Old Granny
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 392
- 557
- Thread starter
-
- #81
Jamani uchokozi huoooShekhe yule yule kasoro kanzu
Hahaha kwa kufungua codes hujamboUpele unakunywa na gunzi bwahahhahaha
Uchokozi gani bibi?Jamani uchokozi huooo
Sijambo shikamooo marhabaaaa kuna upele weweHahaha kwa kufungua codes hujambo
Hahaha kuna ukakasi ila sio sanaSijambo shikamooo marhabaaaa kuna upele wewe
Yani mna balaa nyie wajukuuUpele unakunywa na gunzi bwahahhahaha
Jamani jamani[emoji1] [emoji1] [emoji1]Wanajua mpaka mapambio yake hahaha waumini ni nuksi
Ngoja nimwamkie bibi kikongweeeHahaha kuna ukakasi ila sio sana
Umemwamkia bibi lakini?
Wewe bibi pooooh umezeeka lini wewe poooohYani mna balaa nyie wajukuu
Hata mimi nimefurahi kuona bibi kanunua gauni jipyaKumbe wanijua sura yngu,mjukuu? Nafurahi jamanii
Bibi wa mwendo kasi,nna harusi wiki ijayo jolie mimi,afadhali umekuja nimepata bibi wa kunifundaYani mna balaa nyie wajukuu
We Demiss ww.[emoji1] ..hujistukii kunambia bb yko nna upele? Kwa iyo mi nataka gunzi LA kunikuna au?Sijambo shikamooo marhabaaaa kuna upele wewe
Loh bibi wewe poooohWe Demiss ww.[emoji1] ..hujistukii kunambia bb yko nna upele? Kwa iyo mi nataka gunzi LA kunikuna au?
Jamii forum simama nishuke...wajukuu mna povu Ka nnHahaha kuna ukakasi ila sio sana
Umemwamkia bibi lakini?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Ngoja nimwamkie bibi kikongweee
Yule bibi aliyezalisha michungwa ikawa mingi sjui ni stori ya darasa la ngapi nimesahau?
Yani mna balaa nyie wajukuu
Marahaba mjukuu...Wewe bibi pooooh umezeeka lini wewe pooooh
Haya shikamooo bibi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si ulinnulia ww mjukuu. Asante maana limenifit hasaHata mimi nimefurahi kuona bibi kanunua gauni jipya
Karibu mjukuu, takufata chobingo nkufunde mwali wngu[emoji23] [emoji23]Bibi wa mwendo kasi,nna harusi wiki ijayo jolie mimi,afadhali umekuja nimepata bibi wa kunifunda
Alaaaaaaa kumbeeeeeLoh bibi wewe pooooh
Umeshadadia comment siyo yako
Sawa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si ulinnulia ww mjukuu. Asante maana limenifit hasa