wakivumilia vurugu zote na mabavu ya Mwenyekiti na genge lake.

Sasa hofu inakuja zaidi kwa Mwenyekiti na genge lake kwa kuwa wale Makamanda sasa wanamahali pakuelekea na hasa baada ya kuona mwanzo wa ziara za ACT na hali yakuwa Makamanda hao wanaushawishi mkubwa sana katika jamii inayowazunguka.

Wasalaam

Mumeshaongezewa bajeti ya matangazo?? Uzalendo aka uzandiki utawakaanga mchana kweupe mbinu zenu chafu zote hadharani hivi Hamuoni aibu??
 
ACT Wazalendo tuko vizuri. CDM hawatuwezi hata nusu robo
 
CDM mnatapatapa na fake emails!

Hizi email kama zimetengenezwa basijamaa walipatia kila kitu. Content zake ni exact what one would expect. Ni ngumu kuzikana hizi email kama ni za kuchonga basi waliochonga ga wana a lot information from what the Zitto and his sipport are doing.

Kama wanaweza kuingia hadi chumbani kwake kiasi hiki basi watammaliza kwa urahisi sana.
Huwezi kuwa kinyume na umma unaotaka mabadiriko hata mmbeba bag lako utakuta ni mpinzani wako pasipo wewe kujua maana ni wengi na Mungu yuko upanse wao.
 
CHADEMA chini ya wanachama, wafuasi, wapenzi na mashabiki wake walio nchi nzima, mijini na Vijijini chini ya uongozi wa viongozi waandamizi wa chama kwa sasa inao wajibu mmoja mkubwa; kusimamia na kuratibu matamanio ya Watanzania kuhakikisha CCM inaondoka madarakani kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

Katika mchakato huo ambao ni sehemu ya mchakato mkubwa wa kupigania haki na matumaini ya Watanzania baada ya CCM kuonesha kila kigezo cha sera zake kushindwa, WanaCHADEMA watapambana na CCM na vivuli vyake ambavyo vingine vinajitokeza kwa staili mbalimbali kama vyama vipya vya siasa.

Mshaurini Kiongozi Mkuu wa hicho chama, lazima aelewe kuwa Watanzania si wajinga. Alitumika akiwa ndani ya CHADEMA na upinzani hawezi kuacha kutumika leo kama alivyosema mwenzetu mmoja jukwaani hapa.

Kama mikutano yote ya hadhara anayofanya agenda inakuwa ni 'kuisaka' CHADEMA hata mbumbumbu wa siasa zinavyokwenda sasa anajua kuwa mission ya tangu wakati ule ikiwemo hata 'kuuza' majimbo inaendelea ambayo ni kazi ya kuisaidia CCM.

Hapo ndipo ulipolala msingi wa usaliti ambao leo anajaribu kujitenga nao.

Bottom line ya mapambano haya ni kuitungua CCM na vivuli vyake.

@Moderators...
 
Unajua ccm wanakipana kiinua mgongo na pensheni kiasi gani? Hata hivyo kama wanachama wanaridhika na kazi za viongozi wao kuna ubaya gani kuwalipa mafao wakimaliza muda wao au wakistaafu? Taasisi zote hufanya hivyo.

Hujui kazi ya siasa, siasa sio kazi ya kuchumia tumbo, bali ni kazi ya kujitolea...
 
....WanaCHADEMA watapambana na CCM na vivuli vyake ambavyo vingine vinajitokeza kwa staili mbalimbali kama vyama vipya vya siasa.

Bottom line ya mapambano haya ni kuitungua CCM na vivuli vyake...
Wana Chadema watapambana na CCM na vivuli vyake.....Asante Tumaini Makene . Tupo tayari na imara kwa mapambano....
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA chini ya wanachama, wafuasi, wapenzi na mashabiki wake walio nchi nzima, mijini na Vijijini chini ya uongozi wa viongozi waandamizi wa chama kwa sasa inao wajibu mmoja mkubwa; kusimamia na kuratibu matamanio ya Watanzania kuhakikisha CCM inaondoka madarakani kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

Katika mchakato huo ambao ni sehemu ya mchakato mkubwa wa kupigania haki na matumaini ya Watanzania baada ya CCM kuonesha kila kigezo cha sera zake kushindwa, WanaCHADEMA watapambana na CCM na vivuli vyake ambavyo vingine vinajitokeza kwa staili mbalimbali kama vyama vipya vya siasa.

Mshaurini Kiongozi Mkuu wa hicho chama, lazima aelewe kuwa Watanzania si wajinga. Alitumika akiwa ndani ya CHADEMA na upinzani hawezi kuacha kutumika leo kama alivyosema mwenzetu mmoja jukwaani hapa.

Kama mikutano yote ya hadhara anayofanya agenda inakuwa ni 'kuisaka' CHADEMA hata mbumbumbu wa siasa zinavyokwenda sasa anajua kuwa mission ya tangu wakati ule ikiwemo hata 'kuuza' majimbo inaendelea ambayo ni kazi ya kuisaidia CCM.

Hapo ndipo ulipolala msingi wa usaliti ambao leo anajaribu kujitenga nao.

Bottom line ya mapambano haya ni kuitungua CCM na vivuli vyake.

@Moderators...

Mkuu Makene watz wa sasa wana uwezo mkubwa sana wa kupembua mchele na pumba. Wanajua fika kwamba UKAWA ni mchele na CCM na mazagazaga yake yoote yakiwemo act,top,udp, ppt etal, ni pumba!
 
Nina swali. Kama Zitto alikuwa na ufuasi mkubwa kama mnavyosema, ilikuwaje 2010 majimbo mengi Kigoma yalichukuliwa na NCCR-Mageuzi?? Huo ufuasi uko wapi ni kwa maneno au matendo?

Hua wapinzani wanasimamixha mgombea mmoja... toa hoja ya msingi
 
CDM mnatapatapa na fake emails!
yeah..hata walishika ile barua ya kupindua chama,iliitwa fake,pia walikuwa na kikao fake cha kumfukuza mzaledno fake,pia walikuwa na kikao fake cha kumalizia game baada y amri ya mahakama?
 
Ndugu ingekuwa vyema japo kidogo ukatafakari haya yaliyomo kwenye hili bandiko...

Na kwa kuongezea tu humu humu jukwaaani walitokea watu wengi sana kuishauri chadema hasa kwa wakati huu wasimfukuze ila wakapuuza na niko na wasiwasi mkubwa sana kama Lissu hajui alilokuwa analifanya...

Na swali kwako wewe ndugu Lissu kuwa kiherehere katika sakata la Zitto je alikuwa anatumiwa na nani?? Ni kweli Mbowe alikuwa anamtumia Lissu?? Ama ni watawala walikuwa wanamtumia Lissu??

Unadhani kwanini Zitto alivunja kanuni kwa makusudi na kwenda mahakamani akijua kwa kufanya hivyo atavuliwa uanachama?Zitto mwenyewe alikiri kuwa alianzisha ACT akiwa ndani ya CDM,hata kama CDM ingemsamehe angekuja na lingine kukivuruga chama ili afukuzwe awahi uongozi mkuu wa chama ACT.
 
CDM walimpa kitanzi ajinyonge..na time ilikuwa haipo ktk upande wake..kwani CDM wangeendelea mweka au angechelewa kwenda jenga ACT ambayo tayari watuw alikuwa jangwani wanataabika kwa njaa na walikuwa akimtukana na kumlaani mungu wa underworld.
 
CHADEMA chini ya wanachama, wafuasi, wapenzi na mashabiki wake walio nchi nzima, mijini na Vijijini chini ya uongozi wa viongozi waandamizi wa chama kwa sasa inao wajibu mmoja mkubwa; kusimamia na kuratibu matamanio ya Watanzania kuhakikisha CCM inaondoka madarakani kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Katika mchakato huo ambao ni sehemu ya mchakato mkubwa wa kupigania haki na matumaini ya Watanzania baada ya CCM kuonesha kila kigezo cha sera zake kushindwa, WanaCHADEMA watapambana na CCM na vivuli vyake ambavyo vingine vinajitokeza kwa staili mbalimbali kama vyama vipya vya siasa. Mshaurini Kiongozi Mkuu wa hicho chama, lazima aelewe kuwa Watanzania si wajinga. Alitumika akiwa ndani ya CHADEMA na upinzani hawezi kuacha kutumika leo kama alivyosema mwenzetu mmoja jukwaani hapa. Kama mikutano yote ya hadhara anayofanya agenda inakuwa ni 'kuisaka' CHADEMA hata mbumbumbu wa siasa zinavyokwenda sasa anajua kuwa mission ya tangu wakati ule ikiwemo hata 'kuuza' majimbo inaendelea ambayo ni kazi ya kuisaidia CCM. Hapo ndipo ulipolala msingi wa usaliti ambao leo anajaribu kujitenga nao. Bottom line ya mapambano haya ni kuitungua CCM na vivuli vyake. @Moderators...
Amini nakuambia huyu jamaa tangu zamani sana nikuwa namwita PSYCHOPATIC na Sijabadili..huyu jamaa ni sadist tayari life ni meaningless..anasubiri jitundika km Yuda..
 
Amini nakuambia huyu jamaa tangu zamani sana nikuwa namwita PSYCHOPATIC na Sijabadili..huyu jamaa ni sadist tayari life ni meaningless..anasubiri jitundika km Yuda..

Zito ni mwanasiasa smart kuliko mwanasiasa yoyote nchi hii,nyie na saccos yenu ya wachaga mtabaki mnaropoka tu na mwaka huu ndo mwisho kutafuna ruzuku,laana ya ubaguzi n udini itawatafuna poppote pale Kafulila alishasema Chadema hakuna demokrasia ila kuna harufu yake.
 
ACT na PPT amendeleo kile cha DOVUTWA hakuna tofauti njaa zinawasumbua maana kama mmefikia hatua ya Kuwataka hadi akina AFANDE SELE Bassss
 
Zito ni mwanasiasa smart kuliko mwanasiasa yoyote nchi hii,nyie na saccos yenu ya wachaga mtabaki mnaropoka tu na mwaka huu ndo mwisho kutafuna ruzuku,laana ya ubaguzi n udini itawatafuna poppote pale Kafulila alishasema Chadema hakuna demokrasia ila kuna harufu yake.
ID zote za ZItto na Kitilla maarufu hapa JF including zile wanazozitumia bila maficho...wamelia ktk kuthibitisha hiyo misamiati unaotaka anzidha hapa....NIKUBANA WEWE USEME MAANA YAKE NA MAHUSIANO YAKE NA ZITTO utalia sana hapa.Kafulila ndio reference yako,siku hizi unatoa reference kwa slave wako?Km vi harudu mwambie akaitafute hiyo hafuru ktk hicho chama chenye katiba km mashairi ya freestyle ya Hawavumi ila wapo.
 
Mbowe amekasirika sana kazi aliyowapa Bavicha ya kumchafua Zitto mitandaoni imefeli, matokeo yake Watanzania wanazidi kumpenda

Hahahahahahahahh Tuambie wewe Malaya wa kisisa unapenda nn kati ya CCM na Act?. CCM leo mnashabikia Chama cha Upinzani umewahi kuona wapi duniani?.
 
Back
Top Bottom