Ninavyojua mimi hakuna kiongozi yeyote wa CHADEMA anayepambana na Zitto wala ACT. Mtakumbuka katibu mkuu alisema suala la Zitto limekwisha na mjadala umefungwa.Sijamsikia Mbowe, Slaa, Lissu wala kiongozi yeyote wa ngazi za juu WA CHADEMA akimzungumza Zitto. Ni kweli pia Zitto hazungumzii CHADEMA wala viongozi wake. Ila Ni kweli msuguano haina ya wafuasi WA vyama hivyo upon lakini hauwahusu viongozi Bali wanachama wa kawaida. Kwa hiyo Mbowe wala Slaa hawana hifu yoyote na Zitto na ndiyo maana wanaendelea na kazi zao za kawaida. Hivi Slaa yuko ziarani marekani na Mbowe yuko jimboni kwa kazi za kibunge.
Fuateni mantiki si watu.... Huyo Zitto na hao hakina Mbowe mnao wazungumza kila siku wanaweza badilisha vyama lakini mantiki itabaki kuwa pale pale.... Nchi yetu inahitaji ukombozi kutoka kwenye mikono ya wakoloni weusi (CCM)...
Mkifuata mantiki mtang'amua yupi yupo upande wa wananchi na yupi ni nabii wa uongo hata kama maneno yake ni matamu kama asali!!
Ndugu ingekuwa vyema japo kidogo ukatafakari haya yaliyomo kwenye hili bandiko...
Na kwa kuongezea tu humu humu jukwaaani walitokea watu wengi sana kuishauri chadema hasa kwa wakati huu wasimfukuze ila wakapuuza na niko na wasiwasi mkubwa sana kama Lissu hajui alilokuwa analifanya...
Na swali kwako wewe ndugu Lissu kuwa kiherehere katika sakata la Zitto je alikuwa anatumiwa na nani?? Ni kweli Mbowe alikuwa anamtumia Lissu?? Ama ni watawala walikuwa wanamtumia Lissu??
kama zitto amekwisha hama au fukuzwa cdm si ni vema mkaungane nae mumsaidie kukamiliosha huo mradi wake na ccm,mbona bado kila kukicha mnaingia humu mitandaoni kuleta siasa jinga na majungu saa zote ni nini mlichokisahau huku cdm?
CHADEMA hawakupaswa kumfukuza Zitto kwanza ijapokuwa ni kweli alishaharibu na alistahili kufukuzwa. Ila wengeuangalia mustakabali wa upande hasi wa kumfukuza, kuhusu CDM baada ya kufanya vle.
Mm naona kwmb wangebebana nae hivyohivyo angalau uchaguzi mkuu upite kwanza then ndo wamfukuze. Tatizo nalo ni kwamba, wanasheria wa CDM wana papara sana na hawana ushawishi mkubwa ndani ya chama.
Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani ana mambo muhimu ya kufanya hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu - yaani uwe na wasiwasi na chama ambacho hakina hata kiongozi mmoja wa mtaa nchi nzima!! maajabu.
Mwacheni kijana ahangaike akichoka atakaa kama walivyokwisha kaa wengine!! Siasa za nchi hii si za kuingilia kichwa kichwa - angepata ushauri toka kwa kina Lamwai and the like!!
Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani ana mambo muhimu ya kufanya hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu - yaani uwe na wasiwasi na chama ambacho hakina hata kiongozi mmoja wa mtaa nchi nzima!! maajabu.
Mwacheni kijana ahangaike akichoka atakaa kama walivyokwisha kaa wengine!! Siasa za nchi hii si za kuingilia kichwa kichwa - angepata ushauri toka kwa kina Lamwai and the like!!
Una hakika ACT haina kiongozi hata wa mtaa?VUkweli utabaki uleule kuwa aliyetuaminisha siasa za mapambano sie vijana ni ZZK sio mbowe wala slaa!Ndio maana ZZK hakuwahi kururhusiwa kugombea UChairman wa CDM kwani angeshinda kwa kishindo, so hayupo na sie hatupo period!Tunaenda wapi its up to us!
Poor analysis hiyo bro, Zitto hakuijenga chadema, chadema ilikuwepo kabla ya zitto, hata wewe ungekuwa ndiye zitto kipindi hicho lazima ungezunguka mikoani kukieneza chama, lakini kama kawaida, TISS na CCM wakampenda zaidi ZZK, Na huyo kijana kutokana na njaa zake akaingia Mkenge...Kuna taarifa kuwa, ZZK ndiye aliyerahisisha kushawishiwa kwa mlinzi wa Dr. slaa ili aweze kutimiza ndoto ya CCM na TISS.
By BAK From: Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> Date: Saurday April , 2015 at 1:10 PM To: Zitto Kabwe <zittokabwe@gmail.com> Subject:Re: KUONGEZA NGUVU
Hon PM,
Apson sijongea naye. Naona hata humu ndani mambo si mazuri. Vijana wangu wameniletea taarifa kwamba Vuvuzela (mropokaji) anajaribu kila njia ikiwa ni pamoja na kuwashawishi viongozi ili mzee akatwe kwenye hatua ya kwanza kabisa, maana pale juu kila mtu yuko upande wetu. Tengeneza mazingira, ila naona kila dalili ikitokea tu, itakuwa vizuri kwako ukimpisha. Maana itakuwa ni tofauti na madai ya wengi kwamba wewe ni mpenda madaraka sasa watashangaa kuona unamwachia.
Itakuwa pia vyema ukianza kuzungumzia hii kwenye majukwaa ili kuwatayarisha wananchi kisaikolojia ila kwa sasa hivi naona mipango yetu yote iko sawa. Huyo mambo is a dying horse. EL is a big engine! They know na hakuna wanachoweza kufanya at this point. Juliana will call you she has a message. Ila nikutakie kila la heri kwenye mapambano leo.
Makamuzi yanaendelea, nadhani mmeona mambo ya makambako. Hao washenzi wa ufipa mwaka huu wataisoma namba, na ndoto yao ya kuichukua nchi tunaiua.
Sasa kuna mapungufu. The amount we have is very insufficient. Naombeni tusaidiane hapa, nadhani ili tukamilishe shughuli by June tunahitaji 700m pamoja na additional manpower kwenye social media. Mapokezi na muamko ni mkubwa sana toka kwa wananchi CDM is dying.
Tafadhali jadili hii issue na prof pia tujaribu kuongeza vijana kwenye social media maana tusipojibu mapigi hii issue ya usaliti itasambaa na kuaminika. Kwenye majukwaa tutawakaanga kabisa na kuhusu bwana mkubwa, inabidi tuanze rasmi kutengeneza mazingira stahiki, ili Mangula na wenzake wakijaribu kumzuia, upande wetu ni rahisi kumkaribisha
Kwema? Umewasiliana na Apson? Naomba ongea naye. Budget ya matangazo iongezwe. Muhimu sana na posho za vijana kwenye planning. Nimepata habari rasmi kwamba Nyoka wa Mdimu anasaidiana na CDM, na Vuvuzela ndiye anayepenyeza taarifa kwa Riz1. Hizi ni pamoja na biashara nyingi za mzee. Wanamtumia kijana anayeitwa Luckson kupeleka taarifa ufipa, lengo ni kumchafua his Excellency wakiwa na malengo kwamba asifike hata kwenye NEC. In politics anything unanswered can be a big damage. Counter haraka sana. Mbona mnainyamazia Bahari Beach Hotel? Apson inabidi aongezewe nguvu. Mimi niko kwenye hii ziara, and may not be in Dar for couple of days. Prof yupo.
ZZK
AKILI ZA BAVICHA
BAVICHA BWANA; UKITAKA KU COOOOOOK DATA; ZA EMAIL TENGENEZA KUANZIA LEO KAMA HII
HIYO YA KWENYE WORD ATA
MTU ALIYEJIFUNZA INTRODUCTION TO COMPUTER ANAWEZA
KUWENI WABUNIFU KWA KUTUNGA
IP ADRESSS
MAC ADRESSS
NA PING ZA TRCE ROUTE KATIKA COMMAND PROMPT
UPUUZI WA HAPO JUU ; NI KUTUDHARILISHA GRADUATE WA ICT.
NDO MAANA ZITTO ALIWAAMBIA AKILI NDOGO HAIWEZI KUTAWALA AKILI KUBWA
Nina swali. Kama Zitto alikuwa na ufuasi mkubwa kama mnavyosema, ilikuwaje 2010 majimbo mengi Kigoma yalichukuliwa na NCCR-Mageuzi?? Huo ufuasi uko wapi ni kwa maneno au matendo?
Viongozi Cdm ndio chanzo cha majimbo yale kuchukulia na nccr kwani vijana wote wale wa nccr walikua cdm lakini walifukuzwa kwa mizengwe ya mbowe na slaa
Zito sijawai kumsikia akiizungumzia cdm tena nalishasema kabisa anpenda kuzungumzia kule anakokwenda sio alipotoka
Na wala sijawai kusikia viongozi wa cdm wakimzungumzia zitto wala act lbda kwa kuaongoza vijana wao
Majibizano makubwa ni kati ya vijana wao wenyewe kwa wenyewe na nivigumu kuazibiti kwa pande zote 2 social medial ni kubwa zaidi na vijana ni wengi zaidi
Namtakia zito kama kiongozi wangu mkuu wa chama cha act mungu ampe hakima zaidi atufikishe sehemu tuliokusudia zaidi
Kuungana ni jambo jema...na tunawatakia kila la kheri UKAWA...sisi hatugombani na mtu bali na umaskini. Chama chetu ni cha wanyonge...tukikuta mnyonge na tajiri wanapigana sisi tutamsaidia mnyonge kwanza baadae ndio tutauliza nani mchokozi (makofii). Kuna watu wanasema hawa wakina zitto wamekuja kugawa kura za upinzani....nataka niwahakikishie wana Morogoro ACT haijaja kugawa kura za upinzani....Mwaka 2010 asilimia 42 tu ya watu waliojiandikisha ndio walipiga kura....ina maana 58% ya waliojiandikisha hawakupiga kura na inamaana hawakuwa na chama chochote kile.ACT imekuja kukonga nyoyo na kuwashawishi hawa 58% hivyo hatugawi kura za mtu yoyote."
Hayo ni baadhi ya maelezo ya Ndugu Kabwe katika hotuba yake ya Jana kwa wana morogoro.
Nionavyo.
Mwacheni Zitto afanye siasa zake Watanzania wataamua.
Viongozi Cdm ndio chanzo cha majimbo yale kuchukulia na nccr kwani vijana wote wale wa nccr walikua cdm lakini walifukuzwa kwa mizengwe ya mbowe na slaa
Nina swali. Kama Zitto alikuwa na ufuasi mkubwa kama mnavyosema, ilikuwaje 2010 majimbo mengi Kigoma yalichukuliwa na NCCR-Mageuzi?? Huo ufuasi uko wapi ni kwa maneno au matendo?
Umesahau kuwauliza pia kwa nini tangua awe Mbunge Kigoma Kaskazini madiwani wamezidi kupungua kila msimu? kwani 2000 alikuta madiwani 11 wa CDM alipogombea na kushinda Ubunge wakabaki 6, 2005 wakabaki 4 na uchaguzi wa 2010 amegombea lakini Madiwani wamebaki 2, hivi kipimo halisi cha uwajibikaji kujenga chama si inatakiwa ionekane Jimboni kwanza? au labda kwa Zitto ni tofauti na wengine.
Viongozi Cdm ndio chanzo cha majimbo yale kuchukulia na nccr kwani vijana wote wale wa nccr walikua cdm lakini walifukuzwa kwa mizengwe ya mbowe na slaa
Vipi na kushuka kwa idadi ya Madiwani Jimbo la Zitto (Kigoma Kaskazini) kutoka 11 mwaka 2000 hadi sasa 2 je nao walipinguzwa na uongozi wa CHADEMA? unapotuhumu uongozi wa CHADEMA unamuondoaje Zitto juu ya tuhuma hizo wakati alikuwa Naibu katibu mkuu Bara?
Je kwa hicho ulichokiandika na jinsi Zitto alivyokuwa akisaidia kuiporomosha CDM huko Kigoma je sio yeye aliyefanya njama hadi akina Kafulila na Machali kufukuzwa CDM akiwa na lengo la wazi kuwa waondoke na lengo lake likiwa CDM ikose idadi kubwa ya Wabunge huko Kigoma ili abaki yeye pekee?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.