Hodiii, wanajamvi.

Hodiii, wanajamvi.

TaiJike

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
1,482
Reaction score
669
Heellllllllooooooooooooooooooo, napenda kuwa mmoja wenu kwani nimekuwa nikiwasoma kwa muda mrefu. Je nakaribishwa?

Natanguliza shukrani zangu.
 
Karibu mgeniii, lakini mbona kama hauna kamba miguuni?
 
Karibu sana

Wewe ndo wafaa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya mapokezi humu JF, nimefuatilia Jukwaa la utambulisho leo na wote umewakaribisha kwa upole bila mikwara wa majigambo.

Kudo!
 
Karibu sana JF kuna jamaa wawili wanaitwa Katavi na Chatu Dume...hawa jamaa wakikutuma popote usikatae kwenda..
 
karibu sana jamvin bt uwe tayari kuvaa kamba mguuni mwez mzima ndio utakomaa:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465:
 
,
karibu sana jamvin bt uwe tayari kuvaa kamba mguuni mwez mzima ndio utakomaa:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465:

Toka lini KUCHI akawa na kamba ugenini, pia mtoto wa kike hana ugeni akishakula atajituma kutoa vyombo mezani bila kuambiwa.
😛oa😛oa
 
Karibu sana JF kuna jamaa wawili wanaitwa Katavi na Chatu Dume...hawa jamaa wakikutuma popote usikatae kwenda..

Poa mkuu, ila wangesema bila kukutuma kuja kunitisha mi ni MTUMWA MWEMA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom