Hodiiii wana jf

Hodiiii wana jf

Mutta

Senior Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
101
Reaction score
11
Nimekuwa nikisoma taarifa zenu mbali mbali kwa kutumia phone.Sasa nimejua jinsi ya kutuma thread mbalimbali,kuchangia,kupm.nk.Nikosea namba mnikosoe kwani naamini nyie ni watu muhimu kwangu
 
Umesha jua PM? basi wewe sio mgeni.
 
Naomba mnisaidie maana mimi ni mgeni na ninatumia simu ya mkononi. Jinsi ya KUREPORT POST,KUTAG,KUPM,KUEDIT na kuandika new message
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom