Una auhakika umeshajiunga humu ???ohoooo shauri yako.Hodi humu ndan mim mgeni nisie na kamba mguuni
Natumaini nitapanua ufaham wang kwa kuwa humu wapo watu wenye uelewa juu ya mamb fulan
All in all nipende kusema nafurah kuwa member wa hii forum