Hodiii, wanajamvi.

Heellllllllooooooooooooooooooo, napenda kuwa mmoja wenu kwani nimekuwa nikiwasoma kwa muda mrefu. Je nakaribishwa?

Natanguliza shukrani zangu.

Ingawaje nami nimgeni ila kwa mapokez mazito nlopata shosti najihisi niko nyumbani, so karibu saaana hujakosea uko mahali sahihi!
 
Back
Top Bottom