Hodiii

tEcHiE

Member
Jan 25, 2021
30
35
Hodi humu ndan mim mgeni nisie na kamba mguuni.

Natumaini nitapanua ufahamu wangu kwa kuwa humu wapo watu wenye uelewa juu ya mambo fulani.

All in all nipende kusema nafurahi kuwa member wa hii forum.
 
Hodi humu ndan mim mgeni nisie na kamba mguuni

Natumaini nitapanua ufaham wang kwa kuwa humu wapo watu wenye uelewa juu ya mamb fulan

All in all nipende kusema nafurah kuwa member wa hii forum
Una auhakika umeshajiunga humu ???ohoooo shauri yako.
 
Back
Top Bottom