namanyele
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,852
- 611
Unafikiri utarudi kirahisi rahisi kwa Mungu,Ndugu acha ubaguzi sisi wote ni wamungu na kwa mungu tutarudi
Unafikiri utarudi kirahisi rahisi kwa Mungu,Ndugu acha ubaguzi sisi wote ni wamungu na kwa mungu tutarudi
Ila kweli mkuu dogo anapenda sana uongozi ndiyo maana wamempa kiongozi mkuu mana wanamjua kitabia chake cha ulafi wa uongozi. Akipewa nchi huyu atakuwa kama Adolf Hitler atake kutawala dunia nzima, mwache na ACT yake tuone kama ataweza kufanikisha lengo lakesultani --------- zzk muacheni jamani ameshapata cheo anachokipenda unchallenged supreme leader
Kuishi na mzoga ndani utawezaje kuvumilia maizi nafunza na harufu kali.tupa nje mafisi yajinafasi.zzk ni mhaini ndani ya cdm.hafai na asidhani watu wanamfagilia ktk mikutano yake.anazidi kuoza huyuCHADEMA hawakupaswa kumfukuza Zitto kwanza ijapokuwa ni kweli alishaharibu na alistahili kufukuzwa. Ila wengeuangalia mustakabali wa upande hasi wa kumfukuza, kuhusu CDM baada ya kufanya vle.
Mm naona kwmb wangebebana nae hivyohivyo angalau uchaguzi mkuu upite kwanza then ndo wamfukuze. Tatizo nalo ni kwamba, wanasheria wa CDM wana papara sana na hawana ushawishi mkubwa ndani ya chama.
Kuishi na mzoga ndani utawezaje kuvumilia maizi nafunza na harufu kali.tupa nje mafisi yajinafasi.zzk ni mhaini ndani ya cdm.hafai na asidhani watu wanamfagilia ktk mikutano yake.anazidi kuoza huyu
Kama unaakiri timamu huwezi kuongea upumbavu ambao hauna maana wwe ni kati yao ambao mnatumiwa huna jipya zaidi ya uraghai tu ulishawahi kusikia mbowe au slaa wametoa matamko kuhusu zitto.
Usaliti hauvumiki, unaweza ukavumilia uchoyo hata wizi lakini si kwa usaliti
Kama huamini katika hilo basi wafuasi watiifu wa Mbowe wasingekuwa wanahangaika humu kumchafua Zitto bali wangekuwa deep kumwaga sera za chama chao
Kigoma hawachagui chama, wanachagua mtu
Nina swali. Kama Zitto alikuwa na ufuasi mkubwa kama mnavyosema, ilikuwaje 2010 majimbo mengi Kigoma yalichukuliwa na NCCR-Mageuzi?? Huo ufuasi uko wapi ni kwa maneno au matendo?
ally kanah tafadhari jibu swali ni kwanini CDM ilipoteza viti vya udiwani wakati zito yupo na viti vya ubunge kuchukuliwa na nccr mageuzi mbele ya huyo zito wako?
Ndugu mimi si msemaji wa Zitto...mm hapa nimeelezea tu hofu ya Mbowe Slaa na wahafidhina wa chadema dhidi ya Ndugu Kabwe
Na ndio maana nikasema sasa wahafadhina wa chadema wanacheza mziki wa Zitto na ushahidi wa hilo jaribu tu kupitia mabandiko mbali mbali humu jukwaani na kwenye mitandao mingine ya kijamii..
Badala ya wahafidhina wa Chadema kutumwagia sera za chama chao wao wamekaa tu kuzusha uongo na porojo kwa mtu ambaye wala hatujasikia kwenye mikutano yake akipeleka mashambulizi dhidi ya chama chake cha zamani wala viongozi wake wa zamani
Zito ni mwanasiasa smart kuliko mwanasiasa yoyote nchi hii,nyie na saccos yenu ya wachaga mtabaki mnaropoka tu na mwaka huu ndo mwisho kutafuna ruzuku,laana ya ubaguzi n udini itawatafuna poppote pale Kafulila alishasema Chadema hakuna demokrasia ila kuna harufu yake.
ni kweli huenda si msemaji wa zito,lakini kufuatia bandiko lako inaonyesha zito ni muhimu sana kiasi bila zito basi hakuna cdm ndipo niliporejea matokeo ya uchaguzi mkuu uliopitana kuona pamoja na zito matokeo ndiyo yalikuwa hayo labda uniambie zito ndiye aliye sababisha na hapo hoja ya usaliti inapata ushahidi.
Hakuna mwanasiasa muislamu katika nchi hii aliyewahi kuwa smart..Zitto ni smart kwenye kundi la wajinga wenzie
Chadema walikosea wangemvua nyazfa zote za uongozi lakini wangemwacha na uanachama wake.. ukweli ni kwamba ushawishi wa zitto kwenye medani za kisiasa ni mkubwa labda kuliko kiongozi yeyote wa CDM kwa sasa. Na ijulikane kuwa vijana wengi walijiunga na cdm kwa ajili ya zitto. Huo ndio ukweli japo unauma. Sasa yeye anasonga wakati viongozi cdm wanashikana mashati kwa kosa walilofanya la kumfukuza zitto... yetu macho!